Ndugu zangu pamoja ya kwamba mtasema ni tabia yangu kusema hovyo, lakini naona bora tu niseme.
Hii tabia ya magazeti ya wambea kama vile uwazi, amani, ijumaa na upupu mwingine kuchapisha picha za...
By In2EastAfrica - Fri Jul 22, 8:40 pm
Prime Minister Mizengo Pinda, Speaker of the Parliament of the United Republic of Tanzania, Anne Makinda and former...
JK kasema hana uwezo wa kunyeshea mabwawa, kwa hiyo anasikilizia siku mvua itakaponyesha umeme utarudi..
Amesikitika kwamba, hata yeye inamuuma kuona umeme haupo, ila angeweza angenyeshea fasta...
Kwa mtazamo wangu, napenda kumshukuru na
kumpongeza Jemedar Jairo D. kwa msaada wa
kutatua tatizo la mgao wa umeme kwa
kuzichangisha idara zake za wizara za nishati
na madini...
Leo mchana huko Arusha palikuwa na mgomo kubwa wa daladala hasa ziendazo maeneo ya uswahili na zile ziendazo engosheratoni hii ilichukua mpaka jioni, kutokana na taarifa ya dereva mmoja wa...
Tanzania ya leo imekumbwa na mfumo siasa, kila kitu siasa, chakula siasa, ushuru siasa,watendaji wa wizara siasa uteuzi wa wakurugenzi siasa hii ina kera sana. Huu mfumo ni wa kibaguzi kwa maana...
Jamani mimi ni muislam ila elimu yangu ni ndogo. Naomba kufahamu, hv waislamu hatuwezi kuomba tuondokane na janga hili la umeme? Mana nakumbuka miaka fulani hv mvua ilipo sumbua na ukame...
Wadau nawaombeni wale ambao mpo kwenye mikoa radio hii inasikika pia inasikika mtandaoni,muwe mnasikiliza kipindi cha Ijue biblia kila siku 2:30 ucku na jumamosi saa 9:00 alasiri, kipindi...
Niliagiza samaki sato ndoo mbili siku nne zilizopita kutoka mwanza, maeneo yetu ninayoishi tulikatiwa umeme mfululizo siku mbili. Pamoja na kujitahidi kuwakaanga wameoza, je kuna matumizi mbadala...
Kutoka bungeni apaMoses Machali nccr anasema mbona mtu anastaafu serikalini kama wajeda anapigwa ukuu wa mkoa au ubalozi wakati umri umeenda.These people are unemploying the youth.
Tunasubili...
Leo asubuhi Badra masoud akihojiwa channel ten amesema tatizo kubwa ni ukosefu wa fedha kwa ajili ya kuwekeza ktk vyanzo mbadala vya kuzalisha umeme nchini.
kwa upanda wake Jk akihojiwa bbc...
Hivi ni ajali au................... kuna vituo vya televisheni zaidi ya saba vinavyorusha taarifa za habari kati ya saa moja jioni na saa mbili usiku. Usihangaike kujaribu kuaangalia taarifa za...
Hilo ni jibu la Mr. Pinda akijibu swali la mbunge aliyetaka kujua kwa nini hamchukulii hatua Bw. Jairo? Inavyoelekea hakuna mtu anayejua wajibu wake, Pinda alisema anamsubiri rais kwani ndiye...
Kuna network mtaani za kuaminika kuhusu uhusiano wa kikwete na Sitta. Sitta amekubali kumtetea kikwete kwa kupewa hongo na rushwa ya kimaajabu. Ufupi ni kwamba hizi ni taarifa bado za ndani ya...
Posho elimu ya juu yapanda kwa Sh 2,500/-
SERIKALI itaongeza fedha za kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini kutoka Sh. 5,000 ya sasa hadi Sh. 7,500 katika mwaka huu wa fedha...
Yap wandugu wapendwa habari kwa ujumla.Mi niko poa yani mzuri kwa sana.Nilipotea sasa nimerudi baada ya kuibiwa simu yangu ambayo niliitegemea kwa mambo ya internet na halafu nikawa shamba huko...
Nilisikia jamaa mmoja akiongelea habari za umeme unaotokana na kinyesi cha binadamu. Huyo ndugu alidai kuwa umeme huo huwa una nguvu sana kinachohitajika ni kuongeza material katika source/chanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.