Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Heshima wakuu!! Mara nyingi katika michango mingi inayoandikwa humu kuna baadhi ya vifupisho vinatumiwa ambavyo mimi huwa sivielewi maana yake au kirefu chake. Naomba msaada wa kunipa kirefu cha...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Turning to JF members for help. About a week ago news in the media were such that (reported) Tanzania had, during the last ten years ending June 2011, managed to export gold worth US$ 5 billion. I...
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Jamani nimesikia kwamba mafuru aliyekuwa voda amekuwa mkurugenzi wa shirika la posta tanzania,nataka kuwahamu kama habari hiyo ni ya kweli,please it is personal but nataka kufahamu tu coz jamaa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Huyu kijana hata hakujua ujumbe wake aupeleke wapi doh! Sijui ndio kuchoka huku?
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nikiwa kama mfano wa mwalimu ninaefundisha somo la Civics shuleni je ni sahihi nikitumia Topics mbalimbali ku relate Topic zangu kwa kuwapatia wanafunzi mifano mbalimbali juu ya ufisadi unaofanywa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zanguni ilikuwa mchana niiliposikia kwenye kikao cha bunge mbunge wa mbeya mr 2 aliposema atoruhusu clouds fm kupiga ujinga wao wa kila mkoa wanaoendeleza inaua vipaji leo nimesikia diwani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi karibuni nimesikia jitihada za serikali kuzuia uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Sina shaka kwamba hatua hizo ni kinyume cha kanuni za biashara huria, na pia kwamba zina madhara ya moja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I keep wondering what our leaders consider of more importance as far as their duties are concerned! ask me why? of recent our PM (Mtoto wa Mkulima) discharged his daily activities and left Bunge...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WASHINGTON — The number of dollar bills rolling off the great government presses here and in Fort Worth fell to a modern low last year. Production of $5 bills also dropped to the lowest level in...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF, naomba kujuzwa, hivi wabunge wanalipa ushuru au hawalipi wakiwa wanaagiza magari kutoka nje ya nchi?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau naomba mwenye taarifa atujuze, nasikia ghalama ya vibali kama uraia, vibali vya makazi na vinginevyo vimepanda maradufu naomba taarifa kwa mdau wenye taarifa nawakilisha
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jana nikiangalia habari saa 2 usiku kituo cha ITV, kuna habari ilinisikitisha sana,Imekuwa ni kawaida ya kuona wagonjwa wa akili wakila majalalani. Lakini huko Dodoma watu wenye utimamu wa akili...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwishoni mwa karne ya 20, tanzania ilianza kuuzwa, ila wawekezaji wachache ndo waliokuwa na udhubutu wa kuinunua, hata hivyo walioweza kuinunua walichukua zile sehemu pevu nia yao ilikuwa 1...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Meya wa Mwanza, Kutoka chadema ameanisha kuwa Mkurugenzi Kabwe anazidi kutumia na wanasiasa ili kuidhofisha Chadema. Hii ni baada ya kutokea vurugu za Mza kati ya Polisi na Machinga. Madiwani wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
SERIKALI wilayani Morogoro imetoa onyo kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kusitisha maandamano yake iliyokusudia kuyafanya hivi karibuni katika baadhi ya mikoa ukiwamo wa Morogoro...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Mbunge wa Mpanda Mjini (CHADEMA) leo aliuliza swali kuhusu uuzwaji wa hisa za TTCL mwaka 2000. Inawezekana baadhi ya tarakimu hapa nikizikosea, lakini bado msingi wa hoja yangu ukawa usiathirike...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kufanya background research ya Famine in Africa particulary in Ethiopia, nikakutana na hii comment ambayo imeshinda kama "the best comment" : "In Ethiopia іtѕ thе same...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mgao wa umeme umekua mwiba kwa wakazi wa Arusha,kwani inasadikika kuwa bidhaa ya sembe imekuwa adimu kwa sababu ya kukatika umeme kwenye vinu vya kampuni inayohusika na ukoboaji wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni saba saba day, nimeenda kwenye vituo tofauti tofauti vya mafuta(Petrol stations) nikitaka diesel kwa ajili ya ka-generator kangu nikijihami na mgao wa umeme,Sasa niliyoyakuta huko...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wandugu naomba mnisadie kufahamu historia ya sabasaba na uhusiao wake na maonyesho ya biashara nimekuwa nikiangalia picha za matukio ya jana yaani 7/7/2011 kwenye vyombo kadhaa ya habari cha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom