Stay tuned on Star TV this Saturday at 6:30pm to 7:45pm, Mr. Robert Kisena (Simon Group Chairman) and Dr. Masaburi (Dar Mayor) will be answering all issues regarding to UDA privatisation
Tz inamatatizo mengi makubwa na yenye aibu sana ulimwenguni.
Na kiongozi wetu amekaa kimya,inamaanisha nini.
ukweli ni kwamba,asiye na jibu hajui anafanya nini.
Na si muda kitaeleweka!!!!!!!!
Mimi ni muumini wa nguvu za kimaumbile. Naamini kwamba kila kinachopandwa, hatimaye huvunwa kwa njia ile ile, kama leo hii mtu akitenda wema, ni wazi atavuna wema huo, iwe anataka au hataki. Kwa...
Baada ya kuumia kwa muda mrefu sasa nimeona nilitoe hili la wizi mpya wa Kampuni ya Mawasiliano (TIGO).
Njia wanazozitumia ni kama ifuatavyo:-
- Ulazimisha nyimbo bila wewe kukubaliana nao na...
For the first time an African country has subjected itself to international scrutiny of the rates of mental, physical and sexual violence suffered by girls and boys, and their impact
An...
Didasi Masaburi meya wa Bongo ameivunja bodi ya wajumbe wa ddc iliyokuwa ikiongozwa na Abas Mtemvu hivyo kuonyesha ile vita ya UDA bado inawatesa na mapambano bado ni makali kupita kiwango!!
habari nilizozipata vile viwanja vya burka arusha vilivyoleta mushken vitagawiwa ndani ya mwezi huu na vitakuwa tayari kuanza kujengwa soon kwa waliyopata na ambao hawakupata ila kwa tulioomba na...
Kutoka katika Facebooka ya Frederick Katulanda Tarehe Jumatano, Agosti 10, 2011 saa 2:43 mchana: Kumeandikwa hivi:
TANZIA: Imenichukua muda kuamini, pengine hii ndiyo sababu ya kuchelewa...
Kulioni kwenye Gesi??Huku Tanzania ikigubikwa na hoja ya uhaba wa mafuta na mgao wa umeme bei za gesi zimepanda bei tena???Hivi mamlaka husika zinafanya nini kila leo kupindisha bei gesi???Mtungi...
Asubuhi ya leo nilikuwa kwenye daladala nikitokea Kinondon nikielekea Ilala,ndani ya daladala ile dereva alifungulia TBC Fm mjadala uliokuwepo ni wa watu kupiga simu na kuchangia suala la uhaba wa...
Hivi kwa nchi hii suala la dual citizenship linawezekana?.Kama linawezekana nitashukuru kwani hivi sasa ninajifua kujua lugha ya kifaransa,nataka kusogea hapo Rwanda kwa Kagame,naona life la hapa...
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha jiji la mwaza linakabiliwa na hali mbaya baada ya Mamlaka inayohusika na usambazaji wa Dawa nchini kushindwa kusambaza dawa na vifaa vya kupimia virusi vya...
Kama ukisoma mafundisho ya dini nyingi hata yale ya asili utabaini kwamba mbinguni ni mahali ambapo panatakiwa kuogopwa na kukwepwa. Tunaambiwa kuwa kuna pepo lakini pia kuna moto.
Hakuna hata...
Dr Slaa kwenye wall yake ya facebook anaandika hivi:
"Tunaye Rais asiyependa kusemea matatizo ya wananchi wake. Matatizo wanayoyapata Wananchi kwa sasa ni matunda ya uongozi mbovu usiojali...
Wadau,watu wengi wamekuwa wakilalamika juu ya matatizo mbalimbali yaliyo na yanayolikabili taifa,lakini kuna watu ambao huwa wanafikiri kwa makalio nionavyo mim hawa ndio wametufikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.