Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jamani Burka Estate, lililokua shamba la Kahawa, limegawiwa. Sitaki kuhoji kama maamuzi ya kuligawa hilo shamba na kuwa ni makazi ni sahihi. Bali Halmashauri ya Mji wa Arusha, lilitangaza watu...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mi naogopa sana yale yanayotokea hivi sasa huko katika nchi za kiarabu, yasije yakatokea pia hapa Tanzania. Ndugu zangu, hali ni mbaya sana. Mamilioni ya watu wamejimwaga mitaani na kuzunguka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Nachotaka kusema najua watu wengi hawajawahi kufikiria, lakini huu uwongo umekuwa unanikera sana moyoni. Nimetembealea nchi kazaa za mangaribi na kila kona nikikatiza watu kotoka mabara yote ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
25 March 2011 Dar es Salaam — The 2007 Pew Global Attitudes Project reported that 95 per cent of residents were opposed to homosexuality in Tanzania, making the country among those with the...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Mimi Mwana JF ni siku nyingi nimekuwa nikitaka kukutana na Jf hapa Moro ila sijafanikiwa kuonana hata na mmoja sasa kama mpo tutafutane jamani. na wale wanakuja Moro karibuni sana kwenye mji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeipata hii sehemu fulani ila sijui source ni wapi na nani....lengo ni kuwa tujadili ukweli wa hizi statement. To reflect and... act…… 1. The difference between the poor and rich nations...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Natafuta information za kampuni yeyote inayouza vifaa vya umeme wa jua kwa bei nafuu. Nataka nifunge umeme wa jua kijijini kwa sabau umeme wa TANESCO ni garama sana hasa seheu...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Mwanza katika pilika zake huko kwake alikuta wasamabazaji wa sukari wame hifadhi kiasi kikubwa cha sukari katika maghala yao. kama hiyo haitoshi sikusikia maelezo ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kuna ubunifu wa kuifunga injini baiskeli, natumaini wadau mmeshaziona baiskeli za aina hiyo. sasa baiskeli ya aina hiyo inaangukia kwenye kundi lipi kati ya magari/pikipiki ambayo husajiliwa au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekaa kimya kwa muda bila kuchangia...tangu nilipojiunga enzi ile Forum hii adhim ikiitwa Jambo Forums..tukiwa na magwiji wakiongozwa na E.S, Dr. Who, Kichuguu, Mkandara..n.k. JF imekuwa ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba nijuzwe kuhusu ile mikoa mipya 3 itaanza kuoperate lini kama ambavyo watawala waliamua kutuingezea zigo la uendeshaji.Maana hii iliyopo naona kama ni mzigo pia. Mwenye taarifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BWANA Richard Michael [19] Mkazi wa Ilala Maghorofani jijini Dar es Salaam, amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wa kiume kwa kumuingizia pampu ya baiskeli sehemu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WANANCHI wa Kata ya Mwakibete jijini Mbeya wamekuja na ufumbuzi wa michango kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kwa shule za sekondari, lakini Mkuu wa Wilaya hiyo, Evans Balama, anawaona ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanamuziki wa kundi la Five Star Modern Taarab walionusurika kwenye ajali wameeleza kuwa vishawishi na masikhara kwa dereva ndivyo vyanzo vikuu vya ajali ile mbaya iliyowaua wenzao 13...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima Wakuu, Maajabu na uwezo wa Mungu hayaishi. Ninawawekea picha na wale watakaopenda kusoma habari yenyewe link ni hii: Baby With 1 Eye and No Nose Born in India, Survives 1 Day
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Waziri Sophia Simba amekanusha kutoa tamko la kushutumu Chadema kupata misaada wa fedha kutoka nchi za nje kwa ajili ya kuleta machafuko nchini. amesemea - hajui shutuma hizi zimetokea wapi, na...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
credit Wavuti - Home
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jeshi la polisi limezuia maandamano ya kupinga uvamizi wa coalition forces yaliyotakiwa kufanyika kesho source-tbc My take-Naona serikali imeona ni bora kuzuia la sivyo itatucost as taifa kwa ujumla
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Your brain, just brighter. Improve brain health and performance. Brain training produces real world benefits Enhance memory, attention and creativity Easy, web-based...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJF, hivi majuzi nilimsikia waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira akizungumzia kuwa kuna mkakati unaoitwa MKUHUMI au kwa kizungu REDD ambao lengo lake ni kuhamasisha wananchi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom