Kutokana na mgao wa umeme kuwa 24,nyumbani hapakaliki na weekend hii! Hivyo naomba kwa mabinti mliopo dar yeyote anayeweza kuja kunipa kampani leo afanye hivyo!Nitakuwa beach za maeneo ya...
JESHI la Polisi mkoani Rukwa linamtafuta mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Lwiche Kitongoji cha Mazwi katika Manispaa ya Sumbawanga kwa tuhuma ya kumchoma sindano iliyowekwa maji ya moto mtoto...
Wakati umefika sasa kwa viongozi waliyopayuka hapo awali kuwa hakutakuwepo na mgawo wa umeme tena.wajitokeze hadharani na kufuta kauli zao.YAANI WANAONGOZA UTAFIKIRI WAMEKATWA VICHWA aaghhh
Hawa jamaa kweli makamanda kwa maana halisi. Leo ktk mkutano wa CHADEMA tawi la UDOM mbunge Joseph Silinde alizungusha macho kama kinyonga ktk umati wa watu wakati akiendelea na hotuba akamgundua...
Salaam wakuu! Natafuta shaver ndogo yenye umbo zuri inayotumia betri au umeme ya kunyolea ndevu, nisaidieni wapi naweza kuipata na kwa bei gani maana nataka niokoe garama za kununua viwembe vya...
Jana jioni wakati narudi home kutokea Mwenge nilikuta foleni ya ubungo mataa kuelekea Mwenge imepitiliza njiapanda ya sinza makaburini inaelekea Mlimani City na matrafiki na mapolisi wa kawaida...
Hivi hawa TRA vichwa vinafanya kazi kweli
wao wamekalia kutumwa kuwasakama CHADEMA huku wakiacha mapesa ya walipa kodi wanyonge watanzania pesa zao zinapotea kwa mafisadi
kama hili hapa ebu...
Habari zenu wapiganaji wetu.
Leo nimeona kwenye gazeti silikumbuki jina kuwa Chadema chama tunachokipenda kimeungana na chama cha kikristo cha ujerumani kinachoitwa CDU Christian Democratic Union...
Tumezidi kulaumu, kila mara twalia giza giza, mgao mgao, mwaka jana wakati wa kuweka watawala tulikuwa wapi? ninyi wenyewe mliipigia kura ccm huku mkijua kuwa hiki ni chama cha "tuko kwenye...
Nchi yetu ndio pekee duniani yenye matatizo haya mawili kwa wakati mmoja:
Hatuna umeme kwa sababu ya upungufu wa maji
Hatuna maji kwa sababu ya upungufu wa umeme
Ndugu umepata kuisikiliza DVD hii ya hotuba za Dr w. Slaa.Ndg kama bado itafute upate ujumbe kupitia hotuba za Dr.Anaeleza juu ya mtanzania,haki za mtanzania,na nini serikali inatakiwa kufanya.
Tafadhalini wana Jf nijulisheni wamiliki na wahariri wa gazeti la HOJA. Nikitizama kwenye ukurasa wenye Editorial naona simu tu bila majina. Ukurasa wa mwisho kabisa kunaonekana Gamanent...
New York Governor Andrew Cuomo signed into law a bill legalizing gay marriage, delivering a powerful victory for gay rights advocates in one of the most populous and influential states of the...
Jumuiya makanisa ya Anglikana, Uingereza inatarajiwa kutangaza rasmi kuwa wanaume waliojitangaza wazi kuwa wao ni mashoga wataruhusiwa kuwa mapadri iwapo watatimiza sharti la kujizuia kufanya...
Mwanaume mmoja wa nchini Marekani ambaye alikuwa akidai kuwa hataoa mwanamke mpaka pale atakapompata mwanamke mwenye sifa anazozitaka, alisubiria miaka zaidi ya 70 hadi juzi alipofanikiwa kumpata...
Who is LOWASA ?Ni nani anayemjua vyema huyu ndugu?
Ana nguvu gani ndani ya Chama?
Je Nape na Mukama wanaweza kumwondoa ndani ya CCM au wanapoteza muda tu?
Updated: Friday, 24 Jun 2011, 10:44 PM EDT
Published : Friday, 24 Jun 2011, 10:30 PM EDT
MYFOXNY.COM - The New York Senate, 33-29, late Friday passed the legislation that would legalize marriage...
Wandugu wapendwa hivi kuna tatizo gani mimi sijaelewa, tuliambiwa kutakuwa na mgao wa saa kumi lakini naona huu wa karibu saa 24 kuna tatizo gani, hapa nilipo tangu jana saa kumi na mbili jioni...
Kwa sababu zifuatazo
Ni nchi yangu ambayo ukiongelea Ufisadi unahatarisha amani na utulivu.
Ni nchi ambayo rasilimali za nchi zinaibiwa mkihoji kwa nini mtaambiwa mnahatarisha amani na utulivu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.