Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mkuu wa wilaya ya Mbinga amekiri kwenda kupata kikombe cha babu na kumponyesha ugonjwa wa kisukari uliomsumbua kwa takriban miaka 20. Source- TBC1 taarifa ya habari usiku huu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
By ALVAR MWAKYUSA, 26th March 2011 LOCAL workers in the insurance sector are up in arms with their employers over alleged favouritism towards foreign employees. In a four-page electronic mail...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naomba kujua kuna taarifa zilitangazwa wakati waziri wa uchukuzi kwa jina sifahamu ila nilisikia kwenye magazeti na TV kuwa YONO wastop kukamata magari na pia aliwapa kazi idara husika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kasheshe kwa wanaotaka kusoma Uingereza 22 Machi 2011 17:58 bbc.co.uk/swahili ? Sheria za kupata viza za wanafunzi nchini Uingereza zinatarajiwa kuwa ngumu zaidi- baada ya kuibuka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jamii, hivi ippmedia wamebadili homepage au wamekuwa hacked..
0 Reactions
3 Replies
2K Views
I would like to thank the individuals who contributes to www.jamiiforum and make it exists. The website for me is not only informative but also entertaining. Asanteni sana Wandugu and keep up...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu great Thinkers, kuna mdau kutoka ofisi ya rais-ikulu amedokeza kuwa viwanja vya ikulu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo ndipo yalipo makazi na ofisi ya Rais havina hati miliki ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya sakata la muda mrefu na la chini kwa chini ukianzia na zile rumours kuwa JK alikataa kumpa uwaziri jamaa, na ukilinganisha na mambo yaliyotokea hivi majuzi nashawishika kuamini kabisa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nimekumbana na mkasa ulionishtua sana, nilikua maeneo ya masaki na kwa bahati mbaya (shemeji yenu ambae sasa anajifunza driving) akataka ajikumbushie yale mambo yake ya shule, tulikua very...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Takwimu zisizo rasmi zinaonyesha kuwa asilimia kubwa ya watz nivijana! Je ofisi ya takwimu inajua yale tuyaonayo kwamacho na masikio kuwa vijana wengi hawana imani na serikali hii ya rais kikwete...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Ni mwanafunzi wa darasa la N'ne wa Shule ya Msingi Kawama katika Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa, Adamu Bilauli umri {11-13} ambaye alipigwa na kuvunjwa mguu wa kulia yapata wiki moja sasa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamaa yangu mmoja wa karibu katumiwa SMS, toka kwa rafiki yake wa karibu muda mfupi ulopita nayo inasomeka hivi: "Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, usharika wa Loliondo umetoa tafsiri ya...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
CCM sasa vipande vipande Hoja ya Sumaye yazua mvutno mkali ndani ya chama Waandishi Wetu KAULI ya Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, aliyoitoa dhidi ya tuhuma alizotupiwa imezidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
After finishing medical school in Bogota, Colombia, Maria Anjelica Montenegro did it all — obstetrics, pediatrics, emergency medicine, even surgery. By her estimate, she worked with thousands of...
0 Reactions
1 Replies
817 Views
Bugando kwa sasa wanalia jinsi emergencies za wagonjwa walioacha kutumia ARVs na hata wale wa Kisukari walivyojaza ICU ya Bugando..! Hilo hupaswi kushtuka as nililitegemea kwa kuangali ule umati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau na waungwana wote jamvini, Naanza kwa kuwasalimu, ASSALAAM ALAIKHUM...BWANA ASIFIWE...TUMSIFU BWANA. Nimekuwa nikifatilia saana mijadala mingi hapa jamvini hususan hili suala lililoingia...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Maneno mengi ya Kiswahili yametoholewa kutoka lugha za kigeni, lakini hili la "stelingi" kwa kumaanisha kinara wa filamu, limetoka wapi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
naona tbc wanasheherekea miaka 3 yao leo-huku wakionyesha changamoto zinazowakabili- imenisikitisha kuona wanasoma habari kwa kutumia tochi ya simu-ina maana hata generator za kukaa muda mrefu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mara kadhaa nimesoma habari kwenye magazeti na huku kwenye great thinkers (Jamii Forum) na kuona kwamba tunaendekeza majadiliano ya udini ambayo yanabomoa zaidi ya kujenga ka nchi ketu ka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ikiwa imepita kama wiki moja tangu wasanii kumi na tatu wa bendi ya taarabu kupoteza maisha katika ajali gari leo tena kuna habari toka morogoro kwamba kuna ajali kama hiyo hiyo imetokea morogoro...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom