Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Msaada wanasayansi na madaktari tafadhari; Kuna ukweli kwamba msichana akipita umri wa kuolewa,(zaidi ya miaka 33) husumbuliwa na maradhi ya mara kwa mara yasiyotibika? safari za kwenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesoma thread moja humu janvini nikahamsika kupata Katiba ya CHADEMA. Jamani niambieni wapi naweza kupata Katiba hiyo? pia Sera kuu ya chadema. MWENYE KUJUA TAFADHALI NIHABARISHE!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana Jf,nimevutiwa sana na ile habari iliyopo ktk gazeti la habari leo la tarehe 30/03/2011,inayohusu (Uozo huu si wa kufumbia macho),kwani ni mala chache sana kukuta gazeti hili likitowa habari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kuwa wote tunakubaliana kuwa Tanzania ina matatizo makubwa ya maendeleo kisiasa, kiuchumi na kijamii, na hivyo basi inahitaji mapinduzi/mabadiliko makubwa. Kwa kuwa vyama vya siasa vya Cuf...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jamvini,mpaka sasa napata taabu kidogo kuamini hizi ndoto,watu wanadai wameoteshwa waje kutibu watu kwanza ilianza ndoto ya;- 1.Loliondo(kwa Babu) 2.Rombo(Tarakea) 3.Mbeya 4.Bunguruni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The last months of the recently concluded Tanzania general elections were awash with media reports that high profiled politicians and Tanzanian government officials were flouting the Country's...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JUZI Waziri Mkuu ambaye Kikatiba ndiye mtendaji mkuu wa shughuli za siku kwa siku za serikali akiwa msaidizi mkuu wa Rais na Makamu wa Rais, alizungumza na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mzee wa upako aibuka akimfagilia JK Na Edmund Mihale MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi, Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' amesema kuwa wanaompinga, Rais Jakaya Kikwete katika utawala wake wapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali yatangaza kiama kwa mafisadi Send to a friend Monday, 28 March 2011 21:35 0diggsdigg Ramadhan Semtawa KATIKA kile kinachooonekana ni kusikia kelele za umma, serikali inatarajia kupeleka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
'TULIPANGA na Issa Kijoti kwamba ashuke njiani kisha anifuate Makambako ili turudi Songea kwa kazi nyingine binafsi, lakini alipofika Morogoro alisita. Hakujua kama kifo kilikuwa kinamuita', Hayo...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Live Now. Anaeweza aangalie, sijui ataongea nini, natoa taarifa. Nawahi kibaruani.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mtoto Lu Hao wa nchini China pamoja na kwamba ana umri wa miaka 3 ana uzito ambao ni mara tano zaidi ya uzito wa mtoto wa umri wake, ana jumla ya kilo 60. Lu Hao, mtoto wa miaka mitatu wa nchini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika kipindi cha Je Tutafika kinachoongozwa na Mzee Makwaiya aka mwanachama mfu wa CCM Kada wa siku nyingi wa CCM DR Hans Kitine ametoa kauli mbalimbali...Lakini kuna moja alilisisitiza mpaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
29 March 2011 Musoma — Mara Region expects to use more than Sh13 billion in constructing the Mwalimu Nyerere Medical Centre at Kwangwa area in Musoma municipality.The Mara regional medical...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimesoma na kusikiliza vyombo vya habari, Machi 9, mwaka huu, vikimkariri Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Ngoyai Lowassa, akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Loksale kilichopo jimboni humo, mkoani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The East African ‘Magic herb’ is well known to Kenyan scientists Share Bookmark Print Email Rating File | NATION Scientists...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi nina suala naomba kuwasilisha juu ya jambo ambalo limenikera kabisa kuhusu tanesco na huu utaratibu wa kutumia mita za luku. Hapo awali nilitaraji kuwa ungekuwa utaratibu muafaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna habari kuwa kwenye ibada ya jumapili iliyopita Askofu Kakobe aliwaongoza waumini wake kuimba 'Rostam oyee!Rostam oyee! Hii nikwasababu Rostam Aziz alijitokeza wazi wazi kupinga dawa ya babu...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Mwanza — The capacity to address hardships that face the people in a plain language and gestures that resonate with many is the cause for Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) rise in...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Dear President Kikwete I know you are fine. No doubt. But you must be under pressure. You deserve it. You ask me why and I will say because you’ve been in the corridors of power for a long time...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom