Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ndugu zangu, kidumu chama chetu! Nawapa pole kwa kazi ngumu, tunayoifanya bila kusinzia, kupeleka ujumbe kwa kueleza mazuri na mema ya Serikali yetu. Kazi hii haijawa na haitakuwa rahisi hata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inauma sana Tanganyika yenye takriba watu mil 40 kumezwa na Znz yenye watu mil 5! Huku tukiwa tunaugulia hilo, chama cha mapindu kimegeuka kuwa genge la wezi wa laslimali za tanyanyika! Na sema...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani akina mama watu wazima jalibuni kuvaa nguo za heshima, mama miaka 40 unavaa kinguo cha ajabu hadi mtoto wako anakushanga acha hh.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana mida ya jioni nilipanda dala dala kutoka maeneo ya Mwenge nikielekea Mbagala. Kama tunavyojua, kuna umbali mrefu kati ya maeneo haya! Nimezoea kuona Shutuma nyingi sana dhidi ya serikali...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Na; Joseph Mihangwa; Gazeti la RAI MWEMA; 29 Jun 2011 Toleo na 192 Waziri wa Mipango wa Mwaka 1994 hayati Horace Kolimba alitembelea nchini Malaysia, Julai 1994, alikozungumza na wawekezaji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana jioni kulitokea ajali ya gari wilayani same kata ya vudee.Watu kadhaa wamefariki.Na baadhi walijeruhiwa na kuwaisha hospitali ya wilaya ya same.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mara kadhaa nimekuwa nikitaka kutumia huduma aidha ya m-pesa au tigo-pesa nashindwa kufanikiwa au inachukua muda sana, ukiwauliza wahusika wanasema 'mtandao upo down'..... hivi sababu ya mitandao...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
IPTL under fresh investigations by PCCB Tuesday, 05 July 2011 23:11 By Mkinga Mkinga The Citizen Reporter Dar es Salaam. The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika kijiji cha Izegelo, tarafa ya Mzenga, wilaya ya Kisarawe, waziri Hawa Ghasia kajinyakulia eka mia sita kwa bei isiyozidi shilingi laki tatu, alichukua advantage ya umasikini wa wananchi wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hakuna asiye jua CDM ilivyo kipenzi cha wana mwanza. Tunataka kauli sasa dr slaa, zitto hupokewa mwanza kama mfalme, where is comrade mbowe, mtete wa wanyonge where is lissu na wote, tunataka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
An opportunity for funding for postdoctoral research through a collaboration between Tanzania's COSTECH, Sweden's Sida and Netherland's NWO/WOTRO Call for proposals: TASENE The TASENE...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika Hotels nyingi kubwa kubwa sehemu mbali mbali Duniani, utakuta kwenye bafu, kuna mataulo matatu. Moja kwenye sink(spelling!) la kuogea, pili kwenye sink la kunawia/kupigia mswaki na tatu...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Indian Textile Minister Dayanidhi Maran has resigned following allegations of involvement in the country's biggest corruption scandal, media reports say. Mr Maran, who belongs to a key ally...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Wakuu, kuna mtoa mada aliyeandika kuwa Mufti Simba aliyasema maneno haya: "Naye Mufti Mkuu, Alhaji Issa Shaabani Simba, aliwataka watoto wa marehemu kuendelea kuwa na umoja kama awali baba yao...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
hivi raisi wa nchi anapochorwa kwenye zulia la kukanyagia mns akili yake iko kama zulia lakukanyagia je huyu mhe kumtuma mkewe apokee zulia lenye sura yake anastahili?? Kwenu wadau naomba maoni...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Young Bilionea wa zama zetu riz1 ni mwanasheria kwenye kampuni ya watoto wa vigogo IMMA Advocates,kuna tetesi kuwa tangu ameanza kazi ya uwakili hakuna hata kesi moja aliyo wahi kuisimamia na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tumekuwa na utaratibu wa wana JF tunaoishi Arusha kukutana kila mwezi na kesho tarehe 2, July 2011, kutakuwa na kikao cha wana JF waishio Arusha kuanzia saa 11:00 jioni pale Soweto Club, maeneo...
1 Reactions
117 Replies
8K Views
Unatuma msg kwenda 15444 kutaka kujua salio la internet hakuna jibu unapata, ukipiga simu customer care unaambiwa kwa sasa hii huduma haipatikani piga no 0784 104 800, napo hapo unaambiwa huduma...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
SERIKALI imetoa Sh. milioni moja kwa mwanafunzi aliyepigwa risasi na polisi wakati wa vurugu za wanafunzi za kufunga barabara eneo la Mbezi kwa Yusuf Dar es Salaam wakishinikiza kuwekwa matuta na...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
"Halmashauri nyingi nchini kupitia kwa wakurugenzi wake zimekuwa na matumizi mabaya ya fedha za serikali kwa kipindi kirefu, sasa utaratibu unaandaliwa wa kuwabana viongozi hawa," alisema Pinda...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom