Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
MWENYEKITI wa Kijiji cha Nkuu Ndoo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kuwaadhibu wananchi wasioshiriki shughuli za maendeleo kwa kuwavua nguo mbele ya watoto wao, kuwanyoa nywele, kuwafunga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania tumezidi kulalamika mengi na laiti tungelinganisha na nchi nyingine tusingethubutu kwani kuna baadhi ni nafuu mno Tanzania kama masuala ya medication. Watanzania naomba kujua gharama za...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
MWANAUME aliyetambulika kwa jina moja la Faridi [59] mkazi wa Gongolamboto jijini Dar es Salaam, amekutwa na kadhia nyingine ya kupewa kipigo kutoka kwa watoto wake kutokana na tabia za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naangalia Tv channel ten kipindi cha Je tutafika,mjadala unahusu migogoro ndani ya ccm,sasa Dr. Kitine ktk mjadala ametaja kuwa kuna katibu mkuu ambaye kila mtu anamjua ni Mwizi lakini bado kapewa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapendwa kuna kampuni moja ukiwa tazara kuelekea mjini kushoto kuna hii kampuni wamefanya kama sehemu ya kukatia vichwa vya ngombe na mbuzi kule vingunguti ..nasema hivi nikimaanisha imekuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa kweli mengi yanaongewa kuhusu ccm, naweza sema changamoto hz zingekijenga chama bt mambo ni tofauti. Kila siku MAKAIYA WA KUHENGA AMEKUWA AKIWATAKA WANACHAMA NA VIONGOZI WAKE WAJIPANGE. Lakin...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
DENI linalokadiriwa kuwa kati ya sh. bilioni 67 na 96 linaloonekana kulielemea Shirika la Umeme nchini (TANESCO) umeishtua Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma (POAC) na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napenda kulishukuru Jeshi la polisi kwa huduma za afya mnazotoa hapa baracks kurasini. Lakini kuna mambo ya ajabu hapa. Raia wa kawaida wanapoenda kutibiwa hapa kwa huduma ambayo wanailipia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Well, sort of. On Sunday March 21st, the Nigerian newspaper NEXT featured the above cartoon by Tanzania’s very own Gado. It is quite exciting to see the glimmers of continental integration that...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakati wabunge na watanzania wwengi wakiomba Mungu shirika la atcl lirudi mzigoni TRA imeamua kuka,mata mashangingi landcruiser kama 5 ya kampui ya atcl..hii ni kutokana na madeni yanayoidai...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Amin Usiamin. Tiba inayopatikana LOLIONDO,PIA IMEANZA KUOLEWA HUKU TABORA tena hapa hapa mjini.,Mtoaj wa kikombe huku tunamwita BIBI.Hivyo Tunaita KIKOMBE CHA BIBI.WATU NI WENGI MAMIA KWA MAMIA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
CCM inapumbaza watu waache kuhoji mambo ya maana na ya msingi, na waweke maono yao kwa Babu Loliondo. Jidadisi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama vile amegundua ufisadi mwingine mkubwa, kuna mwenye details tafadhali atujuze kuhusu huyu Mzee wa Kiraracha baada ya kupata kikombe cha babu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Afurahia kugeuzwa ‘shoga’ mahabusu Imeandikwa na Flora Mwakasala; Tarehe: 28th March 2011 @ 23:05 Imesomwa na watu: 322; Jumla ya maoni: 1...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hili swali limenijia baada kuona thread ya mtu anatafuta mwanamke bikra. 1. Ivi bikra ipo kwa viumbe vyote vya kike au ni specific kwa wanadamu? 2. Je inakazi nyingine yeyote au ni kuonyesha...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Japokuwa najua ni redio ya kidaku zaidi, ila ni vyema Clouds FM kuwa makini wanapotoa habari zenye umuhimu na maslahi ya Taifa. Najua kuna mambo mengi tu wanayamislead, ila hapa nitatolea mfano...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Reports appearing in local media revealed that Zanzibar has triggered fresh confrontation and dispute with the union government over what it calls unnecessary delays in the removal of oil related...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Do God and Money Mix? CNBC examines the growing business of evangelical Christianity By Tyler Mathisen Joel Osteen, Pastor of Lakewood Church in Houston Evangelicalism is one of the...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 29/03/2011 // Kitaifa // 2 Comments...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, Nimeisoma hii hotuba ya Waziri wa Habari, Vijana, Utamadani na Michezo na kugundua woga mkubwa wa serikali kwa vyombo vya habari. Hebu isome mstari kwa mstari na utakubaliana na mimi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom