Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwa kifupi mimi nasikitishwa sana na kila leo nikisoma habari za watanzania wenzangu waliopo tanzania,update zao kwenye social network hakuna zaidi ya kulalamikia umeme kwenye magazeti nao pia...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Kila ninaposafiri kwenda mikoani nakutana na hali hii ya uharibifu wa uoto wa asili katika maeneo mbalimbali. Kwanini hali hii inaendelea kutokea katika kipindi hiki ambapo kampeni za utunzaji...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Dkt Chrisant Mzindakaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt Chrisant Mzindakaya kuwa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ccm sisi wananchi mnasumbua vichwa vyetu na megawatt zenu. Sisi tunaitaji umeme siyo megawatt.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ASKARI wa Hifadhi ya Taifa ya Katavi wilayani Mpanda Mkoa wa Rukwa, wanalishikilia gari la Manispaa ya Kigoma Ujiji, baada ya kulikamata likiwa na meno matatu ya tembo yenye uzito wa kilo tisa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
That sinking feeling: Woman finds giant sinkhole under her bedBy Claudine Zap Posts Email By Claudine Zap | The Upshot – 9 hrs ago tweet331 Email Print A sinkhole formed in a house...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naiomba kampuni ya simu ya Tigo iwe makini sana inapompatia mteja wake caller tone hasa zile za imani. maana unaomba caller tone ya kiisilamu unawekewa kwaya ya kanisa au unaomba nyimbo ya kanisa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nafanya tafakari.... Naiona nchi yenye maziwa na asali... Naona viongozi wake wasiojali... Bila huruma wakijitafunia za wote rasilimali.! Naona wananchi wake maskini.. Wengi wao wakiwa bado...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
wadau hali mnavyoina kwa sasa katika bunge letu, je kuna mwelekeo kuwa majibu ya hovyo hovyo yatakuwa yamekoma..? je, kuna namna yoyote ama dalili kuwa kuna siku zitakuja kupingwa ndindo katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakati nchi za dunia ya tatu wanafunzi hawana madarasa wala madawati ya kusomea ,Wenzetu huko majuu wana vyuo vyenye boarding kwa ajili ya mbwa!!Hebu angalia hapa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Magazeti ya Mtanzania, Rai na mengine yote yanayomilikiwa na Rostam, sasa yanaonekana yako kinyume kabisa na CCM tangu suala la magamba lilipoanza. CCM sasa imebaki na vyombo vya habari vya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mabingwa wa tanzania na mabingwa wa kombe la kagame wamepata mualiko wa kwenda bungeni na kombe la kagame kwa lengo la kupewa pongezi na wabunge? Je kwanini twiga stars wamesahaulika kama huu ndio...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naam, yanaanza kutokea, walificha magonjwa kifo kinapiga hodi, gamba limeanza kutoka taaratib, wako valnureble.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana jf. Mimi si mchangiaji wa mara kwa mara lakini leo nataka niseme hili kwa kile ambacho nadhani ni mkakati wa kuhalalisha safari za raisi wetu nje ya nchi. Kwa kutumia kipindi chake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtoto wa Mhe. Rais mhe Ridhiwan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano wa kuhamasisha Uvaaji wa Ijab mwaka huu Mkoani Arusha. Vigezo na masharti kuzingatiwa! ( Radio Iman FM)
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hi people, wakazi na wanazuoni wa chuga najua mmerudi na we need to relax kwa sasa,kwa wale wadau watakaopenda ku-exchange movies na softwares please post hapa ,then we can meet,ukiwa na external...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo mchana nilikuwa sina salio kabisa kwenye simu ,nikamuomba jamaa yangu akanitumia 250, muda mfupi nikapokea sms kutoka namba 15556 ya msimu wa dhahabu na clouds Fm huku nikitaarifiwa na hiyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Scientists in Tanzania are developing a new trap for malaria-spreading mosquitoes using the odour of human feet to lure them in...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
poleni na majukumu, tulikuwa tunatamani sana kuwa na sehemu ambayo tunaweza tukaongea na kujadiliana kuhusu mambo ya mkoa wetu,hata kusaidiana katika shida na raha,leo nimefanikiwa kufungua group...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikuwa napekua page za Facebook nikakutana na hii kali kwenye page ya Tanesco eti wanaomba radhi kwa kutokuwepo umeme. https://www.facebook.com/pages/Tanesco/186255581435542 Tanesco Wapendwa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom