Polisi wawili mkoani Mwanza wanashikiliwa mahabusu baada ya kutwangana makonde na kuumizana wakigombea kilo 30 za mihadarati.
Watu walioshuhudia tukio hilo wanasema lilitokea juzi saa 7.30...
Hii imenitoke tarehe: 21.03.2011 saa: 1437hrs.
Nilifika eneo la Bank hiyo muda huo kwa lengo la kuchukua pesa kweny Mashine pesa {ATM}zilizopo nje ya jengo hilo kamailivyo kawaida.
Awali...
Imebainika kuwa wanafunzi wengi katka vyuo vyetu nchini wanajihusisha na ghiliba/ujanjaujanja wakati wa mitihani mbalimbali au kazi wanazopewa na walimu wao,wapo wasiojihusisha kabisa na kazi...
Habari,
Katika hali ya kawaida kabisa inafahamika Katibu mkuu ndio msimamizi na msemaji mkuu wa chama. Lakini kwa CUF ni tofauti sana hasa wanapotoa kazi hii kwa naibu au mwenyekiti. Mi siijui...
Nimekuwa nafuatilia ziara ya Mkuu wetu wa nchi katika wizara juzi nikamwona anamkatalia Waziri Nundu taarifa ya mkakati wa kuboresha TRL ambapo alimwambia kwamba hauelewi na haukubali kiasi cha...
Habari
Nina kawaida ya kula nje,nimejitahidi kujibana
Breakfast. 2000
Lunch. 3500
Dinner. 2000
Maji/drinks 2500
Jumla ni alfu kumi
Sasa wadau naomba tupeana maujanja namna ya...
*Wahoji iweje JK, Pinda wamzuie kutekeleza sheria
KATIKA hali inayoashiria ni ya kumtetea waziri wa ujenzi nchini, Dkt. John Magufuli baadhi ya wananchi wameeleza kusikitishwa na mashambulizi...
Habari zilizoandikwa katika gazeti la Mwananchi zinasema kwamba "barabara inayokwenda kwa babu Loliondo inazidi kuharibika na kusababisha mamia ya wagonjwa na jamaa zao kukwama porini. Zaidi ya...
Wana JF nina wazo la kuanzisha Restaurant itakayouza vyakula vya Kichaga tu kama mtori,kiumbo,kishimba,machalari na kadhalika. Je hii biashara italipa kwa miji ya Dar es Salaam na Arusha? Pia kama...
Kila ninapomaizi kuhusu mstakabali wa Tanzania, naona ukungu wa kiza katika mambo mengi kama Watanzania wenyewe hawajaamka na kuchukua hatua za maksudi za kuinusuru hatma na mustakabali wa nchi...
Nduugu wapendwa kwanza na wapa pole wale walioathirika na hili jani leo hii naweza sema kwa bara mna afadhali..serikali ya zanzibar imeshindwa kabisa kukontrol swala la unga na kufanya vijana...
Mara nyingi huwa napenda kusoma hoja za watu na comment zao, hapo mwanzo kulikuwa kuna matusi na kejeli mtu atakuambia hauna akili hujui unachosema lakini sasa nao hayo yote ni ya kale watu...
Prime Minister to grace TMF's forum on Monday
MFUKO wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF) umeandaa kongamano kwa wadau wa habari nchini Jumatatu, Machi 28, 2011 litakalofanyika Ukumbi wa Mikutano...
Haishangazi kabisa sasa kuwaona Watanzania wenzetu wakinywa sumu kwa furaha!
Kuna kisa kimoja kinafanana na hali za Watanzania wa leo:
Mgonjwa mmoja alikuwa hoi taabani na akaona kwamba njia...
Wakristo wa kabila la Kikwere Jimbo la Chalinze, Wiliaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani wamezindua Biblia ilioandikwa kwa lugha yao ili jamii hiyo isome na kuelewa kirahisi maandiko ya Biblia...
Wakristo wa kabila la Kikwere Jimbo la Chalinze, Wiliaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani wamezindua Biblia ilioandikwa kwa lugha yao ili jamii hiyo isome na kuelewa kirahisi maandiko ya Biblia...
Hi wanaJF, hivi majuzi nilimsikia Waziri wa Mazingira akisema kuwa kuna Mpango unaoitwa MKUHUMI unaolenga kusaidia kupunguza uharibifu wa misitu katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabia nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.