Namnukuu Babu wa kule Samunge Loliondo kama alivyosema wakati anatoa tiba ya kikombe cha dawa kwa wagonjwa waliokwenda kupata tiba akiwapo mimi mwenyewe kuwa alikua akisema kama umekuja mwenyewe...
huu ni ushauri wa bure,siasa ni mchezo ambao hautabiliki na hii ni kutokana na sababu ya kuwa inapelekea kwenye kutafuta madaraka,kwa wale ambao wanaamini mungu watakubaliana nami kuwa hakuna...
Heshima kwenu wadau wote mliopo humu jamvini. Leo napenda kuwashirikisha hii hotuba nzuri ilitungwa na Mwanaharakati Vitali Maembe;
" Hotuba ya mfungwa Mswahili,
by Vitali Maembe, Chanjo 2010...
Nilifadhaishwa sana na ajali iliyosababisha vifo vya wanamuziki 13 wa taarabu hivi karibuni. Kuna haja ya watanzania kuhimasishwa ili wachukuwe madaraka wanapoona dereva anendesha hovyo. Habari za...
Mi saw an article in a certain magazine saying dat our bodies weren't made naturally to consume meat.It carried on by saying it has made some researches by questioning dem vegetarians and dem meat...
Naona watanzania siku hizi mmeingiliwa na Mambo ya kusema Freemasonry, kitu kidogo Freemasons, fulani kanya -Freemasons, Mbwa kakojoa -Freemasons, mwizi kaiba- Freemasons, babu na kikombe chake...
Wanasaikolojia wameendelea kufanya uchunguzi kuhusu akili na IQ ya mtu. Wamegundua kwamba ili akili iwe faster kwenye kufikiri na kuamua, ni vema kufanya vifuatavyo;
1. Wahi kulala na wahi...
Jamani mimi nina wasiwasi na hawa VODACOM kwenye kadi za kuongeza salio. Kadi yao ya shilingi elfu tano ina expiry date/ muda wa kuisha matumizi. Nilinunua kadi kutoka wa wakala wao katikati ya...
Nilikuwa nazungumza na mtu wa usalama akanieleza jinsi walivyoiua nccr na kuidhoofisha cuf wakati ule. anasema chadema wanajaribu lakini ina ugumu maana lazima uingize watu wenye ushawishi...
Wana JF
Niwakati ambao CHADEMA inapatamashambulizi kutoka kila kona na vyama vyote vinajaribu kila njia kibomoa CHADEMA, hii imedhihirisha muungano wa vyama vya upinzani kwa Tanzania hautafanya...
Wanajamvi nashangazwa na haya matangazo lukuki toka tanesco kwenye tv? Hivi huyo badra masoud anayeidhinisha matangazo haya wakati kazi yake imetangazwa na wakati akijua hatuna umeme wa uhakika...
Nimeshtuka sana baada ya kusikia habari kwamba muumini mmoja wa kanisa la EAGT kwa jina la BAHATI NGENUIKO eti nayeye amepewa maono kwamba 21 May ndo mwisho wa dunia,na kama isipotokea basi apigwe...
Wakati mwingine tujihurumia mno, na hata kulalamika kuwa hatuwezi kufanya hili na lile kwa sababu mbalimbali... Lawama tunatupia Muumba aliyetuumba jinsi tulivyo. Je, wasiopewa viungo vyote...
HESHIMA KWENU WANAJAMVI
Nimefikiri kwa kina kuhusu umasikini wa watu wangu katika mikoa niliitaja hapo juu nimejaribu kuoanisha na rasilimali tulizo nazo.
1.Umeme wa gesi wa uhakika
2.Marine...
Kuanzia sasa sitasoma post yoyote inayohusiana na UVCCM au CCM...Wanatuchezea akili hawa...Makamba na Sumaye lao moja hii ni njia ya kutuvuruga.Ona sasa tumesahau ya msingi..........
The centre cannot hold when the president looses humiliation upon his ministers
Posted Monday, March 28 2011 at 00:00
THE EAST AFRICAN
Although William Butler Yeatss poem, Second Coming...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.