Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mgaya apata mpizani TUCTA na Datus Boniface MJUMBE wa Baraza Kuu la Taifa la Chama cha Wafanyakazi nchini (TUCTA)...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Saturday, 02 July 2011 09:49 0diggsdigg Waandishi Wetu WAFANYABIASHARA wa mafuta ya petroli, dizeli na taa, ni kama wamegomea mpango wa serikali wa kushusha bei kupita bajeti ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau PDP chama cha siasa kinachoongozwa na Bw Dovutwa uimara wake ktk siasa za tz upoje?
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Baada ya waziri wa mambo ya nje wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuitolea maneno ya dharau na shutuma nchi ya uingereza juu ya sakati la fedha za rejesho la rada, nchi hiyo inajiandaa kujibu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
kila siku wanapost vitu ambavyo havina maana na ambavyo havina tija 'je kaniki hawamjui rangi yake au wanasumbuliwa na njaa?' badala yake wangejadili juu ya kero zinazowasibu wananchi na kusaidia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naomba kujua taratibu za kusajili cha cha siasa maana naona nikienda pale kwa Tendwa hatanipa ushirikiano wa kutosha!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hapa UDSM imekuwa kawaida wanafunzi kuwaua vibaka wanaposhikwa wakiiba mali zao, mfano ni tukio la juzi ijumaa tarehe mosi julai pale hall five (5) wanafunzi walimwua kibaka licha ya juhudi za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Photo: AP An election worker shows a ballot during ballot counting at a polling station in Bangkok, Thailand, on Sunday, July 3, 2011 Thailand voters went to the polls Sunday in the first...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Wajumbe mwenye habari kamili juu ya ni namna gani na jinsi gani watu wenye masters na phd wanapewa vyeo katika jeshi la wananchi wa tanzania JWTZ naomba atoe ufafanuzi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni mnipokee waungwanaaaa!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Moto wa Katiba wazidi kuwaka • WADAU WAPINGA KUZINDULIWA 2011 SIKU chache baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kutangaza kuwa Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itazinduliwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimependezwa na umoja wa wana jf Arusha, napendekeza kuwe na umoja huu sehemu nyingi zaidi. Wana jf Kilimanjaro mpo? Tunaweza kuwa na gathering zaidi ya kukutana na hoja za jukwaan? Wanaounga hoja...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hili swali watanzania tunajiuliza? Iweje viongozi wote nchi hii wakatibiwe nje ya nchi? Hivi kuwa kiongozi ina maana unakuwa sio raia? Ni mazoea kuwa kila kiongozi wa juu akiumwa anapelekwa nje ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nyie watu wa CDM ooh chama chenu kinakufa soon , hivi lile bifu kati ya Mbowe na Zitto limeishia wapi? duu maana najua mtiti bado upo wanachekeana kichina tu ila moyoni mmh! aisee hivi madai ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pinda amejinasibu kuwa serikali ya awamu ya 4 ndiyo imewahi kufanya,hasa kwa kudai kuwa kuanzishwa kwa UDOM na ujenz wa shule za kata,lakini mimi nasema maamuz magumu ambayo yamewahi kufanywa na...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Kwa kuwa Wakenya hawataki bidhaa za Tanzania ziuzwe kwao (japo ni hodari kwa kutaka soko huru EAC) basi nasi tuzigomee bidhaa zao KWA KUANZIA NA TUSKER. Na asitokee mtu kudai kuwa tusker ni ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
...........WanaJF wenzangu kwanza awali ya yote napenda kuwapa pole kwa matatizo haya ya umeme yanayoendelea kwa kasi...mgao huu wa umeme unaweza ukawa unaenda kufanana na ule mgao wa umeme wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa hali ilivyo mm nashau watz na vyombo vya habari tutulie tukiache hiki chama kijfie haraka iwezekanavyo, maana tukiendelea kutoa ushauri tunawafanya wajiangalie walipokosea huku tunachelewesha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejaribu kuzungukia maofisi ya umma na binafsi tz hasa hapa bongo nikaona ofisi hizo zina bajeti ya magazeti ilihali zina mtandao wa internet! Binafsi siamini kama mfanyakazi wa ofisi ya umma...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Brain drain (wenyewe huita brain circulation), madini - dhahabu, almasi, uranium "yellow cake", tanzanite, shaba... beba twiga, vyura, nyani, kiboko, kifaru... beba tu, wenyewe tunagombana...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom