Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Vituo fulani vya mafuta wame de-calibrate; ukinunua lita tano mashine yaonyesha yes 5 liters lakini ulichopata ni lita 4.5 au lita 4, unalipa bei ya lita tano. Hii nimethibitisha jana. Ukitaka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mabalozi wetu sasa wamekuwa makuwadi wa wezi wa pesa zetu. Wao ndio wanafanya arrangements za mabenki. Badala ya mabalozi kuwa walinzi wa mali zetu wao wamekuwa ndio mawakala wa wezi wetu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mme2letea mgaao wa maji,tumeukubali. Mgao wa umeme tumeuzoea, na sasa mgao wa mafuta na tumeukubali, lakini chonde chonde msije mkalete mgao wa bia hapo hakitaeleweka kabisa, maana hizo ndo...
1 Reactions
6 Replies
983 Views
wana jf wenzangu ningependa tuchangie kipindi cha mkapa aliweza kudhibiti mfumuko wa bei ,shilingi ilikuwa strong dhidi ya dola na nchi haikuwa na misukosuko mengi kama kugoma goma ovyo kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi ni haki kweli kwa nyumba za ibada kukesha huku wakiwa wanapiga muziki kwa sauti ya juu hata kuliko disco? Ile sheria ya kelele usiku imefutwa au? Nakumbuka kuna kipindi kulikuwa na details...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waziri wa TAMISEMI ametoa tamko kuwa masaburi hana mamlaka ya kuivuja bodi ya ddc. Source taarifa ya habari tv.Hawa magamba cjui vp hivi masaburi na tumbo lote lile kama pipa hakuona aibu kabisa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Samahani siko kama unavyofikiri ila naomba unisaidie hili jamani....nina mwezi wa nne uliopita nimetoka kuzika mzee mmoja hapa dar ni mkubwa kwenye shirika moja samahani kwa wanaomjuaa kwa kweli...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wana JF Kipima Joto ITV Live Renatus Mkinga ndani ya Nyumba leo utamu mtupu,wanazungumzia mgomo wa wauza mafuta.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
CDM imeketika vipande vipande.Yapo makundi mawili makubwa moja likifahamika CHADEMA maandamano na lingine CHADEMA muafaka.CHADEMA maandamano linaongozwa na mwenyekiti taifa akisaidiwa na wabunge...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Je kuna mamluki Chadema?Je CCM kwa kuwa imechafuka inapambana kupandikiza mamluki Chadema ili isifurukute 2015?Kwanini CCM inazusha uongo wowote kwa Chama tishio na wananchi wanaitikia?Mfano CUF...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kweli sihasa waachie wenyewe mzee wetu said mzee said katoswa rasmi maana tokea uchaguzi uishe hajaonekana tena Je chadema walikuwa wanamtumia kama chambo kwa sababu ni dalasa la saba? Jamani...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau Kunani JF mbona sijaona thread yoyote inayohusu taasisi au chuo hiki kwa mazuri na mabaya yake? Kama kuna yeyote anajua kisa na mkasa atafanya la maana kama atanijuza kupitia hapa hapa, hivo...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Salam alekum. Mwarabu kampa nini mswahili? Nafikiria historia kati ya mswahili na mwarabu. Ni historia mbaya. Mswahili alihasiwa na mwarabu kipindi hicho. Hakuna adhabu mbaya kama hii. Leo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
CCM imetangaza baadhi ya vyombo vya habari kuwa ni marafiki wao.Baadhi ya vyombo vya habari vimetengwa kuwa ni maadui wao.Urafiki ni kutokana na kuandikwa vizuri au kwa kusifiwa, maadui ni...
0 Reactions
2 Replies
768 Views
Ewura yasitisha leseni ya BP kuuza mafuta kwa miezi mitatu.Lakini BP wamepewa ruksa kuyauza mafuta yao(Diesel,Petrol na Kerosene) kwa makampuni mengine.Hata hivyo BP wanaendelea kuuza mafuta ya...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
NAKUMBUKA ILIKUWA IKIITWA KILIMANJARO HOTEL...MZEE REGINALD MENGI ALITAKA KUINUNUA NA MCHAKATO NDANI YA SERIKALI ULIKUWA MKUBWA KATI YA MENGI NA WILSON MASILINGI WAZIRI WAKATI ULE. NA KATIKA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
12 Agosti 2011 12:34 ? Mwanasayansi mmoja aliyepatikana na hatia ya kumweka msichana mmoja kama mtumwa nyumbani kwake amehukumiwa kifungo cha miezi sita gerezani. Mwanasayasi huyo wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumekuwa tukisumbuliwa na tatizo la mafuta kwa wiki mja lakini rais atoi ata kauli kweli tunakiongozi au?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
mkapa hakutaka mchezo ktk utawala wake. Ukiwauliza Cuf wanajua na hawatasahu Naamini Arusha ingalkuwa ni ngome ya Jeshi la Polisi kama vile ilivyokuwa ZANZIBAR bunge lingalikuwa kimya, ziii...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Assalam alaykum Warahmatullah Wabarakatu. Rehma na amani ziwashukie wana JF wote pamoja na Watanzania kwa jumla.
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom