Huwa najiuliza kama ni muhimu kuwa na mamia ya "Waheshimiwa Wabunge" na utitiri wa Madiwani. Niliwahi kuambiwa "Hao ndio wawakilishi wetu wanaoikoromea Serikali ishughulikie matatizo yetu pamoja...
Kauli hii alisikika mlevi mmoja akiropoka kua anajutia sana kuishi Tanzania.Lakini sikumpuuzia,nikamuuliza kwa nini?Akasema,alikua anapata milo mitatu,sasa ni mmoja,alikua anapata bia,lakini sasa...
CDM wameingia muafaka na CCM, Ni muafaka wa kwanza kabisa duniani usio na mazungumzo ya pande mbili zinazovutana. Kwa hili inatuonyesha ni jinsi gani chama hiki kimewasahau wahanga wal6waga damu...
Vipo vipato vingine ni vigumu sana kuelezeka vikaeleweka kwa akiri ya kawaida isiyotaka kujisumbua kutafiti zaidi, matokeo yake huishia kusema kuwa JAMAA KAKWAPUA BENKI! au akikustahi sana utaitwa...
Wanaharakati wote watakubaliana na mimi kwamba haki mbalimbali zinavunjwa kila siku kupitia usafiri wetu wa public, hasa ndani ya jiji za dar es salaam.
Haki za watoto ( hasa wanafunzi), wakina...
Habari JF!
Naomba kuambiwa hizi sikukuu May Day na 7 7 mara 8 8 zinahusu nini katika jamii ya waTz?
Zinatunufaisha wengi au ni wachache?
Halafu maana ya hii sikukuu ya saba saba ni sikukuu ya...
Serikali kupitia Kikosi Maalum cha
kupambana na dawa za Kulevya,
inamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Lord
Chosen Charismatic Church lililopo Kinondoni
Biafra jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za...
huyu waziri wa nishati na madini a.k.a umeme anatania,jamani tutoke nje maana hali ni mbaya hana lolote , eti kasoma havardi ,havard gani hii ?
tumechoka na uongo wake
NI,
HASSAN MOHAMMED NDULI
SADY ABDUL
HEMMED DENENGO SEFU
HABARI ZAIDI GONGA HAPA
wabongo acheni tamaa mkiwa nje mpaka kujiingiza kwenye mauaji,maana sasa yanawarudi maana nasikia hawa wabongo...
Wapo waliopata wachumba na kuoana hapahapa JF, wapo wanaofanya biashara na kufanikiwa kupitia hapahapa JF, wapo wanaopata mawazo ya biashara na kijasiriamali.
Kuhusu elimu ndio usiseme, JF ni...
Jamani natahitaji decorder nzima ya Startimes, kama kuna mwanajamvi ambaye ana taarifa za iliyoko sokoni tafadhali tuwasiliane kupitia qfisha@yahoo.com.
Ukifika kwa sasa hapa ujionee utawaonea huruma,ni wanafunzi wa Social mwaka wa tatu wanawahakiki upyaaa yani ili wapate haki ya kurudi masomoni then mahali penyewe ni hapa jirani na Duwasa kuna...
Eti ukiongeza salio kwa Tigopesa utapata mara2!!! Lakini kumbe badala ya kupata mapeni mara 2 unapewa bonus ya dak. za nyongeza ambazo zinaexpire within a limited time!!!!!<br>Wizi...
Wahadhiri Ustawi wa Jamii wagoma kufundisha
Wahadhiri wa Chuo cha Ustawi wa Jamii jijini Dar es Salaam wamegoma kuingia darasani kufundisha wakiushinikiza uongozi wa chuo uondoke na bodi yake...
Wapendwa nimeona niwa-alert kwa wale wanaopenda kugonga gahawa asubuhi asubuhi,
Nilikua manyanya pale, Vijana wote wapiga debe na hata wale waliokuwa wanapata gahawa ili kusubiri Usafiri au kuvuta...
Viongozi wetu ni watu wasiopenda kufikiria! Tanzania imepewa sifa na Marekani kwamba ni nchi yenye demokrasia Afrika, ikaona iwakaribishe wamarekani waibe rasilimali zetu. Sitaki kuwaona...
Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Wakati wengine wakifa njaa wengine wanaona laki si hela. Hapo chanika kuna kijiji kinaitwa lakisihela kwa maana kwamba mtu anayeishi hapo kutoa rushwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.