Jana ktk taarifa ya habari ya radio mwangaza ya saa 1 usiku nilimsikia Prof. Kikula akiwaambia wakuu wa wilaya waliokuwa wametembelea chuo hicho kuwa wanasiasa wasimshinikize kuwarudisha wanafunzi...
Suspected radical Islamists kill 25 in Nigeria bombingBy REUTERS
06/27/2011 03:04
Attackers throw 3 sets of explosives from motorbikes at drinking spot, military sources say; group wants...
WAKATI maeneo mengi nchini yakikabiliwa na uhaba wa chakula, maelfu ya tani za mahindi zinavushwa kupelekwa nchi jirani ya Kenya kupitia njia za panya, huku askari polisi wenye silaha wakidaiwa...
Nimesikitika sana kutazama kipindi kilichorushwa na channel 10 - mimi na Tanzania.kijana anadai alibambikizwa kesi ya kuvunja na kuiba. But according 2 yeye ni kwamba alikuwa na uhasama na askari...
Na Alfred Lucas
Sub category:
Ndani ya Jamii
SIASA za kukamiana, kuchafuana na kuzibiana nafasi za uongozi zinazidi kuota mizizi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mbunge wa Jimbo la...
Hatuwezi kuendelea kwa kuiga na kuigiza.
Kwa mujibu wa maandiko ya misahafu ya dini za mapokeo, tunaambiwa sisi Waafrika ni wa uzao wa Hamu mwana wa Nuhu, aliyelaaniwa na Baba yake baada ya...
Mwanamke mmoja wa nchini Marekani ameifukua maiti ya mumewe toka kaburini kwasababu maiti hiyo ilizikwa huku mumewe akiwa amevalishwa meno ya bandia ambayo yalikuwa si ya kwake.Phyllis Manis...
jamani naomba mnisaidie hivi hii tabia ya tanesco kuchukua umeme wao kwa muda wa twente foo awazi ipo na huko kwenu...? maana hapa imekuwa ni kama jambo la kawaida, matokeo yake imekuwa no umeme...
Namna yetu ya kuwaza na kufikiria inaweza kutujengea heshima au kutufanya tudharaulike kwe jamii yetu.
Hapa jamvini tujiulize kabla ya kupost au ku comment JE NIMEFIKIRIA KWA MAREFU NA MAPANA...
Salaam great thinkers!
nina swli najiuliza kila kukicha nashindwa kupata jibu kamili, " HIVI RAIS JK " anajua kusoma majira na nyakati mbalimbali zinazojitokeza hapa nchini kila kukicha?
Toka...
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa halmashauri mojawapo kati ya halmashauri mbili za(MERU DC) wilaya ya arumeru mkoani arusha inatarajia kuuza viwanja maeneo ya tengeru.bei ya kiwanja inatarajiwa kuwa...
NASHINDWA KUELEWA NCHI HII SHERIA ZINAKWENDAJE. MWAKA JANA TULIKIMBIZWA MCHAKAMCHAKA WA KUSAJILI LINE ZA SIMU LA SIVYO HAKUNA MAWASILIANO. NIA ILIKUWA KUZUIA MATUMIZI MABAYA YA SIMU IKIWEMO...
Mara ya kwanza niliposikia kuhusu kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa papo nilidhani anayehusika na anAmajibu ya kueleweka. Lakini tangia kianze, kimekuwa kikileta confusion zaidi ya utatuzi...
Jamani CWT sasa wajirekebishe. Vuguvugu la kukikataa leo lilihamia kwenye press conference ya walimu UDOM ambapo baadhi ya sababu zifuatazo zimetolewa: Makato makubwa pasipo huduma 2.uanachama wa...
I'm kindly presenting an alternative, regarding the siringeti highway project.please over please! instead of building a road through the park,just go ahead and build a "flyover"
this option will...
Leo ni siku ya madawa ya kulevya......wengi wetu hapa tunawafahamu na tunaishi nao watumiaji wa madawa ya kulevya......madawa yamewaathiri sana vijana wa kitanzania......wengi wetu tuna ndugu zetu...
Aggreko yakwepa kodi 10bn/-
Gloria Tesha
Daily News; Saturday,December 06, 2008 @00:02
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezuia kwa kuweka makufuli katika lango la kampuni ya kufua umeme...
Kuna siku nilienda kumetembelea Aunt angu pala Mwaisela..pembeni kulikuwa na binti mmoja aged 20+ anahema vibaya!!
manesi hawashughuliki nae zaidi ya mama mmoja(ndugu yake). badae kidogo yule mama...
Mkurugenzi wa mashtaka awewafutia kesi wachina 13 walikuwa wanakabiliwa na tuhuma zakuwashambulia kwa kuwapiga,maofisa wa polisi
wa wilaya ya babati.
Umauzi huwo ilifikiwa juzi katika mahakama ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.