Kuanzia lini bei ya vitu inashuka kwa kauli ya Waziri Mkuu? Alipohutubia kwenye uwanja wa Mashujaa huko Bukoba aliagiza bei ya sukari ishuke kufikia shillingi 1800 na kabla hajamaliza ziara bei...
Ndugu zangu na wapendwa wangu wana JF, ninazoshukurani za dhati kwa wale wote mlipata habari kuwa nilifiwa na baba yangu mzazi na kwa bahati mbaya sikuwepo Tanzania yalipotokea hayo lkn Mungu...
Wanajamii wenzangu
Hivi majuzi nimeshuhudia wawili wakipoteza maisha yao mbele ya macho yangu. Sio hao tu niliwahi kuona hata huko nyuma wakipoteza maisha yao na serikali haifanyi jitihada zozote...
Ahadi za wanasiasa bana.....huyu jamaa kitabu chake sijui bado anakifanyia utafiki....
"Kwa hakika Amina alikuwa ni rafiki yangu wa karibu. Tulishirikiana kwa mambo mengi. Tulijifunza mambo mengi...
Ugunduzi: Mkojo kutumiwa badala ya petroli, dizeli Send to a friend Saturday, 19 March 2011 10:21 0diggsdigg
Leon Bahati
WAKATI dunia ikishuhudia kupanda kwa bei ya mafuta, wanasanyansi...
Habari hii iliyopo katika gazeti la Mtanzania la Jumatatu machi 21,iliyoandaliwa na Shabani Matutu inasema.
Daktari wa dawa asili wa kituo cha Haleluya sanitarium,Issack Ndodi amewaponda...
Mwinyi Sadallah
20th March 2011
Mjadala wa Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano umeendelea kupasua vichwa wanasheria na vigogo wa Zanzibar, ambapo jana imeelezwa si sahihi Rais wa...
Achimba Kaburi Amzike Baba Yake Akiwa Hai
Wednesday, March 16, 2011 11:08 AM
KIJANA aliyetambulika kwa jina la Kizito Mwashala (29), mkazi wa Mbagala Kilungulile, ametoa mpya ya mwaka kwa...
DAR ES SALAAM // The traffic congestion in East Africa's largest city is showing no signs of abating despite a number of proposed solutions. The projects implemented so far have failed to garner...
wanaJF nauliza nipate kujuwa kama spika wa bunge la sasa bi Anne makinda kama amepewa ulinzi,kwani ktk picha hii hapa chini namwona mwana mama amejiimalisha vyema ktk style y aulinzi vile
Nimekuwepo hapa JF kwa muda ila mara nyingi huwa na soma tuu (lurker). Katika watu ambao hupenda kusoma makala zao ni Mzee Mwanakijiji. Nadhani kila mtu anamfahamu ila ningependa kumshukuru kwa...
Jana nilimsikiliza Tendwa akijadiliana na Mtangazaji wa TBC pamoja na mambo mengine barua ya onyo aliyoiandikia CDM. Kwa namna alivyokuwa akijibu maswali na kuibua hoja, itakuwa imeonekana dhahiri...
watu wanakuingilia ndani mbele ya mkeo na watoto wanakufanyia mbaya kwa kupiga na kukuzalilisha na wanamfanyia mkeo mbaya wanawaua watoto zako na wanachukua mali zako, kwa bahati nzuri unawajua...
Uchaguzi mkuu wa Rais,wabunge na madiwani nchini Tanzania ulifanyika mwezi Oktoba,2010.Uchaguzi ulikwisha na kila chama kiliambulia chake.
Pamoja na CDM kulalamika kuwa matokeo ya Urais...
Jana usiku nilitumiwa message ifuatayo ambayo naamini imeelekezwa kwa Waislamu.
TCRA mlishindwa kushughulikia message iliyotumwa kwa namba ya Ulaya wakati wa kampeni.Hii ya leo inaonyesha mbegu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.