Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
hallo people,kwa siku kadhaa sasa nimekua nikiwaza jambo ili niweze kutengeneza umeme bila running costs kubwa,hivi kwa mfano nikawa na motor yangu kubwa inayotumia battery za gari then niiwekee...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Hiv tatizo la ajali barabaran litakwisha lini hapa Tz hasa maeneo ya mijini kwan kila kukicha tunakumbana na ajali.
0 Reactions
0 Replies
902 Views
hivi wana jf mimi siwaelewi hawa watumishi mungu ambao tunawaamini hata kwa maneno wanayotuambia kurushiana maneno,kupitia majukwaa(madhabahu),hivi wanatuashilia nini,na wanatupeleka wapi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Evidence that Jews are carriers of schizophrenia is disclosed in a paper prepared for the American Journal of Psychiatry by Dr. Arnold A. Hutschnecker, the New York psychiatrist who once treated...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za fikra sahihi mada yangu inalenga kufahamu vigezo vinavyotumika kupima umaskini,ila nitahadharishe kwamba, katika kuchangia tusiegemee vigezo vya uchumi na vile ulivyofundishwa darasani...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
TATIZO LA NISHATI TANZANIA. Mgao wa Umeme Pia Mafuta ya Taa sasa yamepandishwa bei. Maana yake watu wa mjini wanaumia na sasa hata wa vijijini wataumia sana. Pia Shule za kata, wanafunzi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimepata taarifa kuwa kuanzia jumatatu kutakuwa HAKUNA TENA mgao wa umeme. Yaani kutakuwa hakuna mgao wa umeme kabisa kwa masaa 24 kwa kipindi cha miaka mitatu. From anonymous source
0 Reactions
0 Replies
990 Views
No. 1 New Orleans Can you imagine the cleanup required after Mardi Gras? Both tourists and Mother Nature have sometimes been hard on the Crescent City, which readers voted the dirtiest in America...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dont u just love scrabble.............. (Wait till you see the last one)! DORMITORY: When you rearrange the letters: DIRTY ROOM PRESBYTERIAN: When you rearrange the letters: BEST IN PRAYER...
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Siku chache zilizopita Serikali ilitoa agizo wafanyakazi wa serikali wawe wamelipwa mishahara mapema na ikatoa maagizo kwa watendaji wakuu wa Wizara na Halmashauri. Agizo hilo limetekelezwa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Binadamu kwa matendo na hulka yake ya uovu hupenda kufanya matendo ya kifisadi dhidi ya binadamu wengine, lakini ukweli ni kwamba haiwezekani akaishi muda mrefu kuweza kuyafaidi vyema matunda ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau kwa mwenye taarifa naomba kufahamu ni kweli kwamba, kuna TV ya kimataifa ya Aljazeera kwa lugha ya Kiswahili ambayo imeanzishwa? na ni kweli kwamba, TIDO MHANDO ni mkurugenzi wake?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hakika nchi yetu sijui inakwenda wapi ndugu zangu.Huku "LONGIDO",wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya.Wameamuliwa na MKURUGENZI MTENDAJI kufunga Ofisi na kwenda kwenye MAANDAMANO Mkoani "Arusha"...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu wapendwa, Jumamosi iliopita saa saba na nusu mchana kwa walio Tanki bovu kule chini jiran na Mh Mboma wanakumbuka kilitochotokea nikiwa na mama Didy nje tunapata juice ya origin kutoka kwa...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
The following observation to me is one of the clearest evidences of the inequality of men and women under Islam. Mohammed said, "I was shown the Hell-fire and that the majority of its dwellers...
0 Reactions
1 Replies
868 Views
tanzania kerosine/parafine consumers association tangazo kwa umma yah: kukataa uamuzi uliotolewa na ewura wa kupandisha bei ya mafuta ya taa. ndugu wananchi chama cha watumiaji mafuta ya taa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tsd temeke wanasumbua,hawataki kutoa barua za uthibitisho wa ajira kwa baadhi ya walimu sasa ni miezi saba..walimu wamejaza fomu za ajira tayari kila wakienda kufatilia hizo barua za ajira...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Kumeibuka maajamaa wanakaa karibu na maduka ya kubadili pesa na kurubuni watu kuwa wao wanarate nzuri zaidi. Ukikubali tu unapelekwa uchochoroni wanakupa makalatasi wanachukua dola zako. Au...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu wa wilaya waliotembelea chuo Kikuu cha Dodoma wametoa ushauri kuwa mchakato wa kurudisha wanafunzi waliofukuzwa uzingatie uanachama wa wanafunzi.Mkuu wa Wilaya mmoja alisikika akisema "TENA...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wapendwa airport kunazidi kuendele kuwa na vituko vya mwaka ndege alijia mh bill gate imekuwa ikilindwa na maaskari namtutu kama vile kuna dhahabu,,swali la kujiuliza kwa nini kachagua kwenda...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Back
Top Bottom