Mods, naomba mnisaidie jamani, hiki kitufe cha Thanks utaratibu wake wa kukiweka ukoje? maana leo unakiona kesho hakipo, sababu zinazopelekea kukiweka nakukiondoa ni zipi hasa?
Benki Halisi ya Kitanzania
TAARIFA KWA WAFANYAKAZI
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Posta Tanzania anapenda kuwafahamisha Wafanyakazi wote wa Benki ya Posta kwamba Mheshimiwa...
Tangu nimejiunga JF mwaka 2008 nimekuwa huru katika mawazo yangu, na nimekuwa huru kufuata msimamo mmoja ule ninaouona kuwa ni sahihi zaidi.
Sijawahi kuipenda CCM hii, wala sijawahi ku-advocate...
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Wilbroad Slaa amelitaka Jeshi la polisi nchini kutoingilia masuala ya vyama vya siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka wajibu wake.
Kadhalika Dk alisitiza kuwa...
Wadau! hasa wale ndugu zangu wa TANGA hebu nihabarisheni, Tanga driving school bado ipo? jumba la sinema likiitwa Tanga Majestic Cinema bado lipo? sababu ya kuuliza ni kwamba kuna ndugu yetu...
US anti-piracy body targets foreign website owners for extraditionBritons could face charges for breaking US copyrights even if they have no link to America and servers are based elsewhere
Peter...
By Mkinga Mkinga
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Tanzania is set to borrow $700 million (about Sh1.05 billion) from the Export-Import Bank of China to fund a power plant for boosting the...
Hebu jamani niwaulize, leo nimeona watu wazima na akili zao wengine wakijiita wasomi wenye phd akiwemo mkurugenzi wa EPZ na Twiga bancorp wanamdanganya nani kwamba kuwepo sabasaba kuna tija kwenye...
UN wameifanya internet kuwa ni haki ya msingi ya mwanadamu..na umeme je? Au tutatumia internet bila umeme wa uhakika?..
Kiukweli umeme ndio ungetakiwa ufanywe kuwa haki ya msingi ya binadamu...
Tabia ya kupiga mswaki ovyo bila utaratibu inakera sana hasa nyakati za asubuhi. Unakuta mtu kasimama barazani anasafisha meno na kutematema ovyo, na wengine wanaongea huku mswaki upo mdomoni...
waandishi wengi wa habari wanashindwa kufanya kazi ambayo itawapa haki wananchi bali wanabaki kucoment maneno ambayo yameazungumzwa na wanasiasa wambea tu kama wao,,hawasemi matatizo waheshimiwa...
Wanajamvi:
Nauliza -- hivi maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa nchi yetu ni shughuli ya CCM? nauliza hivi kwani inavyoonekana serikali ya JK ina mipango ya kuteka nyara maadhimisho hayo na...
Wajumbe mwenye habari kamili juu ya ni namna gani na jinsi gani watu wenye masters na phd wanapewa vyeo katika jeshi la wananchi wa tanzania JWTZ naomba atoe ufafanuzi
Mwili wa binadamu si sawa na mashine yenye uwezo wa kufanya kazi 24 hrs na bado efficiency yake ikawa maintained. Mwili pamoja na akili inatakiwa kupumzishwa vya kutosha, kinyume na hapo...
Hawa akina mama wanatumia zaidi ya masaa matatu hadi manne kuchanja kuni huko maporini, na wanajiweka katika hatari ya kuumwa na nyoka. Lakini zaidi ya yote, wanakata miti iliyo kwenye chanzo cha...
Wana JF,
Nimefanya utafiti nikishirikiana na jamaa zangu kutoka ulaya Shirika la Mpango wa Chakula duniani (WFP) tumegundua hapa Tanzania hizi sehemu za nyanda za juu Kusini/Kaskazini, wakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.