Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari wana JF! Huwa najiuliza maswali mengi sana kichwani na huwa sipati picha halisi, na je kama kweli hali ingekuwa ni hivyo ingekuwaje? MOSI: Kama Mwenyezi Mungu angeamua mioyo yetu iwe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kaziya kutathimini viwanja,mashamba,na nyumba eneo la kibamba mloganzila imeanza jana.matangazo yaliyotolewa hayatoshi kuwafikia watu wenye maeneo hayo kama kuna anayehusika awahi jumatatu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WANA JF NAPENDA TUJADILI MADA HUSIKA ILI NAMI NIPATE UELEWA ZAIDI. Kila kukicha huwa haikosekani thread za udini kwa upeo wangu mdogo nafikiri tunachanganya mambo mawili 'misingi za dini na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yaiga mbiili afrika ya kati mbwana samata abiga laushindi dk tisini na mbili
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello great thinkers Nimeshangazwa sana na kauli ya mhe. Rais kwa kuzitaka Wizara za kilimo,chakula na ushirika na Wizara ya mifugo na uvuvi kutoa ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu na kuwapeleka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hii ni siku ya pili baada ya mabomu kulipuka gongo la mboto jionee mwenyewe utagundua kitu halafu ukitolee maoni hapo chini kwamba umegundua nini angalia kwanza hiyo habari kwa njia ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nilisoma habari ya mtu aliyepotelewa laptop yake mlimani city, nauliza laptop yake ni aina ya Sony? na je kuna documents zake zimeandikwa ALFAGROUP?kuna mtu amekuja ananiuzia laptop nikaichunguza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
hivi wanajanvi kuna yeyote anayefahamu kwa nini huwa zinatengenezwa hela mpya, na baada ya hapo vitu kupanda bei marudufu ?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nmepatw na hal ya kuondokewa na hisia za mapenz. Cjui imesababshwa na nini. Npo under 30. Huu ni km mwez wa3, nile nin/nfanye nn krudsha hica?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani nimeipenda katuni kwenye gazeti la Mwananchi leo, inaonyesha CCM wakijisifia kuwa wameshatekeleza Sera ya Afya kwa kuwaruhusu wabongo kupata Tiba huko Loliondo kwa Babu... My Take: Kuna...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana JF wenzangu wasalam, Baada ya salamu napenda kuelezea kisa cha hivi karibuni kilichotokea cha mama mmoja kupoteza maisha baada ya kupata kansa ya jino iliyotokana na uzembe wa...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
  • Closed
Leo nimeelezwa na mzee mmoja mkongwe kwamba kabla ya mfumo wa vyama vingi vya siasa kulikuwepo chama cha mlengo wa kusaidia wachaga kama vilivyo vingine vya kikabila,kijamii na kilitwa Chaga...
0 Reactions
60 Replies
14K Views
POLISI Kikosi cha Usalama Barabarani, kimemtaka Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), Israel Sekirasa, kusaidia upelelezi wa kubaini polisi walio...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kongamano la new media marketing limeingiliwa na mgao waumeme yani nikituko cha mwaka nitawaeleza jamani wt
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kabla na baada ya Mwl Nyerere kufariki, mfuko huu walikuwa na ofisi zao mkabala na Makumbusho ya Taifa, Dar. Baadaye, wakalibomoa jengo la ofisi zao wakiwa malengo ya kujenga ghorofa refu na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeikuta hii kwa michu, eti BWM anajiita President, 1995-2005 badala ya kujiita Former Tanzania President 1995-2005... Anyways ni bora angeendelea kuwa Presidaa maaana ni kama hatuna Presidaa vile...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
waziri wa afya wa Kenya Bi Mugo amesema atamshinikiza waziri wa afya wa Tanzania ili babu akamatwe. Sababu aliyoitoa ni kuwa babu ni mganga wa kienyeji na anadanganya watu kuwa anatibu. Ushauri...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zilizoandikwa katika magazeti na kusikika katika redio na Televisheni siku kadhaa zilizopita zilieleza kwamba Babu wa Loliondo ameoteshwa na Mungu dawa ya kuwatibu watu magonjwa sugu...
1 Reactions
84 Replies
20K Views
jana alhamisi nilisoma gazeti moja likiikariri mamlaka ya mawasiliano kuwa imeryhusu kampuni tatu kuagiza ving'amuzi ambavyo vitatumika pale mfumo rasmi wa analogi utakapofungwa rasmi desemba 2012...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nikianzia Ikulu na Wizara zote,Balozi zote Mashirika yote ya kimataifa yakaenda pale Dodoma Na kila HQ ya shirika lolote likawa Dodoma je hizi foleni zakila siku, Jumatatu hadi Jumatatu! haziwezi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom