Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad amesema chama chake hakina uwezo wa kutekeleza Ilani yake ya uchaguzi wa Zanzibar 2010 kwa sababu hakina Rais huko na kuwa Rais...
Ukiiangalia kwa makini nchi yetu sasa inakabiliwa na majanga makuu yasiyokuwa na idadi. Mie nitaje matano tu.
Janga la kwana; suala la udini ambalo limeruhusiwa rasmi katika taifa hili...
Wanajamvi:
Kufikishwa mahakamani kwa Mbunge huyu wa upinzani kunaifanya idadi ya wabunge wa upinzani kufikishwa mahakamani na serikali ya CCM tangu uchaguzi mkuu mwaka jana (chama hichi...
Wednesday, 17 February 2010
Uchunguzi wa awali wa vyanzo vyetu mbalimbali unadokeza kuwa hadi hivi sasa zaidi ya shilingi bilioni 25 za vocha ya manunuzi ya pembejeo za kilimo (hususan mbolea...
BREAKING NEWS.....SERIKALI LUDEWA YASABABISHA SHULE KUANGUKA
SHULE mpya ya msingi katika kitongoji cha Mbugani kata ya Mavanga wilaya ya Ludewa mkoani Iringa iliyojengwa kwa nguvu...
MAJIBU YA MAWAZIRI WA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TNZANIA DHIDI YA KERO ZA WANANCHI
Swali alilouliza mbunge ni kweli lipo na serikali ina taarifa nalo
Suala hili ni nyeti na hasa kwa...
Water birth comes to UAE
By Arab News
Natural birth enthusiasts are all abuzz about the opening of a new hospital in Al-Ain that will offer birth in a...
zainabu bakari mkazi wa mtwara amepigwa talaka a.k.a (ban) na mmewe baada ya kugundulika alihudhuria kiliniki ya macho na kupewa miwani. Mmewe kadai kitendo cha kupewa miwani ni mbinu chafu za...
MFALME Otumfuo Osei Tutu wa Pili wa Ufalme wa Ashanti
Mfalme wa Ashanti akiingia ikulu kwa staili ya aina yake, huku akikaribishwa na Rais Kikwete.
*TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*
MFALME...
Swedi Mwinyi aokoa studio za TBC Taifa kuungua kwa moto
ADELADIUS MAKWENGATBC!
1338 EAT
Kama ilivyo kawaida ya siku ya jumamosi ni siku ya mapumziko huku baadhi ya taasisi kama vile...
habari zenu wakuu,
Nimekuwa mfuatiliaji wa hoja nyingi humu Jamii forums haswa kwenye siasa na nadiriki kusema kuna umuhimu wa kuwa na neno jipya la kumaanisha mrengo fulani wa muhusika katika...
Wanajamvi kwa jinsi wenzetu wanavyojua kuwajibika kutokana na uzembe unaotokea chini ya mamlaka zilizo chini yao, waziri wa ulinzi wa cyprus costas papacostas amejiuzuru mara moja kutokana na...
Leo nimezunguka ATM zote za mjini Arusha na card yangu ya crdb lakini nimeshindwa kutoa fedha.machine ziko connected lakini ukikamilisha process ya withdraw unaambiwa "huwezi kuwasiliana na bank...
Mtandao wa kijinsia tanzania (TGNP)unaandaa semina ya demokrasia na maendeleo,ardhi,nguvukazi,na maisha endelevu litakalofanyika tarehe13 hadi 16 septemba mwaka huu jijini Dar es salaam
tamasha...
Naomba msinitoe roho....kuniuliza T-shirt ziko wapi.....T-shirt zipo kiwandani ndio zinatengenezwa na pale zitakapo kuwa tayari mtafahamishwa.
Sasa mlikuwa mnahitajika mtoe maoni yenu...
Wakubwa wenzangu haya ni mawazo yangu na nawaomba myampokee, hii Dowans imezidi na mafisadi by any means wanaitaka hii hela washatongoza kila sehemu hadi kina kagoda washalainika na sasa hivi...
Zenji kumekucha siku hizi hakuna ushungi ni vitop na jeans za kubana.Wazenji bado wanasema kuwa wabara ndio wanaoiaribu kwa kutokuwa na maadili wakati mwingine wanasema kuwa hata wale kaka poa sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.