?
Lagarde has enough support to win a vote, but board members say they would prefer consensus [AFP]
Christine Lagarde, the French finance minister, has been named as the first-ever female...
Swali.Is there any particular reason Nairobi pubs unlike pubs upcountry play music full blast?.Mark you i am talking about pubs ndani ya CB district and not nightclubs.
................Kuna taarifa za kutoka vyanzo vya kiitelejensia kuwa bajeti ya serikali 2011/2012 ni bajeti iliyoamishwa toka bajeti ya serikali 1968/1969.Chanzo cha kuaminika toka serikalini...
Tuesday, June 28, 2011, 5:51
Habari kuu, Mtanzania
*Waanza kujitangaza kwamba iko Kusini mwa Kenya
*Waanza kutoa takwimu potofu kuwadanganya watu
*Wageni sasa wapitia Kenya kuelekea Samunge...
Mwenye kumjua huyu jamaa atumwagie info. Maana anaonekana ni mtu wa visasi. Sijawahi kumsikia hata sikumoja akichangia issue yeyote asimu attack mtu yeyote wa upinzani.
Jana nimemskia katinu mkuu wa ccm Wilson Mukama akisema kuwa chama hicho kamwe hakitakubali kuchafuliwa kwa vitendo vya watu wachache; wawili watatu katika chama hicho. Eti kwa vitendo nya watu...
Mbunge wa jimbo la mwibara ametoa kauli na kukiri aliwahi kudhalilisha.
Hawa ndio aina ya viongozi(wabunge) tulionao,inashangaza hatua mbalimbali wanazopitia mpaka kuteuliwa kuwakilisha...
Muda kidogo umepita tangu kundi la orijino komedi (OK) kuamia TBC1 lakini mpaka sasa kundi hili limeacha kazi yake kuikosoa serikali badala yake imekuwa ikiyafumbia macho maovu ya serikali ila...
Kuhusu swala la umeme kuwa janga la kitaifa, ni kitu kilichosababishwa na serikali yenyewe kwani watendaji wake wameshindwa kufikiri mapema
na kutafuta suluhisho la kero hii. Tumepata tabu kiasi...
kWANZA HABARI ZA MISHUGHULIKO WAKUU!
Najua humu kuna wakuu wenye knowledge, skills na peofessionals tofauti na ndio maana tukaitwa great thinkers. Sasa mategemeo yangu pia nitapata mawazo mazuri...
Kuna watu wanaendelea kusema UDOM imejengwa na chama tawala hili sio la kweli UDOM mpaka sasa imekopa pesa za majengo ambayo yametoka kwenye NSSF na nyingine kwenye misaada kama Bill Gate...
Jamani! Tukubali kwamba ubora wa wabunge wetu uko chini kuliko tunavyotegemea. Tofauti na bunge la Uganda na Kenya, kwa kulinganisha michango yao bungeni. Tatizo kubwa kabisa liko chama tawala...
Nilikuwa nasikiliza bunge na kuna mbunge mmoja wa ccm akasema uchumi wa tanzania ni mzuri sana na kinachoaribu uchumi ni kwamba tupo wengi.....wengi?kwa nchi kama tanzania hata nusu ya nchi hii...
Kwa hapa Tanzania ilipofikia hivi sasa inahitaji mapinduzi ya haraka, yaani yawe ya kijeshi au ya kiraia. utawala uliopo umeshindwa kabisa kwenye kila idara, sasa hivi imefika mahala ambapo...
watuhumiwa wa uhujumu uchumi bado wang'ang'ania ndugu yangu mkuu wa kaya ajiunge nao kuvuliwa gamba.. Maana wanadai fedha zao za Kagoda ndio ilikuwa neeema yake yeye kuwa mwenyekiti wa chama...
Wana jf.....kiukweli vyama vyote vya upinzani vya tz buree kabisa, kila siku tunapiga kelele kuhusu hali mbya ya umeme na kuongezeka kwa ugumu wa maisha ya mtanzania wa kawaida, chakushangaza wao...
kuna mbunge kutoka ukonga anachangia na kusema magari ya watu binafsi yazuiwe kuingia mjini
hawa watu hawana uwezo wa kufikiri
huwezi kuzuia magari kuingia mjini eti kwa sababu kuna foleni
hiyo...
SN
CUF
CHADEMA
1
Walisema ni cha kiislamu
Kinaambiwa cha wakristo
2
Waliwahi kutoka bungeni
Wamewahi pia
3
Waliwahi kuandamana sana
Maandamano kila siku
4
Waliwahi kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.