Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hamjambo wana jamii forums. Nadhani wengi wenu mmekuwa mkiona baadhi ya picha na maelezo ya watanzania wenzetu wenye shida ambao mara nyingi huwa wanatumia vyombo vya habari katika kuomba msaada...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
As many of you are aware of the scandal regarding the Uhuru Park in Moshi, it is mind boggling to note that todate the Goverment have not take any actions against the people who signed the...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Me naona kizazi kijacho kitakua tofauti kidogo na hichi cha kwetu, nakumbuka enzi zile nikiwa junior schools nikienda shule kila mkubwa ninayekutana nae lazima nimsalimie, ila siku hizi hawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii vurugu inaendelea maeneo ya Nyakato National karibu na kituo cha polisi cha Mwatex, magari yamezuiliwa. Tutaendelea kuwajulisha nini chanzo cha vurugu, ila habari nyepesi ni kwamba kuna kundi...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Hivi karibuni karibuni habari kuhusu mapacha watu zimepamba moto. Lakini mpaka sasa hakuna mtu au chombo cha habari kilichohoji dhana ya mapacha watatu. Kwa muda mrefu tumeelewa mapacha watu kuwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
NIMEFURAHISHWA SANA NA KITENDO CHA MWANA JF KUHOJI KUHUSU KUONDOKA KWA MWANDISHI EZEKIEL KAMWAGA WA MWANAHALISI, INGAWAJE NIKO NJE YA NCHI NAOMBA NIWAONJESHE KIDOGO KUHUSU HUYU KAMWAGA ALIVYOANZA...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
nafurahishwa na waziri Mwinyi jinsi alivyo makini, mwenye uelewa, stahaa na mwenye kujiandaa. Anapojibu maswali anaonyesha uelewa, ukomavu na usikivu. Anaweza kujenga hoja bila kutegemea msaada...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkama anajigongagonga tu dogo kamshika pabaya!!!!! Je tutafika?
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Huyu mama viti maalum chadema - maryam msabaha kweli ni mzigo. Inaonekana aliandaliwa points na Tundu Lissu lakini kashindwa kuwakilisha.
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu umefanyika utafiti Tanzania na inaonyesha kuwa harufu mbaya ya soksi chafu ni mtego bomba kabisa wa kunasia mbu. Mtego huo una uwezo mkubwa mara 4 zaidi ya mitego ya "kawaida". Hivyo basi ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna vurugu zinaendelea maeneo ya Nyakato national karibu na kituo cha polisi Mwatex.
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Nawaomba kuwakumbusha ofisi ya waziri mkuu watambue tatizo lililopo ni janga lakitaifa kama mengine yanavyotokea!matharani mafuriko njaa n.k!Kwani kuiachia Wizara ya nishati nikuitwisha mzigo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I wonder if TISS has any idea that availability and access to electricity is an issue of interest to the security of the country!!
0 Reactions
3 Replies
970 Views
Nalileta hili kuhusiana na kinachoendelea katika Mbunge letu kwa sasa, nilijua ni Makinda tu hawezi kumudu kuongoza mijadala, J. Mhagama naye naona hakuna lolote ameshindwa kabisa kuhimili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mwenyekiti wa cuf amerejea leo asubuhi kutoka nchini india alipokwenda kufanya uchunguzi wa afya yake.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuzimika Kwa Taa Neshno: Serikali Imehuzunishwa Sana | JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Serikali...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kufuatia bwana rostam kujiuzulu ubunge, natangaza kugombea ubunge jimbo la igunga, naondoka houston next week kurejea tanzania
1 Reactions
33 Replies
3K Views
90%ya watu wanapokuwa wazee hupata shida sana za kiuchumi na hii hufanya wawe ni watu wanaoumwamwa maramara kwa sababu ya msongo wa mawazo,wanakuwa ni watu wakuwaona watu wote ni wabaya hii ni kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika pita pita zangu kitaa nikakuta magroup ya watu kibao maeneo ya Nyakato Nation nilipofika maeneo ya Mwatex ndio jamaa wakasema kuwa mwanajeshi alikuwa na pikipiki akapigwa na Mapolisi so...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
fungua hapa:www.kizobrax.blogspot.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom