Ndg zangu wakati waheshimiwa wa chama tawala wakiendelea kula kuku kwa mlija kule mjengoni na kulinda maslahi binafsi na kuitetea serikari na mfumo mbovu uliowaweka bungeni, naomba tuachane nao...
Source: The East Africa The East African: *- News*|Tanzania slides into 12-hour power cuts
A drastic drop in the water level of the Mtera hydroelectric dam in Iringa Region forced the Tanzania...
I call on all JF moderators, for the benefit of national interests, please DO NOT accept any more and infact delete all posts which are connected to any religious comments, outbursts or...
Nawasalimu wana JF!
Jana tarehe 29.06.11, nilisoma kwa mshangao habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Tanzania Daima kwamba serikali inamlipia waziri mmoja hotelini zaidi ya Tsh. Hamsini millioni...
Rais safarin Equatorial guinea, kesho mwisho wa mwezi. Swali: ule utaratibu wa mh. Kuongea na wananchi kupitia vyombo vya habari vipi? Upo hau ndio kapotezea? Coz hata mwezi May mambo yalikua hivi!
Baada ya mdau sulphadoxine kuleta upupu ufuatao.
Muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) na Mkuu wa idara ya saikolojia na taaluma ya mitaala Dkt. Kitila
Mkumbo,amesema kuwa wakati huu...
Mi nampendekeza uyu jamaa wa tanesco aliekabidhiwa lile swichi la kukatia umeme apewe tuzo ya mfanyakazi bora mwaka huu maana amevuka malengo ya ukataji umeme. Kwakweli utendaji wake unaridhisha...
Wabunge wetu wanalipwa mishahara mikubwa, posho ya kujikimu, posho ya kukaa vikaoni, kiinua mgongo mwisho wa kipindi cha ubunge, n.k. wakijumlisha zote wanapata wastani wa zaidi ya milioni kumi...
serekali kuweka tozo ktk mafuta ya taa ni kutowajali kabisa wanyonge ambao ni wengi.hivi jast imagine bei ya sukari weka mafuta ya taa kipato 500 vijijini watamudu hii gharama?au waendele kuwasha...
Kuna mjadala wa posho bbc, Juma Nkamia na Zitoo wanapambana kwa mawazo, Nkamia anasema posho ziendelee kuwepo na ziongezwe kwani ni vihela kidogo na kwanza hazitoshi!
Kulikuwa na uchaguzi wa wanafunzi leo.kama kawaida ccm wakisaidiwa na waziri wa mazingira dr.uvisa aliyekuwa dean of students hapa waliweka na kusimamia mgombea mmojawapo nd chacha...
Wana Jf Nimekaa na Kufikiri sana Hoja ya wabunge wa CCM wakitetea Posho baada ya Tafakuri nimeweza kufikia katika hii Tamati.
Wabunge wetu wamekua wakituaminisha sisi wananchi wao watatuletea...
Guys, we have been living miserably after we get fired from our jobs....in insurance there is a relief known as income protection insurance. Basically it protects the income of a person, and in...
"Kwa uchumi na usalama wa nchi serikali ya Tanzania inapaswa kufanya maamuzi mazito na kuwasilisha maombi bungeni ya kutenga kiasi cha Shilingi Bilioni 131 ambacho kinahitajika kama sehemu ya...
mbunge anaposhangilia kuwekwa nyaya na nguzo, ati kwamba umeme utawaka, ilhari waliokwishalipa umeme kupitia mashine za luku kabla ya huduma wanalia na mgao usiokwisha.
Mbunge huyo anasifia kweli...
Leo katika gazeti la MwanaHALISI, Saed Kubenea amewahakikishia Watz wote, mashabiki wake, na haswa wale waliompakazia kwamba tayari kanunuliwa na Rostam Aziz na rafikiye Lowassa kwamba hata siku...
Kwa muda sasa kumekuwa na makundi mawili ambayo ni mwiba kwenye chama cha ccm. makundi haya ni lile la wanaotajwa kuwa ni mafisadi na lingine ni la wasaliti wa chama. Kati ya haya makundi mawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.