Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Salamu! Nimekerwa na hii tabia ya baadhi Ya wateneaji au watu wenye mamlaka au dhamana iwe ni sehemu yoyote ya umma uliyokabidhiwa kuiendesha au kuisimamia halafu unaanza kuigeuza mradi binafsi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtu mmoja ambaye hakuweza kufahamika mara moja ameanguka alipokuwa akigema pombe kwenye mnazi maarufu kwa jina la TEMBO,tukio hilo limetokea mkoani morogoro
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi sioni umuhimu wa tamasha la fiesta kwani ni wizi,ufisad na uchafu tu kwa jamii yetu.shinyanga wamekuja na wasanii wachache na wakawabania wana HIPHOP..Show ilianza saa 9 na saa 12 mwisho hapo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/151626-kwanini-tuendelee-kukaa-na-giza-wakati-tatizo-la-umeme-linaweza-kutatuliwa.html#post2181844
0 Reactions
2 Replies
1K Views
VIONGOZI wa kiislamu nchini, wamebaini mwelekeo mbaya wa ustawi wa Watanzania kisiasa na kijamii na hivyo kuwataka kuwa makini katika kuchanganya siasa na dini. Wamesema kama hilo...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wapendwa nimekuwa nimekuwa nikilaumu sana muhadhara imekuwa ikitumika kama sehemu yakashfa na mwisho kuvunja amani ndugu wapendwa tumekuwa wahanga wa mihadhara hii sasa ni mwezi wa sita kumekuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndudu , Habari za Uhakika toka Kasulu Basi la Sumry lililokuwa linatoka Kigoma kuelekea Arusha limepata ajali jana asubuhi na kuua huko kasulu. Habari ni confirmed kwa sababu mm mwenyewe...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Mimi ni Mhaya upande wa baba na Mnyakyusa upande wa mama. Nia ya uzi huu ni kutafuta tiba ya kitabia. Tabia za Wahaya na Wanyakyusa kwa kiasi kikubwa sana zinafanana. Kinachoniuma na kuniumiza...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Toddler Caught By Woman After 10th Floor Fall. Rescuer Wu Juping smiles at her own son in a ward of the Traditional Chinese Medicine Bone Fracture Hospital at Fuyang, a county-level city in...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wabongo ni watu gani? Ukisoma mada kadhaa humu JF utaona watu wanasema "nyie wabongo"....ina maana gani? Nilikuwa nafikiri wabongo ni watanzania huenda siko sahihi? Na je watanzania wanaoishi nje...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Voda hawapo ndani ya uwanja wa saba saba,wameweka vibanda nnje ya uwanja. Nimejaribu kuulizia nimesikia wamezuiliwa na mkurugenzi wa uwanja na amesema hata waruhusu tena,kama yeye yupo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Rejea heading yangu hapo juu ni kua kwa mtazamo wangu na tembea yangu Tanzania mikoa mingi palipo na kabila la mchaga lazima kuna kamaendeleo fulani na pia kama ukiwachunguza hili kabila utaona ni...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Woman convicted of genocide in Rwanda Pauline Nyiramasuhuko Becomes First Rwandan Woman to be Convicted of Genocide By Mike Pflanz in Nairobi Rwanda's former minister for family and women's...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Ndugu wana wa jf, usiku huu wabunge wa bunge letu wapo katika viwanja vya bunge wanaponda maisha. Sijafahamu sherehe waliyonayo inahusu nini hasa ila kuna kelele za muziki mtindo mmoja. Haya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani huu mgao utaisha lini vandugu? Shuguli zangu hutegeme umeme lakini kwa hali ilivyo naweza kuingi manzese au kwamtogole kwenye fani yangu ya zamani (ngeta)
0 Reactions
3 Replies
990 Views
Katika pita pita zangu nimekutana na hiki kwenye tovuti ya NECTA (The National Examinations Council of Tanzania) http://www.necta.go.tz/matangazo/usaili_25_JULAI_20111.pdf Kazi kwenu mlio itwa
0 Reactions
0 Replies
5K Views
haha nimelipenda tangazo la airtel pale moroco ukiwa unatoka town limeandikwa "all essential areas covered" ubunifu mzuri
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu wn jf.Ni muda ss tangu majumba ya machinga complex yaanze kutumika rasm.kwa lengo la kuwapatia ajira watanzani.kwa maoni yangu ajira walizopata watz hao haziwanufaishi kwa sababu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Why being Kenyan makes you smarter, more literate There are all sorts of dull reports out there, but occasionally a true gem like Uwezo's, "Are Our Children Learning? Numeracy and Literacy...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom