Eti ukiongeza salio kwa Tigopesa utapata mara2!!! Lakini kumbe badala ya kupata mapeni mara 2 unapewa bonus ya dak. za nyongeza ambazo zinaexpire within a limited time!!!!!<br>Wizi mtupu!!!!!!!!!!
Kusema ukweli, walio wengi(may be 90%) ya hawa wanaojiita/tunawaita politicians wana target interest ya jamii kisha wanavalia njuga majukwaani kuombea KURA a.k.a. ULAJI kisha baaas. Hamna...
Jamani kuna lundo la wachina wanajenga barabara ya iringa kwenda dodoma kupitia Mtera.
Ivi uhamiaji wote hawa mumewapitisha waje fanya kazi ata za watanzania wenzetu?mpaka kuendesha magreda jamani...
Jamani naomba kujua takwimu za upigaji kura tangu mwaka 1995 mpaka 2010. Yaani angalau namba ya walio jiandikisha na wale walio piga kura. Nikipata na asilimia itakua njema zaidi. Natanguliza...
A Chinese animal lover consoles a dog after a convoy of trucks carrying some 500 dogs to be sold as meat, were stopped along a highway in Beijing on early April 17, 2011, and the dogs were later...
Wakuu,
Kwa miaka mingi Watanzania tumekuwa tukisherehekea maonyesho ya Saba Saba. Huko vijijini Saba Saba ni sikukuu kubwa sana tofauti na wale wa mijini wanavyoichukulia. Lakini katika uhalisia...
Hawa watu wamesakamwa na kusemwa sana kwa sababu ya ufisadi wao! Sina nia ya kuwatetea hata kidogo lakini naangalia mambo kwa angle tofauti! Lakini endapo hawa watu wangekuwa Waislamu: Tungeambiwa...
Leo ni tarehe moja ambayo serikali iliahidi mafuta yatashuka bei, asubuhi nimepitia petrol station moja, nikaona bei ni ile ile (juu) vipi wadau huko mnakopita bei zimeshuka? au ndo usanii unaendelea?
Kwanza wakuu najua kabisa "thread" hii ilipaswa iwekwe kwenye jukwaa la sheria, lakini kwa vile wadau wengi wanakuwa kwenye jukwaa la siasa na jukwaa la habari na hoja mchanganyiko imenibidi...
Haya ndio mafundisho wanayofundishwa mayahudi:
Those who are incapable of attaining to supreme religious values include the black coloured people and those who resemble them in their climates...
Salamu sana wanajamii wenzangu,
Wakati Taifa letu la Tanzania linasherekea miaka 50 ya UHURU wake sisi kama wanajumuia ya wa Tanzania ni vema tukatumia nafasi hii kujadili mambo ya msingi...
Jamani bunge labajeti lililopita mlisikia mafuta ya taa yamepunguzwa kodi
ilichukua wiki kama sio mwezi kupungua ,baada ya hapo jamani mafuta ya taa yalipanda na
yalikuwa yanakaribia bei ya disel...
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA), amemtaka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, kumpa nafasi ya kutoa ushahidi wake bungeni juu ya Waziri Mkuu Mizengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.