1. mara zote mfanye mwalimu mwoga kwa serikali na chama. 2. Mlaghai kwa WITO na si kipato. 3. Mfundishe kuwa mpole asidai haki. 4.Mfanye asiajiliwesekta nyingine ili umtumie. 5.Mtumie kwenye...
ZINAPOCHANGANYA CHUKI+BIFU ZA KISIASA UONGO KAMA HUU HAUKOSEKANI
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Profesa Idrisa Kikula amesema hawezi kushawishika kwa lolote katika kuwarudisha chuoni...
Posted Sunday, June 19 2011 at 11:33
The number of Tanzanian witchdoctors (or those purporting to have come from there) practising in Kenya is disturbing.
Posters and sign boards from these...
Hivi hawa wabunge wa ccm wanavyosimama bungeni na kuanza kusema vijana wa vyuo vikuu wasikubali kushawishiwa na Chadema kugoma! Je ni kweli wabunge wa ccm wanajua shida za wananchi wao kama...
Mwaka huu wa 2011 mwezi wa Julai utakua na siku za ijumaa 5, Jumamosi 5 na Jumapili 5! Jambo hili hutoke mara moja kila baada ya miaka 823.Kwa undani zaidi angalia kalenda yako ya mwaka huu wa...
KUWAHURUMIA WANYAMA
Muislamu wa kweli ni mtu mwenye huruma. Huruma ni miongoni mwa tabia za muislamu. Chimbuko la huruma ni usafi na utakasifu wa nafsi na roho, hivyo ndiyo kusema kuwa na...
Watanzania wenzangu kilichobaki ni kuiombea hii nchi serious kabisa pipo just take a second useme mungu saidia nchi yangu! We sang well the song Mungu ibariki Tanzania kaibariki wachache wakaiba...
Kanisa la Westboro Baptist Church la Kansas City, Marekani limeandaa maandamano kupinga mazishi ya msanii maarufu nyota wa kundi la Jackass, Ryan Dunn ambaye alifariki wiki hii kwa ajali ya gari...
Niko maeneo ya mbezi magari saba kuna gari ya wagonjwa inamuwahisha mgonjwa toka tumbi. Mara msafara wa kikwete ukatokea na kuamuru ambulance hiyo ipaki pembeni.
Jambo hili limetusikitisha sana...
Wadau naomba kufahamishwa kuhusu wimbo unaotumiwa na Radio ya Taifa TBC Taifa (zamani RTD) unaosema nanukuu maneno yake kwa uchache "Ni lazima tuungane kuijenga inchiyetu" Wimbo huo umeimbwa na...
Naomba nianze na shame on him
mungu ndie unaejua hii nchi inapoelekea
katika hali ya kuaibisha jana usiku kwenye mida ya saa mojananusu usku mkurugenzi wa ipz ya exterenal
akiwa amekaa na singa...
mimi ni mpenzi wa tamthilia za Amerika ya Kusini(LATIN AMERICA). Kule kuna warembo wengi tu na wanaume wao. lakini kila nikisoma habari za warembo kwenye blogs, forum hawatajwi. hawa kina Natalia...
Tatizo la usiri wa mapato na matumizi katika makanisa ya 'walokole' limechukua sura mpya baada ya kujitokeza vilio vya baadhi ya waumini toka makanisa mbalimbali ya madhehebu hayo wakitaka uwazi...
Ndugu wapendwa,
Story ifuatayo ni ya kweli. Najua kwa kiasi fulani itakuwa inaninizalilisha kwa kutokuwa makini lakini naona ni vyema niwashirikishe rafiki zangu ili msije mkatapeliwa kama mimi...
Marketing Team ya gazeti la majira inabidi kutizama upya quality ya hili gazeti.
Gazeti lina harufu mbaya mno ya wino, hata fonts zake si za kuvutia. Nadhani bado watakuwa wanatumia mitambo...
Salaam wanajF,
Neno tanesco limekua likitajwa sana Midomoni mwa watu kama lilivo neno "MAISHA MAGUMU''.
Ni vigumu kulifanya liondoke kwa mara moja,ila nashauri jambo moja,kama ilivokuwa kwa...
Jamani wana JF, Mikoa mingine vipi Jamani, Huku Umeme hakuna tangu Jana. Tunaumia ama kweli. Sijui mikoa mingine mambo yakoje.
Nasikia MTERA imekauka sasa itakuwaje wandugu
nimepitia habari ya gazeti la mwananchi asubuhi hii...mbunge mmoja anashauri walimu ambao ni wafungwa magerezani watumike kufundisha shule za kata.SWALI;huko magerezani kuna waalimu wangapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.