Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nimeshangazwa na kitendo cha mwandishi wa Habari akimtaja dereva aliyesababisha ajali kwa kuanza kutanguliza asili yake kwa kuwa ni Mtanzania mwenye asili ya Kieshia. Nikajiuliza kwanini kwa huyu...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Inatisha kwakweli kile nilichokiona ktk tbc saa mbili! Sasa iv kila mtu atasema kaoteshwa! Naamini atatokea atakae oteshwa rais ajae na kwa ujinga wa watz tutamkabidhi nchi hii bila hata uchaguzi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wana JF,babu masapila anazidi kupasua anga,sasa hivi ndio topic.kipindi ni "ON THE SPOT" (Loliondo magic cure) wenye nafasi ni wakati muafaka kuwasikia wasomi wa jirani zetu wana maoni gani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika marekebisho ya katiba mpya ya Tanzania kuwe na kipegele kinachoruhusu mgombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa pia mgombea ubunge katika jimbo analotoka ili kama atashindwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimepata tetesi kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wa mh. huyo kuwa mwenyekiti wa chama hilo kongwe nchini na Afrika hapo 2012 ili JeyKey ajikite kwenye urais tu. Kisa alifanikiwa sana katika kampeni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini za Kazi Wakuu. Kuna mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu kusuasua kwa huduma ya VODACOM M-PESA wanakosema kumesababishwa na kukosekana kwa Network? Au ndo ule wimbo wetu wajinga ndiyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kweli nimeamini dawa ya babu inapona magojwa yote sugu nilikuwa siamini sasa namini haya ni badhi ya magonjwa ambayo imeshayapona mpaka sasa: 1. kuanguka kwa kikwete sasa hivi anaonekana ametakata...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Katika kinachoonekana ni kujitetea wanafunzi wa UDOM kitivo cha elimu wa mwaka wa 1&2 wameapa kutofanya mitihani yao ya mwisho wa muhula mnamo mwezi july kama hela za field zitakuwa hazijawekwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukiwa napesa za kutosha then ukawa hunywi pombe utafanya mabo mengi ya maendeleo, utajenga, utasomesha watoto , utafungua miradi ya maendeleo, utanunu gari nzuuri .nk.... Jamani jihadharini na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
sio siri namzimia kiukweli Jerusalem BIG UP man kwa sread zako. Nani anabisha soma hapa https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/122068-kwa-nini-thredi-zangu-zinafungwa.html
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau wanajf, sina uhakika, naombeni mnijuze kuhusu ule utaratibu mh wetu alioudesa toka kwa Mh. Mkapa wa kuhutubia wananchi kila mwisho wa mwezi leo upo? Je atahutubia? 31 March ndio hii!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekaa na kutafakari hivi vikombe vilivyo zuka si vya kutengenezwa na wale vijana wa Magogoni? Ghafla zinazuka tu kama mvua za masika, au ni jeuri ya serikali ya CCM kufunika kombe mwana haramu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu wenzangu kwa heshima na taadhima na mie napenda kuwaambia nimeoyeshwa rasmi...nitaaanza kutoa kikombe kwa Tsh 250/= taslimu pale jangwani effective from jumatatu.
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimekuwa nikiangalia ukuaji wa vyama na nguzo za chama. Nimeona CUF inafanya vizuri sana Zanzibar, lakini Tanganyika hakuna kitu. Halafu kule Zanzibari nina wasiwasi kama Maalimu hatagombea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi Tigo modernmni ya utapeli?Nimejaribu kushawishika kunua moderm ya Tigo kwa ajili ya NET. Lakn imekuwa very slow ukitaka kufungua net hata ukifungua google, yahoo na zile simple website.Kabla...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana nilikuwa nimesimama kwenye kituo kimoja cha Daladala nikisubiri Usafiri wa kwenda City Centre. Nilikuwa mkabala na meza mbili za wauza magazeti na nikajikuta nikifanya kautafiti kadogo tu...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Find the attached file from WSJ (EU) of 31March 2011 It discusses how foreign aid isn't an answer for development.
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Hada UDOM kuna taarifa zisizo rasmi kuwa mkuu wa kitivo cha elimu pro:OSAKI ameacha kazi na kurejea T.I.E,kwa sasa kitivo hiki kinaongozwa na pro:MUTAHABA,wengine wanasema yupo likizo,wengine eti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jali ndoto yako, Jaman watanzania wote wamekuwa manabii, Mungu amesikia kilio chetu ni ndoto kwenda mbele zinazo ambatana na kipato kidogo Nawashauri watu kutopuza ndoto zao kwani ni deal...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku hizi, kuwa mtumwa sio lazima upelekwe amerika au uarabuni kama walivyofanyiwa babu zetu. Wao walibebwa kwa nguvu, na wengi wao walikufa kwa kukataa kuwa watumwa.Walikuwa wanakataa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom