Kama kweli tunataka kuendeleza kilimo haya mambo tunatakiwa tuyaangalie kwa uangalifu. Haiwezekani mkulima alime kwa juhudi zake zote, leoa anataka kuuza matunda ya kilimo chake ili ajipatie...
Gazeti pendwa na maarufu la uchambuzi wa siasa na wa kijamii la Raia Mwema la leo 06/07/2011,toleo na.193,limejaa matangazo tu.Kati ya kurasa 36, 21 ni matangazo ya hotuba za kule Dodoma.Mimi...
WABUNGE wa Bunge la Tanzania wametaka tuhuma za kuwapo udini nchini ikiwa ni pamoja na ndani ya vyama vya siasa zishughulikiwe kwa kuchukuliwa hatua kuzikomesha.
Wakichangia Makadirio ya...
The Wave, Coyote Buttes, AZ
Set in the remote Paria Canyon-Vermilion Cliffs Wilderness in northern Arizona, this dazzling rock formation, which looks like a cresting wave frozen in time, isnt...
USHAHIDI ni ithibati ya kuona kitu au tendo ama kusikia maneno na kuhakikisha kwa kueleza mambo yaliyokuwa yakitendeka; uthibitisho, ushuhuda. Suala la wabunge kutakiwa kutoa ushahidi wa madai yao...
Tumekaaa kwa muda usiopungua masaa mawili tukiwa tumefungiwa barabara ya kutokea Tumaini Hospitali, hatukuambiwa chochote kinachoendelea, lastly tukaamua kumfuata askari maarufu kwa KKSECURITY...
Suitcase Escape Bid Foiled At Mexican Prison
A Mexican woman has been arrested for trying to sneak her husband out of prison in a suitcase following a conjugal visit.
Maria del Mar Arjona...
Tanzania imeombwa kuisaidia Gabon kubuni, kuanzisha na kusimamia mitaala inayofaa kuanzisha ufundishaji wa lugha ya Kiswahili katika shule za nchi hiyo kutokana na uamuzi wa Serikali ya Gabon...
TIMU ya wabunge walioenda nchini Uingereza kufuatilia malipo ya rada kwa Serikali ya Tanzania imekabidhi ripoti yake kwa Spika wa Bunge inayopendekeza mambo mawili, ikiwamo kushtakiwa kwa...
Habari wandugu, kuna kitu kinasikitisha hivi Dar es salaam tena wilaya ya kinondoni hadi leo hakuna umeme ukiuliza utaambiwa wanaleta.
Kuna ndugu yangu anaishi bunju kwenye maeneo ya bunju...
Wakati mkijilisha pepo na matanuzi wenzenu wanatanuliwa na dhiki.je mnawawakilisha wao au matumbo yenu?.Kwani tulipowachagua tuliwaambia mwende kusimama?Mbona wafanyakazi wengine tena wa...
About 200 people drowned in the Red Sea when a boat carrying migrants to Saudi Arabia sank off the Sudanese coast, Sudanese media say.Only three people had been rescued, according to the Sudanese...
Pengine unaweza jiuliza vigezo gani iweje unatuletea matokeo haya anyway
si mbaya kukupa ukwelileo simba anafungwa aijalishi mangapi hayo uliyoyaona ni minimum
tu kwa bahati mbaya baada ya mechi...
Huyu MWANAMIPASHO CCM wamemtoa wapi huyu? anasifia mambo ya barabara za lami,Shule,Mabwawa na soon watawekewa barabara ya lami Nzega-Tabora ndo anaona leo wakati ni BASIC NEEDS... Magamba wana KAZI...
Washington: After Navy SEALs killed Osama bin Laden, the White House released a photo of President Barack Obama and his Cabinet inside the Situation Room, watching the daring raid unfold.
Hidden...
Leo Magazeti mbali mbali yameripoti kuhusu kiloo cha Mkurugenzi mkuu wa TANAPA kushamiri kwa vitendo vya Ujangili vinavyoshamiri katika Hifadhi zetu za Taifa,sasa ni wakati mwafaka wa Kutongoja...
Wataka uchunguzi Barabara ya Kilwa uharakishweBy Dullonet Tanzania
July 5, 2011Posted in: Mikoa Mbalimbali
Na Godfrey Ismaely
WANANCHI wa Mkoa wa Dar es Salaam wameitaka...
Jana usiku kwenye Taarifa ya TBC walimhoji Hawa Ghasia kuhusu bajeti yake hasa hasa suala la salary; katika mahojiano yale mafupi nilipata mambo kadhaa ambayo yalinitia kichefuchefu kumuona mtu...
Polisi mkoani hapa wanamsaka na udi na uvumba mwandishi wa channel 10 Juma Kapipi baada ya mwandishi huyu kurusha matukio ya kuuwawa kwa wanachi na jeshi la polisi wilayani Urambo hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.