Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
wanajamvi, leo jioni nimeshuhudia mbunge wa iramba magharibi ambaye pia ni muweka hazina wa ccm, Mwigulu madelu nchemba, akikimbia hoja za wapiga kura wake, awali akihutubia wananchi kata ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiingia katika migogoro ya hapa na pale na vijana kama tulivyozoea kuwaita "makonda"wa mabasi yanayofanya trip zake kati ya Mwenge-Bunju hapa katika jiji la Dar es Salaam.Kikubwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kuna kitu wabunge wa ccm wanakosea ni kutofanya utafiti wa yale waongea yao ,kiasi kwamba wanahoja zisizo na mashiko ,leo nimemwona John mnyika akija na mfano wa bajeti ya zambia kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Hiyo ni wheel cover kwenye gari ya Mh. Lema,mbunge wa Arusha mjini
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Toka alipochaguliwa hajaingia bungeni kutokana na ugonjwa. sheria/katiba vinasemaje? hata kuapishwa bado
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu nimeona viongozi wa ccm wakipoteza muda mwingi kwenye mikutano yao kuwaeleza wananchi namna wanavyochukua hatua za kujisafisha, kila anayesimama kwenye jukwaa hadithi imekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa ameshuka mwenzake anapaa kazi ipo. Wanapokezana tu kama mbio za vijiti.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
sasa wameanza kuweka chuma kwenye gari zinazopaki vibaya for 24 hours,mchana kwenye mistari ya ukingo wa barabara haionekani je usiku, isitoshe road light zote hazifanyi kazi na mgao juu,faini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear All, Please be informed that armed thieves have recently come up with a more “efficient” method of disarming people in the CBD. They extend their arm for a handshake after asking for...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
wadau naomba kuuliza, Afrika kuna umoja wa wake wa viongozi wakuu wa nchi za Afrika. vipi kuhusu nchi ya Liberia? nani huiwakilisha?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Powered by Google Docs Sina hakika kama ilishakuwa posted humu. Kwa wale ambao hawajaiona, tafadhali fungua link hiyo juu ujionee. Ni ndefu ila imeeleza mambo mengi kiuwazi yanayohitaji...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna majambazi wamemwibia mama mmoja kiasi cha pesa alichokuanacho kwenye gari......mchezo ulikua hivi.....huyo mama alikua kwenye foleni mbele kidogo ya kituo cha chama, na nyuma kidogo ya kona...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo asubuhi nimeona kituko cha ajabu sana kuhusiana na askari mmoja wa kampuni binafsi ya ulinzi akiwa lindoni kwenye duka la kubadilishia fedha Snow Crest mtaaa India street akiwa amesimama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wanajamvi Hali zenu! Hawa ngozi nyeupe wana maajabu aina yao maana angekua babu yangu angeambiwa mwanga mkubwa! Nimemuona anacheza nao chui...tena chui hao wapo wawili wamemfanya rafiki! Mh...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The world's longest sea bridge, Qingdao Jiaozhou Bay Bridge, in Qingdao, Shandong province, China, was officially opened on Thursday, June 30. The bridge is 42 km (26 miles) long. 26miles...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nadhani wakuu yale anayoyafanya Madam spika bungeni yanafanana na CV yake hasa kwenye eneo la elimu...........kwa cheo kama chake nadhani tuliitaji mtu mwenye elimu kubwa...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Ndg zangu wana JF na watanzania kwa ujumla. Na mika mingi tangu nimalize elimu ya juu hapa TZ nikabahatika kupata kazi. Kazi yangu ni inahusika na kutoa huduma kwa wateja sasa kabla hata sijaomba...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna taarifa kutoka kwenye vyanzo vya karibu na mch. Rwakatere vinaonyesha kuwa , tayari ameipata cd iliyochezwa kanisani fgbf church na sasa anasema sauti hiyo si yake , na ni njama za...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Kwa nini Sasa wakened wanajiita eastafrican powerhouse wakati hata kula ni shida?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo nilipata hii e mail. Tahadhari kwa yeyote atakayepata mails kama hizi, hawa ni matapeli. Kwanza binafsi sihitaji visa ya kuishi/kwenda Marekani ndio maana nikawastukia. Pili, serikali ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom