Jaman walikuwa wapi hawa? eti siku hizi ndo oooh nimeoteshwa jaman hawa ni wajasiriamali tu wasitumie njia ya ndoto wala Mungu! Ina maana Mungu amerudi kwenye mizizi tu? kazi kweli kweli yaani...
Rais wa Jamhuri ya Watu wa China amepinga mashambulizi yanayofanywa na nchi za magharibi nchini Libya kwa kisingizio cha kudhibiti a 'non fly zone'. Amesema makubaliano yaliyofikiwa na UN kuhusu...
RAIS Jakaya Kikwete atalazimika kupunguza safari zake nje ya nchi na kutumia muda mwingi kushughulikia masuala ya ndani ya nchi ikiwa anataka kumaliza vizuri katika kipindi chake cha mwisho cha...
Hivi naomba kuuliza utasikia bonyeza alama ya reli #!je reli ilikuwa yakwanza kuwepo kabla ya alma hiyo ya reli!!??Au maandiko ndiyo yakwanza kabla ya reli??
Mgambo wakiimba wimbo maalum kwa kilugha wenye ujumbe wa kukomesha maandamo yanoyafanywa na Chama cha CHADEMA. hapa ni wilayani kwimba mwanza
Hebu waone, T-shirt za bure zinawaponza masikini...
baada ya kasi ya maandamano kushika kasi ghafla tulisikia kauli kila upande.
waislam wamesema, wakiandamana na sisi tutaandamana wakati huo huo.hili ni tishio kubwa kisiasa na kijamii. hizi...
Msajili John Tendwa na waziri mkuu Mizengo Pinda kasomeni wasia wa mwalimu Nyerere kwa ccm alioutoa 16/08/1990 alisema 'Chama chetu si chombo cha uchaguzi kinachowashwa wakati wa uchaguzi na...
Ni kitu kisichopingika kwamba serikali inaonekana kukubaliana na tiba ya Babu wa Loliondo kwa kuamua kumpa misaada ya magari, manesi na ulinzi, vitu vinavyogharamiwa na kodi za umma.
Kwa hali...
Nimejaribu kutembea sana Zanzibar.lkn sijaona majina ya shule (kwao huita skuli) yenye majina ya wanasiasa.
kwa mafanio majina ya shule ya wanasiasa ni wale waliopigania ukombozi wa tanzania...
Watanzania wenzangu leo mchana nimeoteshwa kuwa Serikali ya Vilaza itaondolewa madarakani na Chadema na kufilia mbali. Serikali itayoshika madaraka 2015 itawafunga Mafisadi wote waliolifisadi hili...
Wachungaji wa makanisa tuiombe tanzania imevamiwa manabi wa nguvu za giza ,cha kushangaza wanafanyakazi kwa bidi na matawi yao yamenza kusamba ususani tabora ,mbeya ,arusha na sehemu zingine...
Vyombo vya habari vya Magharibi vinatudharau sana Waafrika. Soma hapa wanavyozungumzia tiba ya Loliondo kusema Wa Tz watu wanaojihusisha na ushirikina hata kuuwa Albino kwa imani hizo. Kwanini...
Na BUNGE LETU LISIKUTANE DODOMA MPAKA OMBI HILI LIMETEKELEZWA.
Naitwa Josephat Simon Sanda na Ninapatikana kwa Simu namba 0659 28 19 64.
NIKO MLIMANI CITY KWA SASA NA NINAISHI KEREGE KWA KIWETE...
Nimepitia biblia takatifu kwa umakini nikakutana na mistari ambayo imenifanya kwenda kwa baadhi ya watumishi wa mungu kuomba ufafanuzi na niliwatembelea watumishi wanne 1.alinambia acha kabisa...
Wana JF
Nimetafakari kwa undani baadhi ya mambo yanayotukwamisha sisi kama Watanzania ni hii ya wengi wetu kuamini katika nguvu za giza (Ulozi). Tazama viongozi wetu katika michezo hawaamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.