In 1972 and 1979, Gaddafi sent Libyan troops to defend Idi Amin when we attacked him. I remember a Libyan Tupolev 22 bomber trying to bomb us in Mbarara in 1979. The bomb ended up in Nyarubanga...
Maandamano ya Nchi za kiarabu na za Kaskazini mwa Afrika yanaweza kufika Afrika mashariki na Tanazania kutokana na kutoshamiri kwa demokrasia na uhuru wa maamuzi ya wananchi?Pamoja kuwepo kwa...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira imebaini kuwapo kwa mtu aliyekuwa akihodhi nyumba 30 za Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) huku akizitumia kujipatia takribani Sh milioni...
Wakuu katika pitapita mtandaoni nimekutana na hii hapa, tunaweza kushiriki.
Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa vyombo vya habari nchini Tanzania na nje ya nchi vimekua vikiandika...
Kikombe kimoja cha babu wa Samunge maarufu kama KKKT(KUNYW KIKOMBE KIMOJA TUU)Kimezua balaa serikalini kwani mpaka sasa serikali imeshindwa kuzuia wingi wa watu wanaomiminika huko Semunge...
Kumekuwa na tabia hasa kwa shule za hapa dar kwa walimu kuwapa mingi mitihani wanafunzi wao ambayo inalipiwa. Sijui kama hii inalenga kuboresha elimu au ni miradi ya walimu kujazia bajeti zao...
Kuna tetesi kuwa mnyukano kati ya UVCCM na viongozi wastaafu wa CCM ni agenda ya Urais wa 2015, je hii ni kweli? Na kwamba Rais ndiye anayemjua Rais ajaye ni sahihi? Kwanini viongozi wetu...
Tumehabarishwa kwamba watu 200 waliopata kikombe cha Babu wa Loliondo wamejitolea kupimwa kitaalamu (kisayansi) ili kuona kama watakuwa wamepona maradhi waliyokuwa nayo.
Naona hapa tunataka...
Baada ya taarifa ya serikali hapo jana kueleza kuwa dawa ya Babu wa kule Samunge haina madhara, wengi wamefurahi, hasa wale waliopata kikombe.
Fikra kinyume inahoji, je, ingekuwaje kama...
Serikali: Dawa ya Loliondo ni salama Send to a friend Monday, 28 March 2011 21:50 0diggsdigg
Waandishi Wetu
SERIKALI imesema imeridhishwa na dawa inayotolewa na Mchungaji Ambilikile Masapila wa...
Yatamka dawa yake haina madhara kwa binadamu
*Barabara inayokwenda huko sasa kukarabatiwa
*Kituo cha afya Samunge kuboreshwe, maji yapelekwa
Mchungaji Mwasapile Kushoto na Kulia ni Waziri...
Kuna taarifa kwamba kuna kijana kaoteshwa dawa na marehemu mama yake. Kijana huyo ana dai kwamba dawa hiyo ina tibu maradhi sugu kama ukimwi, kisukari, nk. Kijana huyo anadai kwamba dawa hiyo ina...
Watanzania wenzangu nauliza wapi nitapa bidhaa zenye ubora kama mikate ya siha,maziwa ya kcc,juice za tanglod,beef za tanganyika packers,tanbond,superghee e.t.c kiwanda gani kinatengeneza bidhaa...
Hawa jamaa wa wizara safi sana, nimependa wanavyo 'handle' utafiti juu ya dawa ya babu Mch. Ambikile. waendelee kutotoa kila kitu hazarani ili jamaa wa majuu wasije claim wamegundua wao. identity...
Ya kaisari mpe Kaisari na ya MUNGU mpe MUNGU! Huwezi kumjaribu BWANA MUNGU wako! MUNGU alimtoa YESU auwawe kwa ajili yetu, MUNGU pia alileta gharika na kuteketeza kizazi chote na kumuacha NUHU na...
Imagine, Babu wa Loliondo akapotea ghafla na kwenda kusikojulikana na kuacha ujumbe kwamba "Nimegundua hiyo dawa ni sumu ambayo huua baada ya miezi 6 maana wanangu 3 wamekufa kwa mkupuo, kwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.