Wadau nini maana ya kuondoa shilingi kwenye bajeti? na je, mbunge akifanikiwa kuondoa hiyo shilingi ina kuwa ina affect vipi upitishaji mzima wa bajeti ya wizara husika?
Kumnenepesha mbuzi alingane na ng'ombe!
Kusahau kwamba walipakodi wakuwa Tanzania ni wachuuzi wadogowadogo ambao hawategemei umeme,
laiti kama wafanyibiashara wakubwa na viwanda vingelikuwa...
Daah, kweli nimeamini umeme ndo kila kitu, kwa sababu kwa sasa gharama za maisha zimeongezeka sana hasa kutokana na huu mgao wa umeme. Leo mida ya saa nane mchana nikiwa maeneo ya kinondoni...
Baada ya kutumia Ma-box ya Kampuni/Familia/na c/o hatimaye nikajisogeza ambapo ni njia nipitiayo siku zote...Kijitonyama Postal Office nikiwa na vitu vyote muhimu ili kujiandikisha T.Bariiiidi...
Respect kwa wote! Wanaharakati wangu wa udsm vp bodi wametoa jibu gani kuhusu boom kabla ya UE? Naombeni mnijuze wadau maana sikupata info baada ya levo square ya leo.
Ndugu wana jf. Ni wiki chache zimepita toka waziri wa fedha atangaze bajeti ya nchi iliyo kuwa na mambo kadhaa moja wapo ni la kuongeza kodi katika mafuta ya taa na kupunguza kodi kwa petroli na...
Source: Yahoo friends
Mimi sijui kama hapa ndio mahali pake, lakini nadhani bora ujumbe. Nimeweka na anuani ya source halisi kwa sababu yeye mwenyewe kaweka na labda ukitaka wasiliana naye, kwa...
Aishi Bila Kuoga Kwa Miaka 37!
AMA kweli duniani kuna mambo. Mwanamume wa India, Kailash Singh mwenye umri wa miaka 65, huenda akashika chati ya watu wanaotoa harufu mbaya za mwili na nywele...
Hivi mbwa wa Polisi hawaruhusiwi kunusa mizigo ya waheshimiwa wanapoingia/wanaporudi nchini kutoka ziarani nchi za nje, maana kuna mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kasema viongozi ndio wanaingiza...
Heri uwe Mhalifu kuliko kuwa raia mwema. Hii imethibitika jana bungeni wakati wa mawasilisho ya bajeti mbadala ya Ofisi ya Rais, Menejiment na Utumishi wa Uma iliyowasilishwa na Bi Suzan Lyimo...
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amempa rungu, Mdhibiti na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu Hesabu za Serikali (CAG) la kuwafikisha moja kwa moja kwenye vyombo vya Dola, viongozi wa Serikali wanaoiba au...
natumaini hamjambo wanajamvi wenzangu.....najua mna habari kwa nini kinaendelea kwa wenzetu Kenya kuhusu balaa la njaa linalowakumba... Juzi nimeshuhudia malori( semi trailers) kama 50 zikiwa na...
Kuna usemi unaosema kwamba ukianguka usiangalie ulipoangukia, bali angalia ulipo jikwaa. Kwa hiyo hata kwenye tatizo la umeme tunatakiwa tuangalia kilicho sababisha. Sasa wengi wanasema umeme ni...
Ni mjadala wa posho, umetawala kurasa,
Taka kutoana roho, kwa hoja zinazotesa,
Tena sio za kitoto, hoja wameitakasa,
Nini uhalali wake, jifungu hilo la posho?
Embu fanya tafakuri...
Wale wenzangu wanaoshinda ofisini wakidai matumbo yanawauma awaendi lunch
hivi sasa ni sasa saba na dk 17 naona muda unaendwa kweli nanyi mliokimbilia breakpoint
jamani muda unakwenda kumbuken...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.