Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
kama yupo naomba ani PM nitakuwa hapa kwa siku kadhaa,natanguuliza shukurani. Prefarable awe mwanaume,maana kina mama wa hapa!nisije nikapata case,asante. RE.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Amefanana kimaumbile na Ngisi...ni mtamu sana kwa wanaompenda!! Lakini kuna baadhi ya vitu nahisi watu wengi watakuwa hawavijui kuhusu huyu mnyama/samaki pweza!! Kwa wale wavuvi wanalitambua...
1 Reactions
41 Replies
27K Views
Msanii wa mziki wakizazi kipya kutoka kund la wagosi wa kaya MKOLONI kapata ajira ya mkataba wa miaka mitano kama katibu wa msanii mwenzake na mbunge wa mbeya mjini mheshmiwa Mbilinyi ( Mr 2)Maoni...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Bi Harusi mmoja nchini Marekani amejikuta akiingia matatani na kupigwa marufuku kumsogelea mumewe baada ya kumng'ata mumewe huyo usiku wa sherehe ya harusi yaoBi Harusi, Bernadette Besario...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF, napenda kuwatahadhalisha hasa wanawake na handbags zetu, kuna wizi umezuka hasa maeneo ya kuanzia kijitonyama mpaka mwenge, wanaoiba wanatumia pikipiki, yn anakua dereva na mtu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Uchunguzi uliofanywa nchini Nigeria umebaini kuwa wachunga kondoo wa Bwana nchini humo mbali ya kuhubiri neno la bwana wanatengeneza pesa ya maana kiasi cha kwamba baadhi yao Kwa mujibu wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hansard 30 January 2007 Sale of Radar System (Tanzania) [30 Jan 2007] 30 Jan 2007 : Column 182 When my hon. Friend the Minister winds up, I hope that he can tell us about the progress that has...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Maji yote katika bwawa la maji kwaajili ya wakazi wa mji wa Portland, Oregon nchini Marekani yalimwagwa baada ya mlevi mmoja mjini humo kuamua kukojoa kwenlikuwa majira ya saa saba na nusu usiku...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja wa nchini Taiwan ambaye hujitambulisha yeye mwenyewe kama mtume wa mungu, amepigwa faini ya dola 1380 kwa kusababisha mtafaruku kWang Chao-hung au maarufu kama Mwalimu Wang ambaye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MSICHANA anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20 hadi 22 ambaye hakufahamika jina lake mara moja amekumbwa na kadhia ya kuchaniwa nguo yake baada ya wanaume kuchoshwa na mavazi yake ya nusu uchi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
KIJANA aliyefahamika kwa jina la Riziki amejikuta akimpa talaka mke wake baada ya kukerwa na kutopata majibu kutoka kwa mke wake wakati alipokuwa akimpigia simu Hata hivyo Riziki alifikishwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
http://www.dft.gov.uk/gcda/cars/default.php "Ministers are permitted to use an official car for official business and for home to office journeys within a reasonable distance of London on the...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu nimeamua kuwaletea kwenu hii kitu maana inanisumbua kichwa sana. Kunakesi nyingi sana za wizi na ujambazi sasaivi wakati polisi wanaotakiwa kutulinda wapo na wanakula kodi zetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa kuna mambo mengine unawezasema ni uchawi lakini sitaki kufika huko hawa waheshimiwa wa sehemu yaa kuuzia mafuta pale bigbon kariakoo nilisikiaga wanachinja mbuzi watatu usiku mmoja...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Ukishangaa ya mnyakyusa utaona ya mchina
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Hospitali ya ILiyozaliwa hayati Mwalimu Julias kambarage Nyerere sasa ipo hatiani kwa kukuosa maji kwa ajili ya huduma za kilasiku juu ya wagonjwa.Hii ilidhibitishwa hapo jana na vyiombo vya habari
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika kudhihirisha damu nzito kuliko maji yule dereva aliesababisha vifo vya kundi la 5stars amejisalimisha mwenyewe polisi kamanda wa polisi wa mkoa wa moro adolphina chialo amesema dereva huyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wahubiri wa Nigeria wamefanikiwa katika miradi yao na kuwa na utajiri unaolinganishwa na matajiri wanaofanya biashara ya mafuta. Kwa mujibu wa muandishi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
50 years after colonial era we are still using the same power generation sources, hydroelectric being the cheapest source of energy we expected tanesco to be very profitable and well maintained...
0 Reactions
2 Replies
752 Views
Leo nimesikia kuwa huko Uchina kuna mtu alianzisha blog yake ambayo aliwataka watu wachangie na kuandika kama wametoa rushwa na ni kwa nani. Hata hivyo, baada ya muda blog hiyo ilifungwa kwa vile...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom