Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jamani nimepita pale juu benjamini mkapa POSTA opposite na posta mpya nikauliza jamaa wamenda wapi supermarket yetu ninunue mahitaji nikakutana najamaa chini akadai we hawa wamefilisiwa na sasa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
DEREVA wa basi la Kampuni ya Moro Best, Haji Abdallah (43), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro kujibu shtaka la kuzuia msafara wa Waziri Mkuu, Mizengo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika kipindi cha maswali na majibu cha leo, naibu amejionyesha ni jinsi gani alivyo tarishi wa CCM, Bahada ya kwisha kipindi cha maswali na majibu, Mh, Silinde alomba kutoa taarifa kwa naibu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tumeichoka ccm kwa kweli kha.. Kwanza diwani wa kata ya mvomero kuandika hawezi na ameishia darasa la 4.. Vijisenti vya urithi2 ndo vinampa promo.. Haya wazee wanasema alipewa mil 25 kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimae watanzania wameanza kula pumba baada ya kukumbana na kadhia ya njaa,hali hiyo imeanza kujitokeza huko MANYONI MASHARIKI,,,,,,,,,,,, TUNAWAPA CHAKULA WASOMALI,,,,,SIE TUMEJITOSHELEZA????
0 Reactions
12 Replies
1K Views
wakuu, kuna taarifa kuwa mnamo tarehe 8 august 2011 majira ya saa mbili mbili usiku katika kituo cha polisi magomeni umeme ulikatika, kuna mahabusu aliletewa chakula, kituoni palikuwa na polisi wa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Inakuwaje hapa wazee.... kati ya BABA RIZ na MTOTO WA MKULIMA safari(KUPANDA NDEGE) za baba riz ni nyingi sana kuliko za mtoto wa mkulima najiuliza baba riz anambania kusafiri huyu jamaa au...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mtoto mchanga wa kike wa nchini Brazili aliyetangazwa amefariki punde baada ya kuzaliwa aliangua kilio wakati anatumbukizwa ndani ya kaburi lakini alifariki baada ya kuokolewa na kufikishwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msilikize mahojiano na Dr Nzotta Dk. Mselly Nzotta: Mtanzania anayetamba kitaaluma Sweden
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii ilitokea mwaka 1995 The new ministers are: Home Affairs: Ernest Nyanda (formerly Mwanza Regional Commissioner). This was one of the biggest surprises in the reshuffle. The previous...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
With the collapse of the Soviet empire and the end of Mozambique's civil war, most of the Marxist leaders of Frelimo became fledgling capitalists. Two decades later, they have emerged as major...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wananchi wa wilaya ya mwanga wapinga kitendo cha serikali kutaka kufunga bwawa la nyumba ya mungu, wananchi hawo wanasema ni bora serikali *isimamishe uzalishaji wa umeme kuliko wao kukosa mlo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF kumekuwa na kawaida ya kiti cha spika, kuwaomba uthibitisho wabunge wa upinzani pale wanapotoa hoja nzito zinazoihusu serikali ya CCM, Lakini cha kushangaza ni pale wakipewa vithibitisho...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kapteni John akiwasilisha mchango wake leo kwenye Bunge kuhusu Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara na akisema kwa uchungu kuwa kwa jinsi Serikali ilivyowatendea wananchi wa jimbo lake hata...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mara ya mwisho nimesikia wale samaki walichukuliwa na kwenda kufanyiwa uchunguzi katika kitengo cha mionzi huko Arusha, tokea hapo sijasikia chochote juu ya uchunguzi huo na chochote kuhusiana na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Never give up mtoto wa mfugaj msani Chuma Chakavu Msema hovyo Lukolo Na wengine walioifungua link niliyoitoa Nilianzisha thread ambayo imeonekana kua inashtua, especially kwa watu wenye matatizo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TRA ndo kama hamna Ma IT MSEME kila siku network mbovu. Tatizo mnapeana Ajira
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna tetesi kuwa mwandishi wa habari amefariki katika mazingira ya kutatanisha mwanza. yasemekana ni kwa ajili ya kufuatilia habari za kisiasa. naomba fuatilieni zaidi. source: STAR TV
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wetu yupo nchini au? Mbona sisikii chochote kutoka kwake wananchi tunateseka na mafuta.
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Nimezunguka vituo vyote vya mafuta katika mji wa Kahama ili kujinunulia mafuta lakini sijafanikiwa. My take: Serikali legelege ya CCM yaweza angushwa kwa tatizo hili. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom