Leo jiono kutoka namanga mpaka sayansi nimetumia masaa mawili kwa gari,
ni aibu kubwa sana.
Tatizo letu sisi wa tz tunauoga kuongelea na kudai haki zetu.
Mafuta ya gari kidogo unayokuwanayo...
Jamani kama mtakuwa mnakumbuka vizuri mwaka jana kipindi kile cha kampeni mh Dr Slaa alibaini ubadhilifu wa kiasi kikubwa cha pesa ktk halmashauri ya Bagamoyo.Iliundwa tume iliyopewa muda wa miezi...
watoto wengi wa siku hizi hasa sehemu za mijini wana nafasi au uwezo wa kuangalia movies, televisheni majumbani mwao. lakini nakumbuka miaka kama ya 1990 wakati huo naishi CRDB maghorofani (au...
Kwa kile kinacho fahamika kama jitihada sa Nnape kuiokoa CCM dhidi ya watumia mtandao imelikumba jukwaa la maoni kny blog ya mwananchi.com kama sehemu ya majaribio ya kuwatumia vijana walio...
Rebecca Balira sentenced to six months and ordered to pay 21-year-old Methodia Mathias £3,000 in compensation
Rebecca Balira was convicted at Southwark crown court of keeping Tanzanian woman...
Katika hali ya kushangaza kabisa nikiwa natoka bagamoyo kuelekea kwenye majukumu yangu asubuhi ya leo nilibahatika kupanda coster (ambayo pia ni ya huyu jamaa) na mmoja wa watuhumi wa wizi wa...
Rais Jakaya Kikwete amemteua tena Harry Kitillya, kuendelea kuwa Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kipindi kingine cha miaka miwili kuanzia Agosti 2, Mwaka huu.
Aidha...
Wengi tunatambua na kuukubali uwezo wa kisiasa wa John Mnyika. Alipoingia bungeni tuliamini kuwa ndiyo chance ya kufaidi zaidi uwezo wa kijana mwenzetu. Miezi kadhaa, sasa kijana anafanya vizuri...
Nahisi hizi siku za mwisho,
nimesoma mwaana halisi mh malima katika moja ya safari zake ambazo lengo ni kusaini dili chafu la kuwaleta wasouth africa kuchuma copper huku Tanzania akishirikiana na...
Thursday, 11 August 2011 20:47
0digg
Na Habel Chidawali
KUNA wakati wa kulia, na wakati wa kucheka, kuna wakati wa kufurahi na wakati wa kununa, lakini pia kuna wakati wa furaha na wakati wa...
sisi tunaiba fedha kutoka vyanzo mbalimbali, wenzetu wachina wanaiba teknolojia. Hivi Teknolojia na fedha kipi cha thamani!?
Nchi za wenzetu wanatuma watu wao nchi mbalimbali duniani wakatafute...
katibu wa ccm wilaya ya hai mh. Hassan Mtenga.anayo barua inayomelekeza kufukuzwa kazi kutokana na na utendaji usio ridhisha. baada ya kupata barua hiyo alilazimika kutafuta vidonge aina ya...
MWALIMU wa Shule ya Msingi ya Kwamaksau
iliyopo Useri, Wilaya ya Rombo, mkoani
Kilimanjaro anatuhumiwa kuwalawiti
wanafunzi sita wa kiume kwa nyakati
tofauti baada ya kuwarubuni kwa kutumia...
Kila siku kinakuja kitu kipya. Mwaka huu peke yake tumeanzia na uchaguzi wa wizi then Dowans. Haya tumekuja na wizi wa bungeni posho lakini wenzetu ccm wanaita mishahara na marupurupu. Ukaja umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.