Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
VIONGOZI wa dini nchini na wenzao kutoka nje ya nchi, wamekutana na kilio kikubwa kutoka kwa wakazi wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa Nyamongo unaomilikiwa na African Barrick North Mara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Utaratibu huu wa uteuzi wa makatibu wakuu wa wizara na viongozi wengine wa serikali uliopo sasa hivi unaturudisha nyuma sana. Yahani jinsi ilivyo sasa kila kitu kinasubiri maamuzi ya rais, kweli...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana bajeti ya wizara ya elimu imewasilishwa mjengon! Wizara imeongeza kias cha sh. 2500/- kwa siku, kama pesa ya kujikimu na sasa ujumla wa pesa hyo kuwa Tsh.7500/- per day! Je serikal...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Siku 2 zimeisha tangu nikiwaza umuhimu wa umeme na mafuta ya taa kwa walio wengi. Najua atakaepinga kuwa mafuta ya taa ni zaid atakuwa mwenda wazimu,au amezaliwa gorofani na kukulia forodhani. Kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wanasiasa,wanaharakati na wadau mbalimbali wa secta zote hapa tanzania na kwingineko,mnakaribishwa katika kongamano la kujadili mwenendo wa kupatikana kwa katiba mpya ya jamuhuri ya muungano...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
VIONGOZI sita wa madhehebu ya dini wanaojihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya nchini, wamejitokeza mbele ya Kamati ya Maadili ya Viongozi wa Dini na Haki za Jamii na kukiri kujihusisha...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Ni sisi maskini tunaobebeshwa mizigo ya kodi,bei juu,giza,magonjwa lukuki,njaa,madeni kibao na mengine ongezea! Wakati huohuo tuliowachagua kututetea wametanguliza vitambi,anasa za kuzidi hata za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Truck drivers’ strike congests Tanzanian – Zambia border AS the strike action by Tanzanian Truck drivers enters day three, a terrible congestion has rocked Tunduma town in Tanzania on the Zambia –...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tatizo la mgao wa umeme sasa limeanza kusemwa na vyombo vya habari vya kimataifa. Kama kawaida Tanesco walipohojiwa wamesema mgao wa umeme unatokaka na ukame mkali ulioikumba Afrika Mashariki kama...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Inawezekana nazeeka haraka......natatizwa na maneno......"kanga moko tepe tepe laki spesa njoo uone kanga inavovaliwa" yapo kwenye tangazo clouds sielewi wanainadi bidhaa gani au wanamaanisha nn
0 Reactions
18 Replies
4K Views
The 48 Laws of Powerby Robert Greene and Joost Elffers Law 1 Never Outshine the Master Always make those above you feel comfortably superior. In your desire to please or impress them, do not go...
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Jana Sitta na waheshimiwa wenzake walikuwa Mbeya wakiongea na wasomi wa vyuoni. Hilo siyo tatizo kwangu ila ninachojiuliza matamshi aliyoyachana jana yameendelea kuiwekapaya sana agenda ya mh...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Napenda kutumia jukwaa hili kuwapongeza kwa dhati Madiwani wa Wilaya ya Ngorongoro kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kutetea maslahi ya wananchi hasa kwa kuwabana Wakuu wa Idara wa Halmashauri ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kule Uingereza kuna skandali inayohusu gazeti la News of the World na mapolisi wa UK. Tuhuma hizo zimesababisha Cameron wazir mkuu wa UK akatishe ziara yake South Africa na kurudi kwao. Tanzania...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama kawaida msema hovyo mimi nimekuja na jipya leo. Sasahivi mimi pamoja na jamaa zangu wa maeneo ya Gongo la mboto na Temeke tunafanya majadiliano juu ya kuwa na maandamano makubwa kupinga mgao...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimeona hii kutoka kwa kaka michuzi. Daa yaani mchina ametuzidi maarifa na uzalendo kariakoo kwanini wasiweke taa za barabarani hapo mahali. Au waheshimiwa hawapitagi hapo basi haka kavideo...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Leo tangua asubuhi Wafanyabiashara wa Kitanzania na Wasauzi Afrika wakiwa wanasubiria Wakuu waingie ili kikao kiendelee. habari zaidi Nitawajuzeni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hatimaye la Rostam Aziz alilovua kuota tena kwa mara nyingine! Hii ni kutokana na sababu kuwa tangia jamaa ajivue gamba mpaka leo hajapeleka barua ya kujivua gamba mahali popote panapohusiku...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MAANA NAONA MAISHA KILA SIKU YANAKUWA MAGUMU,NA HASA HAWA MAPROF,WASOMI KWA UJUMLA INCHINI KWETU WANA MCHANGO GANI KTK TZ YETU ZAIDI YA KULA MALI ZETU PIA NA HASA HILI LA KILA SECTOR WAWEKEZAJI JE...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtoto huyu haendi Loliondo Posted by GLOBAL on July 12, 2011 at 9:00am View GLOBAL's News Mtoto Cecilia Edward (14) (pichani), mkazi wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom