Tumepata ukweli kuhusu UDA toka kwa kisena. Imeonyesha ni jinsi gani watz walivyo wanafiki katika mambo yanayotuhusu. Tunamsulubu mtz mwenzetu kama mhalifu. Hatuna taarifa sahihi za kutusababishia...
Robert Kisena, anaelezea procedures walizopitia kununua hisa 52 za udA . Anasema ana docs zote,kwamba hawakufanya kosa lolote la kisheria za manunuz. Anang'aka sana!
1. Kuwepo kwa samaki nguva.
2. UFO
3. The pandoras box
4. The bemuda triangle
5. Kikombe kinachotibu magonjwa yote sugu.
6. Kuzaliwa kwa kondoo mwenye maandishi ya sura "YASIN".
7. Kuwa...
Jana asubuhi muhimbili wamefanya kituko kingine kwa ku declare bint mmoja wa kichaga kuwa mfu, mume wa marehemu akaachwa hoi na breaking news hiyo. Kijana akawaarifu wafanyakazi wenzake na wazazi...
Huwa sielewi ni kwanini medical doctors wanapokuwa wanapita kwenye macoridor hospitalini wanakuwa wanavaa kifaa flani ivi mabegani mwao.
Au hiyo ndio symbol ya kuwa ni dr? kwanini wasitembee na...
Atakuja mtu atakuambia nina biashara nahitaji mkopo benki nyumba yangu haina hati naomba unidhamini nyumba yako nikope benki nitakupa asante ya tsh mil 15 na pia nyumba yangu nitaiweka rehani ili...
Katika pekua pekua yangu, nimegundua thread hii ndo the longest kushinda zote...
https://www.jamiiforums.com/international-forum/112307-the-libyan-crisis-and-gadaffis-options.html
Ina pages 179...
Waandishi WetuToleo na 198
Ni nani hawa Simon Group LA?
Walilivamiaje Jiji la Dar kutoka Mwanza?
KATI ya mijadala iliyozua hisia kali hivi karibuni katika kikao cha Bunge kinachoendelea mjini...
Jamani, nasikiliza power breakfast ya Clouds FM. Mara nasikia kuwa serikali ya SA imeridhia uuzwaji wa ngozi iliyokatwa kutoka kwa watoto wadogo -tohara. Ngozi hii hutumuka kutengeneza cream...
Wana JF,
Nimepata tetesi kuwa kampuni ya mafuta BP-Tanzania ilisha uzwa kwa mtu mwingine. Huku serikali/EWURA wanasema itafungiwa hapo ni danadana au?
Release date: 15 November 2010
BP today...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Iramba mkoani Singinda, Emmanuel Ntundu, amewataka Watanzania kutoshabikia sera ya nguvu ya umma na kwamba, itaitumbukiza nchi kwenye machafuko makubwa...
Ndugu zangu kwa jinsi hali ilivyo na usanii unaoendelea kufanywa na serikali yetu. Maisha yatakuwa magumu magumu magumu ambapo kwanza kutachapishwa noti mpya ya Tsh 50000 kufikia mwaka 2015 sukari...
Waandishi Wetu
Toleo na 19
Zitto akumbushia vita ya Kagera
Kilango: Serikali ichukue hatua
​Makamba: Itasababisha vurugu
Mnyika: Kuna rushwa kubwa
WAKATI kukiwa na taarifa za kuwapo...
Friday, 12 August 2011 21:45
Symbion, NSSF wapewa miradi ya kuzalisha Nchi nzima
Neville Meena, Dodoma
KAMPUNI ya Symbion Power ya Marekani na Shirika la Hifadhi ya Jamii nchini (NSSF)...
Tumepata bahati ya kusali ijumaa zetu bila ya usimamizi wa Polisi tuliozoea nao. ilikuwa nadra kukuta Ijumaa inasaliwa huku polisi wakiwa wamezunguruka misikiti.
hongera kwa kazi kubwa mnayofanya...
The snow-capped Mount Kilimanjaro might be officially on Tanzanian soil, but this has not helped avert controversy as Kenya seeks bragging rights to Africas highest peak.
Located 20km into the...
• HALI YA MAFUTA BADO TETE DAR, MIKOANI
na Mwandishi wetu - Tanzania Daima
SERIKALI imetahadharishwa kuwa isipochukua tahadhari kusaka suluhu ya kudumu ya tatizo la mafuta na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.