Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wananchi wa senegal katika miji ya Dakar na Mbour wameandamana kupinga mgao mkali wa umeme unaoendelea nchini humo.Wananchi hao wenye hasira wamefanya fujo kwa kuharibu mali na majengo mbali mbali...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hali ya maisha yangu jamani imeanza kuwa tete, kamshahara kangu ni ka kima cha chini... vibiashara vidogo vidogo ndo vinavyoniongezea kashilingi ka kusukuma maisha yangu... Hapa mtaani kwetu...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama Zito K ,kwa msimamo,Makinda kanywea .Big up 2015 karibu Cdm.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kilicho ndani yako ni kikubwa, kuliko maisha unayoishi! Wednesday, June 1, 2011 Bwana Yesu apewe sifa, Mungu alivyoweka ndani yako ni vikubwa kuliko maisha unayoishi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tutolewe Leso – Yohana 11:43-44 Monday, June 20, 2011 Baada ya Lazaro kufufuliwa ilifanyika kazi ya ziada kuondoa sanda na leso yake. Sanda na Leso vilimfanya asiweze...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pesa sio mwanzo wa matatizo Monday, June 27, 2011 Mungu anajua kila tunachohitaji, pesa sio shina la maovu kama wengi wanavyodhani, maovu yanaanza pesa inapomtawala mtu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Why should we be thinking about perfect numbers today? If there’s any day of the year on which we should contemplate the perfect number, today is the day, since it’s the only date on which both...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tunapokaribia miaka 50 ya Uhuru wa Taifa letu CHANGA, hebu tuangalia sekta za huduma za jamii kwa kufanya assessment ndogo tu, Elimu: Hivi kuna shule japo moja ya serikalli ambayo Wizara ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani waislam chonde chonde acheni mauaji, acheni kuuwa wenzenu!! mmezidi na ukatili zidi ya ubinadamu!! (hapa hakuna siasa, kuogopana wala kupotezeana kwa maneno ....eti ooh siyo wote, ama...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
1.Tuingie barabarani kuonesha tumechoshwa mpaka kieleweke. 2.Tuendelee kukaa kimya na kulalama. 3.Tuendelee kusubiri wakati tunaendelea kupewa ahadi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Peoples Power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nimegundua aina mpya ya ufisadi hapa nchini kwetu na hasa hii inawaathiri Vijana wasomi. Ufisadi huu ni ule wa makampuni mengi makubwa na madogo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu,Waziri Mkuu Mjiuzulu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa aliitaka Serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Mrisho Halfani Kikwete...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa kwanza wa Tanzania,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,ameacha vitu vingi vya kukumbukwa ikiwa ni pamoja na nyumba yake ndogo(kwa umbo na thamani) iliyopo kijijini kwake Butiama.Hii ni...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Rais Kikwete Alishind auchaguzi kwa kura 65% licha ya yote, hakun hata mmoja aliyefika asilimia 40%. Kwa maana hiyo JK bado ni kipenzi cha watanzania na ataongoza hadi kumaliza muda wake...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
I hav been given one of greatest joys of life, its a tiny of bundle of love from heaven .Thanks God .
0 Reactions
4 Replies
1K Views
The drought has also forced Tanzania's state-run power company to announce daily 12-hour electricity outages, as low water levels at hydropower dams and a shortage of fuel for thermal power...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Waziri mkulo aishangaa Tanesco baada ya kukomba mabilioni ya pesa kutoka Tanesco,wakati huo ashangaa makusanyo ya mapato kutoka kwa wateja wa Tanesco yanakwenda wapi? inamaana hapa hakuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Picha hii ni jinsi Naibu waziri wa Ushirikiano Africa Mashariki, Mhe. Waziri Dr. Abdulla Juma Saadala akiwa amesinzia bungeni. {Source: MWANANCHI: JUNE 21, 2011: Pg. 04} Halafu eti...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hili ni jambo la muhimu sana kwa serikali kulifanyia mabadiliko ya haraka ili kupunguza gharama za matumizi ya fedha za serikali; baadhi ya viongozi ambao wamepewa magari na madereva wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
These quotes and many others have been used by christian serial killers in order to justify their crimes. This is in direct contradiction of christian claims that christianity is a religion of...
0 Reactions
1 Replies
59K Views
Back
Top Bottom