Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wazungu huwa wanichekesha sana mie!. Utaona mtu tajiri sana kavaa nguo hata sh.200 haifiki.Akina mama ndio kabisa nguo ya kulalia ndio anatembea nayo sokoni.Hata wakiwa wake wa maraisi wanavaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Umeme umekatka uwanja wa taifa, kombe bado halitatolewa
0 Reactions
153 Replies
13K Views
Mwishoni mwa semester iliyopita ulitokea mgomo UDSM, kilio kikiwa ni "Kupungukiwa" hela za kujikimu. Wanachuo Wali poozwa kwa kuahidiwa kuongezewa kiwango cha hela kwani gharama za Maisha ni...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Wadau nipo mbali na luninga,naomba kupata update ya mechi za leo,nini kinaendelea?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
mi nina shangaa siku hizi. utakuta ka-binti kadogo na bado kanasoma shule ya msingi lakini matiti yamelala. nikiangalia zamani, ulikuwa unakuta msichana kesha maliza darasa la saba miaka mitano...
0 Reactions
63 Replies
11K Views
Bimbo akiwa na mapacha wake sita nchini Uingereza. ....Kabla hajajifungua. MWANAMKE mmoja raia wa Nigeria, alipotambua ana ujauzito, aliamua kwenda Uingereza akitegemea watoto wange wangepata...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Gazeti linalomilikiwa na CDM kwa mara nyingine tena toleo la leo jumapili lina taarifa yenye mwelekeo dhahiri wa kuwabeba mapacha watatu.Ni aibu kwa chama kinachojipambanua kupinga ufisadi...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
nashauri watanzania tuifanyie kitu hii serikali ili serikali ijayo iwe inajua kabisa sisi wenye nchi tuna nguvu, hawa jamaa ndio waliocheza deal la radar mpaka waingereza wakaingilia kati,hawa...
0 Reactions
2 Replies
938 Views
Mashine hii baraa ikiangukia mikononi mwa majambazi jiulize inakuwaje??
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Muda sasa umepita mrefu kidogo bila kusikia habari za babu! Hivi, anaendelea kugawa vikombe? Na kwa nini hasikiki kwenye vyombo vya habari siku hizi kama zamani?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Suala La Uraia Pacha Tanzania Suala la uraia pacha limejitokeza tena kuwa hoja nzito katika mkutano wa tatu wa uratibu wa wadau Watanzania wanaoishi ughaibuni (diaspora), huku baadhi wakiitaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Namshukuru MUNGU kwa kuendelea kila siku iitwapo leo. Namshukuru kwa kunipa mahtaji yangu ya roho na mwili, pia namshukuru kwa kunipa marafiki weng ndani na nje ya jf. Kwa kuweza kushare mambo...
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Wadau maisha ya mtanzania siku hadi siku yanazidi kuwa magumu,kwa upande wa Dar miongoni mwa mambo ambayo yanaendelea kututesa na kutupotezea muda mwingi barabarani ni foleni za magari, katika...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Sheikh Azzan Amjibu Dr.Bilal kuhusu waliochomewa Vibanda | mzalendo.net on blip.tv
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari! Na mimi najitahidi kutangaza vivutio vya utalii Tanzania! Jamaa yangu anataku kutembelea TZ mwezi ujao n akusafiri mikoa ya kusini hadi Mozambique. Kutokea kule (Mozambique) nadhani...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Wadau naomba nililete hili kwenu ili tushauriane, mimi kiukweli linanikwaza mnooo jinsi wizi huu wa kimachomacho tunaofanyiwa watanzania bila wenyewe kujijua wala kufikiri...... Mwananchi akitaka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kila ninayekutana naye na nikamwambia nichosomea, ananiuliza "umeamua kuwa mwizi"? Hii ni kutokana na fani yangu kuhusika na "manunuzi na ugavi",, hivi ni kweli katika fani hii wizi haukwepeki...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Katika miaka ya hivi karibuni mashindano ya umiss yamekuwa maarufu sana kuliko zamani. Makampuni mbalimbali wamekuwa wakidhamini mashindano haya kwa fedha nyingi sana. Waheshimiwa wengi wamekuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wajamen! leo nime check with much more concentration mpira btwn france & england.hallo, ilikuwa vigumu sana kutambua kuwa wachezaji walikuwa nikina dada! je hawa wakicheza friendly na taifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wachina wanakula nyama ya mtoto, ... bahati mbaya mimba ikiharibika hawaziki wao wampika na kumla... nimeshindwa kuweka hapa hizi picha kutokana na kwamba Jf kuna watu wa imani na maadili...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom