Thirteen members of an Eritrean football team have asked for political asylum in Tanzania after a regional tournament, officials say.
After Red Sea FC lost the Cecafa championship semi-final on...
Kadiri siku zinavyosonga ndivyo jf inavyozidi kuaminika na kuwa king'amuzi kikuu cha vyombo vyote vya habari!
Habari yoyote yenye mashiko hapa tz lazima ianzie jf! Hata kama habari ipo tumboni...
Mh Naibu waziri wa Afya Lucy Nkya kalihabarisha bunge kuhusu LOLIONDO jioni hii bungeni kuwa Ufanisi wa Dawa utachukua Muda kuweza kuthibitisha kama inaponyesha ama la'
Kwa sasa watafiti wa NIMR...
Wapendwa wanaJF, kuna habari kuwa mbio za mwenge wa uhuru kwa mwaka 2011 hazitakuwepo. Naombwa kujuzwa: Je tetesi hizi ni za kweli na kama ni kweli ni kwa sababu zipi za msingi ikiwa WATANZANIA...
Baada ya michuano ya kagame cup kumalizika,imefahamika wachezaji kumi na tatu kutoka timu ya red sea ya Eritrea wamepotelea tz,wakikimbia kurudi kwao kutokana na umaskini pamoja na serikali ya...
Kipindi cha sport kizaazaa kinachorushwa na ITV kinapoteza mwelekeo na maudhui yake. Hii inatokana na wachangiaji pamoja na waendesha kipindi kuacha kujadili michezo kwa ujumla na badala yake...
Mwakalebela leo kafunguka kuhusu kukatika kwa umeme u/taifa ni hujuma zimefanywa na baadhi ya watu.
Source: radio one
Tukumbuke huyu jamaa amepita sehemu hiyo....
Na ni kwanini ameongea...
Bunge Linaendelea, muda huo wengi tupo katika mihangaiko inayoleta chakula mezani lakini tungependa kufatilia. NANI ANAJUA REDIo wanayotangaza Bunge, frequency ni ipi?
Asante!
From
Subject
Date
Size
Rumsfeld
Plans to invade Iraq are ready, but that spoil-sport Powell disagrees
Sept 1
10k
Hamid Karazai
We need more prostitutes in Kabul, Too many GI's...
Philipa Mturano mbunge wa viti maalumu CDM anachangia bajeti ya wizara ya afya na kulalamikia dawa za kuongeza nguvu za kiume. Anasema wanaume wakitumia hizo dawa inakuwa balaa kwa akina mama...
Wana JF leo Bungeni Bajeti ya Wizara ya Afya bado inajadiliwa, Kinachoniuma kuna ufisadi mkuwa sana unafanyika katika hizi management za Afya za wilaya na mikoa maarufu kama CHMT na RHMT, na pia...
Maalim Seif awataka viongozi kuheshimu utawala wa sheria
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amewataka viongozi na wananchi kwa jumla, kuzingatia utawala...
JEDDAH: Labor Minister Adel Fakeih listed over 20 jobs that women would not be employed in, while highlighting on Monday the need for other departments to assist and promote womens employment...
Wana JF pongezi kwa uchangiaji wenu. Kwanza namshukuru Double agent kwa kutuwekea orodha ya namba za simu za baraza mawaziri kivuli(shadoq cabinet) tunaomba mtusaidie tuwekeeni pia namba za baraza...
MAJIBU YA MAWAZIRI WA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TNZANIA DHIDI YA KERO ZA WANANCHI
Swali alilouliza mbunge ni kweli lipo na serikali ina taarifa nalo
Suala hili ni nyeti na hasa kwa...
Wadau ni aje? jamani kwa wlio soma kwa mikopo mmeshuudia makato ya mwezi uliopita mbona yamepanda ghafla mpaka kufikia sh 150,000/= toka sh 13,000/= naomba ufafanuzi kwa mwenye taarifa sahihi.
Nijuzeni jamani ni sawa / halali spika au mwenyekiti kutoa " maksi" kwa mtoa swali au mtoa jibu katika mijadala ya bungeni. Mfano hasante kwa swali zuri sana au sawasawa hasante kwa jibu zuri au...
Tangu ile dk ya 112 pale yule kijana anaeitwa Asaliwamoyo alipotufunga bao la ndondokela hali yangu kiafya ilitetereka kiasi cha kuhatarisha maisha yangu!
Kweli nimeamini soka la bongo nuksi...
makamu wa kwanza wa Rais wa zanzibar na katibu mkuu wa cuf amesema ni ndoto ya mchana kama ipo siku atarudisha kadi ya cuf na kuchukua ya ccm, "anasema siku makamba alimwambia anaona aje...
Chama Cha Democracia na maendeleo huenda kisifike ktk hali nzuri ya kisiasa mwaka 2015,hii inatokana na hali halis ya
mgogoro uli
ofichika k
wa muda kati ya Zitto na Mbowe sasa umeanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.