Katika sehemu nyingi za hii nchi yetu mtu akipata mafanikio anaitwa mchawi au ananyonya damu au amemtoa mhanga mtu wake ili apate mafanikio... In fact katika sehemu nyingi mchawi na mtu mwenye...
Jf Hawa jamaa hawana porojo porojo za vijiweni kama tulizo nazo sisi wabongo,wapo kimaendeleo zaidi
USA wanapigana China inafikilia uchumi zaidi,hebu jionee hapa mwenyewe
TED
Tangu tiba ya loliondo ianze, watu wamekuwa wakibishana sana. Wengine husema tiba hii imetoka kwa Mungu kwa kuwa watu wanapona na anayetoa tiba ni mchungaji, wengine wanapinga wakisema tiba hii...
Mwenyekiti awavua nguo wananchi, awapiga
MWENYEKITI wa Kijiji cha Nkuu Ndoo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kuwaadhibu wananchi wasioshiriki shughuli za maendeleo kwa kuwavua nguo...
Kuna gari moja chakavu linapiga mzigo Rombo nimeliona kwenye gazeti la udaku ambalo hutolewa na Global Publisher, nimeshindwa kuweka hiyo picha hapa jamvini ila kama ningefanikiwa kuiweka nafikiri...
Ndugu wapendwa imefika wakati si kuhama hama makanisa just kumkimbia mtu ni wakati muafaka kama mna sehemu za kutuma shida zenu makanisan tuleteen hapa tusaidie kuwaelekeza watumishi wanaowangoza...
nikiwa njiani kuelekea kazini leo asubuhi nilikutana na matangazo kuhusu kongamano la kisiasa la waislam jijini Tanga. Matangazo haya yapo kwenye karatasi za ukubwa wa A4 na ni black and white...
Bendera ya ccm ina alama ya jembe kumaanisha mkulina na nyundo kwa mfanyakazi. Hivi mkulima na mf'kazi wana lolote pale? Nadhani wafanyabiashara za mikataba tata kama rchm au dow.. (wanaofaidi...
Mwanahamisi Mruke (47) who was keep as a slave in the house of an indian doctor will be paid the said amount($ 41,000).
sasa swali langu hivi huyu mama miaka yote hile yeye alikuwa anakubali tu...
Alianza Babu Loliondo, akafuatia kijana kule Tarakea, kisha mwingine tena Mbeya na sasa kuna mama huko Tabora. Wote hawa wanadai wameoteshwa kutibu magonjwa sugu na zaidi gharama zao (500) na njia...
Najua kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake..wah wa tra emu angalienm hili gari linawaaibisha..watwamechoka..wanakamatwa watu awana stika za rd lsc waanaishia kuombwa 30-50 alfu kutegemeana na...
Taifa la ajabu kabisa. Kila mtu anaoteshwa na tunaamini. Tunamiminika kwake kunywa dawa. Nimesubiri atokee mwenye dawa ya utajiri au kuongeza pesa mfukoni hajatokea. Usiku wa leo nimepata ndoto...
Nimemtazama waziri wetu wa Wanawake, jinsia na Watoto Bi.Sophia Simba akijibu maswali mepesi ya Mkuu wake. Nilichobaini ni kwamba kumbe Mawaziri wetu ni vilaza, waoga na wenye uwezo mdogo sana wa...
Pemba walilia
Wakazi wa Pemba, wamemwomba Mchungaji Masapila kuwasogezea huduma ya tiba ya magonjwa sugu ili nao wanufaike nayo.Baadhi ya wakazi hao waliofika kwenye ofisi za gazeti hili zilizopo...
Mimi binafsi ninaamini nchi yetu inao wasomi wa kutosha(wa kweli) ukiondoa wale wengi wa vyeti magumashi wakiwemo baadhi hata ya waheshimiwa wetu.
JE? Inakuwje baadhi ya kazi zinazohitaji...
UJUMBE WANGU KWA CCM:-
1. Tuliwatisha kuwa wapinzani watatufikisha Rwanda, wakatishika, wakajificha, hali ilipoanza kutulia walihoji mantiki ya hoja yetu, kabla hatujajiba au badala ya kujibu...
Ndugu Zangu,
HAYO malumbano ni ya kwao, sisi hatuyajui, wala hatutaki kuyajua. Tunashughulika na kutekeleza Ilani tu maneno maneno kama hayo hayatuhusu. Anasema John Chiligati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.