Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu, Kama mnavyojua Serikali ya awamu na nne ina mpango wa kujenga Kigamboni new CITY ili kuleta sura mpya ya JIJI la Dar es salaam. Nimesoma soma bajeti sijanusa ndani yake kama kuna mpango...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Pengine baadhi atutakuwa wote lakini ukweli utabaki kuwa hivyo hawa wapuuzi wanaoenda bungen kusaini posho na kurudi kisa kuogopa kuondolewa uchaguzi ujao ifike sasa tuseme tumechoka ..wale...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu, naambiwa kuna shoti na moto umetokea hapo chuo cha ardhi kwa aliyekaribu na atujuze zaidi jamani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Suala la umeme ni miongoni mwa ahadi kadhaa wa kadhaa zilizotolewa na Rais Kikwete wakati wa kampeni zake mwaka 2010 kuwa atahakikisha nchi haiingii gizani, umeme utawaka kwenye makao makuu ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Najua hiyo heading itakuchanganya ila habari ndo hiyo, watani wetu nilifikiri wangeishia kudanganya dunia kuhusu Kilimanjaro na Serengeti tu... sasa wanadai Samunge ipo South Kenya na ni mwendo wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
...Kuna kila sababu ya kutilia mashaka "utajiri wa kutupwa" wa Bwana Mdogo Ridhwan - mtoto wa Mheshimiwa Jakaya bin Mrisho wa Kikwete kutoka Msoga. Ridhiwan, kwa ujumla ni mtoto mdogo katika umri...
1 Reactions
20 Replies
21K Views
Jamani naomba kuuliza, hivi ni kweli mshahara utaongezwa 40%? Na je, itaanza lini. Naomba mnaofaham mnifahamishe
0 Reactions
4 Replies
2K Views
INGAWA siasa ni mchezo uliojaa uchafu, hadaa na kujilisha pepo, lazima unahitaji kutumia akili. Pamoja na uchafu wake, bado siasa ni kitu ambacho hatuwezi kuishi bila kuwa nacho. Je, tukubali...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajiita Maaskofu, manabii, mitume, wazee wa upako, mitume wa fedha, nk ni kejeli na fedheha kwa Mungu! Wanajifanya watumishi wa Mungu lakini kumbe wamejaa roho ya kutumikiwa. wanasema wao ndio...
5 Reactions
35 Replies
5K Views
EDWARD Lowassa, mwanasiasa anayetajwa “kujipanga kugombea urais mwaka 2015,” ametinga nchini Nigeria kufanya maombi, MwanaHALISI limeelezwa. Taarifa zilizopatikana jijini Dar es Salaam, mwishoni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama mwanadamu hapa duniani nina matatizo kama watu wengine wengi tu.....na najaribu kupambana nayo kama wanavyofanya wenzangu, na yanaweza kuwa matatizo ya kimwili,au kiroho haya ya kimwili mara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
VIONGOZI wa dini ya kiislamu wakiwemo mashehe na maimamu wamepinga kampeni ya Taifa dhidi ya matumizi ya njia za uzazi wa mpango nchini...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MWANAMKE mkazi wa Ronsoti mjini Tarime mkoani Mara, Debora James (30), anatuhumiwa kumuua mwenzake, Teresia Nago, kwa kumchoma kisu katika mauaji yanayohusisha kugombea mwanamume. Kwa mujibu wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Dah jamaa noma afai kabisa nafikiri kichwa chake kimoja ni waziri mkuu na makamu wa rais mh pinda swala la kuandamana we sahau hata leo hii saa yoyote tukitoka hapa tukikubaliana unakutana na...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Ninawafahamu watu wema na wabaya wengine Wakristo na wengine Waislamu. Ninawajua watu wenye akili nyingi na nzuri sana kutoka dini hizi mbili. Wapo warembo na watanashati wenye mvuto, Wakristo kwa...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Wakazi wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa dhahabu wa Bulyankulu (BGMCL) Wilaya ya Kahama mkoani hapa, wameandamana katika Kijiji cha Segese na kufanya uharibifu mkubwa wa barabara kuu iendayo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
naomba kuuliza members wenzangu kuwa hizi gari za viongozi zenye usajili stk/su/pt n.k. Zinaweza kuendeshwa na wototo wa hao wliokabidhiwa wagogo wa serikali???? Maana navyoelewa kuwa hizo gari ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Taifa lolote lile duniani lenye mafanikio huwa linawekeza katika elimu ya awali (Early Childhood Education) kwan huo ndo msingi ambao unahitaji umakini wa hali juu katika maendeleo ya nchi yeyote...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Watanzania kuonja shubiri ya mafuta ya taa wiki hii Send to a friend Tuesday, 28 June 2011 20:25 0digg Leon Bahati WATANZANIA wataanza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom