Kutangazwa kwa mapato yaliyotokana na dawa ya Mch Mwasapile kunaonesha kuwa mgawanyo wake ni kama ifuatavyo :
Kanisa ni sh 200 kati ya 500 = 40%
Mch Mwasapile (Babu) 100 kati ya 500 = 20%...
Eti Waziri Mkuu hajui umaskini wa Watanzania unasababishwa na nini? Halafu anataka ufanywe utafiti ili kugundua chanzo cha umaskini wa Watanzania! Waziri Mkuu wa nchi baada ya miaka 50 ya uhuru...
Wananchi wanaburuzwa na wabunge!!!
Je...wabunge hawaoni Posho wanazo lipwa Bungeni ni kubwa ikilinganishwa na pato la mwananchi wa kawaida? Hebu fikiria Milioni 12....12,000,000/= kwa mwezi kwa...
Ndugu Zangu,
Ni matumaini yangu kwamba mu-wazima kwa kujiangalia. Natambua kutokana na sababu nitakazotoa baadae si rahisi kujua kama wewe ni mzima au la. Hata waliotoka Loliondo wanasema...
Nikisoma hizi sura za biblia,sishangazwi na yanayotokea,LOLIONDO,MBEYA NA TABORA,ni mwanzo wa mwisho tu;Mathew 24(23-24),At that time if anyone says to you,look ,here is the christ!or,there He...
Kila kukicha tetesi. Zitto! Chadema!
Sasa imekuwa upuuzi. Hakuna ushahidi wa lolote. Kila siku 'kuna taarifa'.
Nguvu inayotumika kuchangia au kujibu tetesi ingetumika kuweka mipango ya...
MUDA mwingine haina haja ya kukaa na kuumiza kichwa kwanini hatuendelei,umaskini umewaandama watanzania walio wengi, jibu ni kwamba wengi ambao wameshikilia hizi sector muhimu wameridhishwa...
Waziri Simba aonja joto ya jiwe kwa Babu
na David Frank, Loliondo
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii Wanawake na Watoto Sophia Simba, ameonja joto ya jiwe baada ya kuzuiwa na...
HIVI KAMA TAIFA TUNAUHURUMIAJE HUU MUDA TUNAOUTUMIA KUMJADILI BABU?
Nimejaribu kujikaza kwa kuamini labda hili swala la Babu mwaisapile linaweza kupungua kasi yake soon na kuacha mambo ya msingi...
Kufuatia ugumu wa maisha, kunawizi umeingia Dar es salaam na inawezekana ukasambaa hata kwenye miji mingine mikubwa. Wizi huo uko hivi
1. Unaweza kupewa kipeperushi ambacho...
Sadaka kwa Babu yafikia mil. 50/-
*Yeye kupata mil 10/-, kanisa, wasaidizi mil. 20/- kila moja
*Kanisa kujenga jengo la huduma la kukaa watu 700 kwa pamoja
*Wanasayansi Kenya wathibitisha...
Wakuu! Kama mtakumbuka JK enzi za boyzll men 2006, alipomaliza tu ziara wizarani, alifanya ziara ya ghafla pole sokoni kariakoo na kujikuta akishangiliwa sana. Akiwa na kauli mbiu mbili: "maisha...
Wote tumeshuhudia media inavyotupasha habari kila uchao kuhusu yanayojiri kule kijiji cha Semunge wilaya ya Loliondo. Babu amekuwa kwenye kurasa za mbele za magazeti yetu kila uchao na kutufanya...
Habari zilizonifikia muda si mrefu zinasema babu wa loliondo amesema kuna meli inakuja na ndani yake kuna watu amba sio wazuri wanata kumzuru.
Naomba mwenye data kamili za uhakika atufahamishe...
MWANAFUNZI wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Dukamba, amepewa adhabu ya kuninginizwa mtini miguu juu kichwa chini, huku amefungwa miguu na mikono.
Inadaiwa mtoto huyo mkazi wa kijiji...
Vijana ni vijana wa ccm na chadema.Tofauti ni kwamba wa Chadema ni waheshimiwa na wanaongea lugha ya wananchi wote (+waliokomaa kifikra).Vijana wa chadema wanafanya vitu practical na wakiongea...
Tulishasema jaman hapo mwanzoni kuwa Loliondo patakuwa makaburini, ooh! watu wakaanza kututukana mara nyie mmetumwa ooh mara hili! Sasa mapema kabisa ukweli umekuwa wazi! Ukweli la suala la...
Niliwahi kuona misuguano kati ya magazeti ya IPP hapo nyuma na jamii ya kiislam. lkn kwa sasa yametatuliwa na yameondoka.
nimewahi kusoma tahariri ya tzdaima ikipinga waislam kupewa mahakama ya...
Baada ya Babu wa Loliondo aliyekuwa Mchungaji mstaafu wa KKKT Mch.Mwasapile kuanza kutoa tiba kupitia dawa aliyodai ameoteshwa na Mungu...Kanisa lilimrudisha kazini haraka...Je?
Kwanini...
WANATAALUMA wa vyuo vikuu wameeleza kusikitishwa kwao na hatua ya serikali kutaka kuingilia uhuru wao, jambo ambalo linaweza kusababisha mvurugano.
Wakizungumza na Tanzania Daima wanataaluma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.