Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
By Jerry Okungu I have always wondered whether African leaders that regularly meet at the African Union (AU) summits in Addis Ababa really care for this continent. The amount of cash spent at...
0 Reactions
1 Replies
873 Views
…..Kama kawaida Mungu anatupenda watanzania…… …….Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika……. Leo tunapoadhimisha siku ya wajinga duniani nimetafakari kwa kina je kwa Tanzania siku ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji jezi ya timu ya TP Mazembe kable ya kesho jioni anayefahamu zinapopatikana hapa Dar anijulishe.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
QN1. kama hela haitoki kwenye miti, kwanini benki zina matawi? QN2. kwa nini gundi haigandi kwenye chupa yake? QN3. kama hatutakiwi kuendesha gari tukiwa tumelewa, kwa nini bar kuna car...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rasmi kenya kuanzia leo namba ileile service provider chaguo lako mwenyewe.
0 Reactions
1 Replies
794 Views
LEO ni kile kinachoitwa sikukuu ya wajinga. Sikukuu ambayo haina mashiko yoyote katika mila na utamaduni wetu. Baadhi ya vyombo vya habari na waandishi wa habari wamedanganywa na kisha kuudanganya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salam wandugu, Nilikuwa zanzibar kwa mapumziko mafupi, nimepata gari ambayo imesajiliwa hapa ZNZ sasa nataka mwenye ufahamu juu ya suala hili, je nikivuka nayo huko bara nitaweza kuitumia au ndio...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wAPENDWA, TAFADHALI SOMENI HII ( Nimetumiwa tu na sihusiki kwa kuona au kisikia mimi mwenyewe hivyo msiniulize ilikuwaje maana sina majibu.Nimeona ni vizuri kushirikishana: Wizi wa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Binafsi nitaukumbuka sana mwaka huu kwa jina hilo, kukienzi kikombe cha babu na vingine vinavyozidi kujitokeza (assuming navyo viko genuine pia kama kile cha babu). Nakumbuka, kwa wale tuliozaliwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimegundua watanzania ni wa janja sana. Baada ya kushuhudia makanisa ya maombezi yanachuma pesa kama mchezo vile tena bila kulipa kodi wameamua nao kutoka kindoto. Ubunifu mkubwa uliopo ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Nadhani ni ile hint y Mwanakijiji ya juzi. Soma zaidi Alarm over payment deals at pension fund Thursday, 31 March 2011 23:57 By Frank Kimboy, The Citizen Reporter Dar es Salaam. A...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna taarifa kwamba Ofisi za tzdaima limevamiwa usiku wa manane kwa ile inaosadikiwa ni kuwachokoza moja ya madhehebu ya dini nchini kwa kumuandika vibaya kiongozi wa madhehebu yao. inasemekana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
imeandikwa na Hamis Shemdoe kutoka arusha waziri wa afya na ustawi wa jamii mh. Dr Haji Mponda amesema serikali imesikitishwa sana na ushirikiano mdogo inaopata kutoka kwa wasadizi wa Mchungaji...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
JOHN TENDWA DO US A FAVOUR: HELP CCM-UFISADI & KIKWETE RETURN GADDAFI'S FUNDINGS TOO OR GO DOWN WITH HIM If one ever thought that the generous hands of Libyan dictator was only quick at...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
:angry::drum:url=http://www.wavuti.com/4/post/2011/03/morogoro-nayo-yatoa-mtoa-kikombe.html?utm]Morogoro nayo yapata mtoa "kikombe" - Wavuti[/url] Ni usanii kila kukicha sasa bado...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kikombe cha tano kimepatikana kutoka morogoro.bibi huyo anaitwa bi fatma said ktk manispaa ya morogoro,bibi huyo ameoteshwa karbu miaka ishrini sasa.alipoulizwa amesema dawa yake ni tofauti na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Friday April 01, 2011 Local News...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
*Amri hiyo itadumu kwa miezi mitatu RAIS Jakaya Kikwete amepiga marufuku uvuvi katika Ziwa Victoria kwa siku 90. Amesema uamuzi huo unalenga kuhakikisha kuwa samaki wanaongezeka katika ziwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeangalia kinachoendelea Libya nikalinganisha na Ivory Coast, Somalia na maeneo mengine ya Afrika na kubaini namna nchi za magharibi zilivyo substandard katika kushughulikia migogolo ya nchi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani leo nimekuja kugundua kwamba ofisi nyingi hapa bongo wanatumia takwimu feki ili kuepusha kuonekana kwa maovu yao.Hizo ofisi wote twazijua kwani ukisoma habari za bongo kwenye vitabu ni...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Back
Top Bottom