Baada ya chadema kuja na operation Sangara kanda ya ziwa na kufanikiwa kumshona sangara kisha kumwacha aishi salama,CCM nayo inakuja na operation ndoano je,wanataka kumvua samaki ziwani ambaye ni...
Ni baada ya miujiza ya Mchungaji mstafu Ambikile kujitokeza na kutoa huduma ya maajabu imepelekea TAnzania kuingia katika sura nyingine kwa kujulikana na mataifa mbalimbali na kupata wageni wengi...
Nimejaribu kufuatilia utaratibu wetu wa maisha sisi watanzania nakubaini kuwa njia za mkato zinapendwa sana katika kutafuta majibu. Kwa harakaharaka inaweza kuonekana sio tatizo maana kama majibu...
The ghost workers in the government have cost us over TZS 9 bn/= for the past three years. Jk is angry and 'surprised' but this a very old problem leaders come, see it get surprised, get angry and...
Hivi karibuni kumekuwa na matangazo mbalimbali yakitoka kwenye mabango na Television lakini hayabebi uhalisia kutokana na muonekano wa washiriki wa matangazo hayo
Mfano:
kama umebahatika...
We will not surrender," Gadhafi earlier told supporters forming a human shield to protect him at his Tripoli compound.
"We will defeat them by any means ... We are ready for the fight, whether it...
Hii imekuwa kero kubwa sana kwa upande, nashindwa kuelewa ni sababu zipi zinazosababisha haya magazeti hayaingizwi kwenye tovuti kwa wakati? sasa je kwa watanzania ambao wako nje ya nchi hawana...
Wakuu amani kwenu,
Nimelazimika kuileta hoja hii kwenu, kwani siku hizi viongozi wetu wa kiroho wamekuwa wakizungumzia mambo ya kisiasa kwa niaba ya waumini wao na ukiwa ndio kama msimamo wa...
Wakazi wa Mbezi Beach eneo la Samaki Wabichi, kuelekea Mbezi Juu kupitia Goba Rd, huenda wakakumbwa na bomoa bomoa ya upanuzi wa barabara ya Goba ambayo ilikuwa ni reginal road yenye upana wa mita...
Kwa mujibu wa taratibu zetu hapa, hivi thread huwa inafikia mwisho ambapo inafungwa? Hiyo rule inasemaje? Kama hakuna rule kama hiyo basi tujifunze kuvumilia freedom of political speech.
Kwa...
Sadick Mtulya
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), unatarajia kutumia Sh400 bilioni kuzalisha megawati 300 za umeme na kuziingiza katika gridi ya taifa, ifikapo Desemba mwaka huu.
Hatua...
Wadau - natoa hoja hii:
Kwa kuwa serikali ya JK imeamua kumsapoti babu wa loliondo -- Mchungaji Mwasapila -- kwa tiba yake na kuamua kumpa msaada mbali mbali pamoja na kumtangaza nchi za nje kama...
Si watu wengi wanajua ugumu wa utumiaji wa barabara hii ya Mbeya-Dar es salaam.
Katika miaka baada ya uhuru wakti wa kusafirisha bidhaa kwenda Zambia hasa baada ya mgogoro wa kisiasa kati ya...
Kutokana nakugundulika mionzi ya nyukilia kwenyeshena ya maharage!!!nawatahadhalisha wale wanao agiza magari Japan nibora wawashirikishe idara ya mionzi ya hapa nchini ili wakague magari yote...
American Role in the Close of the World History is unknown to many thus raising a sense of confusion to many. America is depictyed by the Reveletion 13:11 as animal with hons like the lamb. This...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.