Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
naomba nipate ufafanuzi juu ya mapicha mengi sana anayoweka kikwete kwenye face book yake! naomba nijue kama inaweza kuleta tofauti katika mataizo tuliyo nayo, naomba nijue anapata wapi muda wa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Sean hoare aliyetoa siri ya kashfa inayoikabili kampuni ya News of the Word ya udukuzi simu amekutwa amekufa nyumbani kwake watford,hertfordshire huko uingereza.Bwana sean hore aliyekuwa mwandishi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
shibuda leo nimemuona akiongea na watu mbele ya safari hoteli kama alikuwa anafanya mkutano nami nikamsogelea akawa anatoa ngonjera zake kama kawaida alikuwa na waandishi my take kwa nini kama...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
tatizo la uchakachuaji mafuta,linaonekana limewashinda EURA,matokeo yake imekuwa siasa 2u!wakaona suluhisho ni kupandisha bei ya mafuta ya taa.wiki jana nilikuwa RWANDA,e bwana nimeshuhudia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wanaharakati wa lowassa wa Arusha jumamosi hii tutafanya kikao cha kwanza cha maandalizi ya maandamano ya nchi nzima ....sehemu ya kukutana tutawatumia kwenye namba zenu na mail zenu. pindi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF mlioko maeneo ya hospitali ya taifa ya Muhimbili, nimesikia tangu jana, Mawaziri, Rais wastaafu, Spika, wabunge, wakuu wa mikoa wamekuwa wakiingia na kutoka kwa misafara hospitalini hapo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ningetegemea sasa baada ya watu zaidi ya milioni 1 kupata kikombe kwa babu kuona wakifurika kwenye vyombo vya habari kutoa shuhuda, kwani najua kama wapo waliopona ukimwi na magonjwa mengine...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa miezi michache huku nyuma tulisikia mikakati ya Tanesco ni kufunga mita za luku kwa wateja wake kwa nchi nzima.Ili kuondoa wimbi la wadaiwa sugu wa shirika hilo hasa sekta za serikali na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aheri nirudi kijijini vava segito de yani nikiendelea kuwepo hapa mjini mwishowe nitaozea segerea bureeeee kisa Ngeleja na genge lake la ccm fu****k Tanesco!!Makampuni yangu yanazidi kufilisika na...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Niko kwenye gari naelekea mzigoni. Hewani nasikia kibao chake cha mr politician. Namkumbuka na kumuonea huruma. Hii ni mara ya pili analamba joka na mtu ana kaunti. Mara ya kwanza ni aliposain...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Utakuwa muujiza wa kipekee kama tatizo la umeme lililodumu zaidi ya miaka 6 litatatuliwa kwa wiki tatu!!!!!!!!!!!!!!! Watalindana lakini hatimaye kilio kitawafichua tu!!!!!!!!!!!!!! ****** na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati Malecela alipopitishwa na kamati kuu ya CCM kuwa mgombea wa urais mwaka 1985 Nyerere alisema hivi CCM siyo mama yangu kama huyu ndiye mliyemchagua kugombea urais kadi yenu ya uanachama hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwanini baraza la vyuo vya ufundi nchini hawabadili mfumo wao? Yaani muda wa kuanza masomo hadi mwaka wa kumalizia. Mkwani vijana wengi hukaa bure mwaka mmoja nje wakingoja kujiinga na vyuo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Katibu mwenezi wa CCM Mheshimiwa Nape Nnauye akiwaimbia wimbo maelfu ya wafuasi wa chama chake waliofurika kumsikiliza katika mkutano wa hadhara uliofanyika hivi karibuni mjini Mbeya. Na kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeshangazwa sana na viongozi na waheshimiwa wabunge kupitia CCM kupinga kwa nguvu zote suala la maandamano, lakini siku za karibuni imeriotiwa kwamba katika mkutano utakao fanyika mjini Mbeya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi...mwezi uliopita nilikuwa Mkoani Iringa....nilikaa kwa zaid ya mwezi mmoja na nusu.Kweli jimbo la Isman Masikini!! Safar yangu ilikuwa ya kiutafiti...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari..i'm a single tanzanian lady and i really wish to adopt mtoto wa kike wa hapa.najiweza kiuchumi ila nipo single.kuna mtu anayejua kuhusu process ya kuadopt??naishi bongo and i dont plan to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni Grid au ni kwetu Sisi wanyonge tu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Niko nacheki taharifa ya habari juu ya kusimama kwa bunge katika bajeti ya nishati na madini mara ghafla Ngeleja anakata umeme,sijuhi vipi huko wenzangu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niko nacheki taharifa ya habari juu ya kusimama kwa bunge katika bajeti ya nishati na madini mara ghafla Ngeleja anakata umeme,sijuhi vipi huko wenzangu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom