Elias Msuya
SERIKALI ya Rais Jakaya Kikwete imevunja Katiba kwa kutoteua makamishna wapya wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora baada ya makamishna wa awali kumaliza muda wao.
Mpaka sasa...
KATIKA kuonyesha kuwa mmomonyoko wa maadili unashika kasi kila kukicha nchini Tanzania, wapenzi wawili jana wameonekana wakifanya mapenzi hadharani kwa kuzidiwa na pombe kupita kiasi huko maeneo...
Kuhusu maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Malisa alisema UVCCM imebaini kuwa ni hila na njama zilizopangwa dhidi ya serikali yao.
Baraza Kuu linawataka vijana wote wa CCM...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kinajitambua kuwa ni chama cha kidemokrasia na kitaendelea kutafuta ridhaa ya wananchi ya kuunda Serikali kwa njia za kidemokrasia na kwa...
CAIRO, Mar 21, 2011 (IPS) - U.S. Secretary of State Hillary Clinton last week paid a highly-publicised visit to Cairo's Tahrir Square, the epicentre of Egypt's recent popular uprising. But young...
DID YOU KNOW THAT?
This year we're going to experience four unusual dates.
1/1/11,
1/11/11,
11/1/11,
11/11/11
And that's not all...
Take the last two digits of the year in which you...
BEIRUT, Mar 21, 2011 (IPS) - Libyan President Muammar Gaddafi's use of African mercenaries to quell the uprising against his autocratic regime has revived a deep-rooted racism between Arabs and...
Siasa za Tanzania zina vituko vingi. Juzi vyombo vya habari vimeripoti kuwa Waziri wa Ujenzi Dr. Magufuli amejiuzuru wadhifa wake. Kwa mshangao wangu, Katibu mkuu wa Wizara ya Ujenzi akakanusha...
MARA kadhaa niliamini kuwa ninafanya makosa kuwafikiria watu wetu wana ubinafsi zaidi kuliko watu wengine.
Ninapoona mtu kwenye gari la kubeba watu wanane anapita peke yake na mke wake pengine na...
Hawa mawaziri wa fedha sijui wakoje. Laana gani tunayo wa-Tz kukosa mawaziri wenye hekima? Mbona wanajisahau kana kwamba hawako Tanzania? Haya Pinda uko wapi baada ya kuhangaika na Magufuli...
Mafisadi mmetuulia mashirika yetu tulioachiwa na Baba yetu wa taifa na kuongezeka kwa kasi ya watanzania wasio na ajira. Mmetuulia Shirika letu la ndege Air Tanzania, Viwanda, UDA na bado Mnatanga...
Natafuta nyumba ya Kupanga maeneo ya Kinondoni,Mwenge,Kijitonyama na Sinza.Ofa yangu ni 150,000 hadi 200,000 kwa mwezi.
Maelezo:
Vyumba viwili vya kulala,sebule,jiko na choo (sio cha ku...
KUTOKANA na kujitokeza kwa mtu mwingine wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro anayetoa dawa ya kutibu magonjwa sugu kama alivyo Mchungaji mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)...
Wana JF
Sambamba na maandamano napendekeza kila mwenye uchungu na nchii hii ya Tanzania afanyekazi ya kuwaelewesha watanzania mmojammoja ubaya wa CCM na madhara yake kwa Tanzania nakuhakisha...
Katika kipindi kifupi wameweza kutekeleza wanachokiamini kumpiga Gadafi. Ni sehemu gani duniani ambako katika kipindi kifupi jamii au mataifa yoyote yenye malengo sawa yanaweza kutekeleza malengo...
The Anjouan will shortly face a joint Comoros-African Union military assault as about 500 troops from Tanzania are deploying in the Indian Ocean's archipelago to help the government regain...
Jamani,
Sijui kama na wenzangu huwa inawatokea, mwenzenu huwa inafika mahali tumbo linaniuma kwa kufikiria namna nchi hii inavyoongozwa na kikwete na serikali yake ya sisiem kama gari bovu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.