Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu, Nipo hapa Tegeta standi ya Bunju nashuhudia Moto mkubwa sana na kanisa la hapa barabarani limeungua na moto unazidi kusonga mbele na kuunguza mabanda ya biashara mengine. Ohhh Lord of mercy!!!!
0 Reactions
25 Replies
4K Views
wenye akili zetu tunaelewa sana mazingaombwe yanayochezwa so far. mazingaombwe haya yamepata hata wapiga debe. magazeti ya mtanzania na jambo leo ndo yamekuwa watoa taarifa wa kila kinachoendelea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Global Publishers kwa kushirikiana na Clouds group wanaanda tamasha la kuwahamasisha wananchi kuwa wazalendo kwa kile walichodai kuchafuliwa kwa hali ya hewa kulikosabaishwa na maandamano na kauli...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Jk ameishauri tanesco ipunguze gharama za kuunganisha umeme! na luku je?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Namuomba Rais Jakaya Kikwete asitishe mara moja ziara anazofanya kwenye wizara mbalimbali kwa sababu hazina tija kwa Taifa na zinasababisha hasara kubwa na kupoteza muda wa kazi mwingi kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
RAIS wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Mwashamu Thadeus Rwaichi amekemea kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya wana CCM za kulihusisha kanisa hilo na Chama cha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
NSSF kuanza kukopesha fedha wanachama wake Send to a friend Saturday, 19 March 2011 11:33 0diggsdigg Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa NSSF,Abubakar Rajabu Lauden Mwambona, Mwanza MFUKO wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
THE Government is keen to streamline the disbursement of revenue shares earned from natural resources including royalty, fees and commissions from forests and wildlife to district councils...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Waziri wa fedha Mustapha Mkulo amesema hali ngumu ya uchumi na ukali wa maisha unaowakabili watanzania serikali haitaweza kuvitatua na amewataka watanzania wasitegemee serikali itaondoa matatizo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
There were dayz when girlz used to cook like their momz, now they drink like their dadz.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf,kwa bla bla za ccm na viongozi wake (kumzuia Dr magufuri asifanye kazi) juu ya maendeleo ya nchi yetu,kamwe hatutaweza kufikia kiwango hiki kama walivyo wenzetu wa nchi zilizoendelea...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika hali ya kutatanisha Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige, ameitaka serikali kuipokonya kampuni ya Barrick leseni ya madini kwenye wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, na badala yake...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi kati ya hawa wana CCM wawili ni NANI HASA ndiye rais wa Tanzania-Kikwete na Rostam Aziz??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania, Nchi ya babu na bibi zangu. Nakupenda na kukutukuza. Ila nasikitika kwamba kumbukumbu nzuri na tamu kuhusu wewe ni wimbo na bendera yako. Vingine vyote nimevisahau. Madini, mito...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jaribu kufuatilia hii link utapakujuwa madhara yatokanayo na nuclear Live updates: Disaster-struck Japan in nuclear crisis | News.com.au ikisha funguka nenda sehemu iliyoandikwa MELTDOWN EFFECTS...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
kuna tetesi kwamba jengo la tanesco ambalo linataka kubomolewa ni la Rostam.aliwakodisha tanesco. je ni kweli???
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ASKARI wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wa Kambi ya Bavuai Migombani, amefikishwa mahakamani akikabiliwa na shitaka la kuwashambulia raia huko Jang’ombe wiki iliyopita. Askari huyo MT...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bandugu! Kaka yangu mmoja askari polisi aliuawa Juzi Shinyanga baada ya wahalifu aliokua anawalinda kumhadaa kana kwamba wanaomba kusikilizwa kidogo na alipowasikiliza ghafla wakamzidi nguvu kabla...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Na Salma Said, WAUMINI wa dini ya kiislamu wameitaka serikali kuchukua hatua madhubuti ya kuhakikisha madanguro, baa na nyumba zenye kuendesha vitendo viovu vinaondoshwa kwa haraka kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mchungaji lusekelo leo alikuwepo kwenye uwanja wa stedium akihubiri na kutoa upako na kusema babu wa loliondo anatibu kwa kikombe yeye anatibu kwa maombi nawakilisha
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom