Kati ya mambo ambayo yalivuta hisia za wengi katika mwaka 2009 ni kitendo cha ofisi ya kikwete kutangaza kuwa Kikwete ataongea na wananchi moja kwa moja kupitia vyombo vyetu vya habari tofauti na...
Siku ya mwaka mpya mimi pamoja na mwenzangu baada ya kumaliza shughuli zetu zilizo tupeleka Mjini Arusha kwa wakati huo tuliamua kwenda CLUB AQ kwakuwa ipo karibu na stendi ya mabasi ambayo tunge...
SABABU MOJA INAYOTUFANYA AFRICA KUWA NYUMA KIMAENDELEO KWA MIAKA 25 NI?
VIONGOZI WA AFRIKA
Abdoulaye Wade ( Senegal )- age 83
Hosni Mubarak ( Egypt ) - age 82
Robert Mugabe ( Zimbabwe ) - age...
Haya kwa wale mliokuwa na wasiwasi na dawa ya Babu Mch. Mwasapile, watafiti wamesema leo haina madhara yoyote kwa binadamu na wanafanya uchunguzi kwa wagonjwa 200 waliotumia kikombe cha Babu...
Natafuta simu aina ya nokia E7. Kwa wale wanaofahamu wapi (tz tu) naweza kupata simu hii wanijuze. picha inaambatanishwa. Am waiting to hear from u soon.
As road accidents continue to claim thousands of lives, permanently disabling thousands more, there is a grave concern that mushrooming substandard motor driving schools are the root cause of the...
Babu wa Loliondo ametangaza kwamba watu wasimamishe safari za kwenda kumwona mpaka tarehe 1 April 2011 ili apate nafasi ya kupunguza wagonjwa waliopo kwa sasa. Inasemekana kwamba foleni kwa sasa...
Ndugu watanzania naomba mjue baadhi ya viongozi wetu walivyo wezi,viongozi wawili waandamizi wa CDM wanamiliki mgodi huko Nyarugusu kinyume na utaratibu. Hakuna kiongozi wa wilaya wala mkoa...
20% he is managed to be awarded five kili music awards, he is a real natural talented musician with natural voice, sio kubana pua, mostly his songs real touch society..big up 20%,wewe chunga tamaa...
Siasa zina mambo jamani
niko na kada mmoja wa ccm anadai
eti huduma za loliondo ni moja y ilan zake za uchaguzi 2010/2015..haahaa wakati ukweli ni kwamba yule mzee ni kada mkubwa wa chadema...
The placebo effect is a real and powerful psychological response to treatment. Physical conditions do not improve with placebos. Placebos do not cure, as many people mistakenly believe; it is the...
Heshima kwenu wadu wote mliopo humu jamvini. Leo napenda kuwashirikisha hii hotuba nzuri ilitungwa na Mwanaharakati Vitali Maembe;
" Hotuba ya mfungwa Mswahili,
by Vitali Maembe, Chanjo 2010...
Kongamano kubwa bado linaendelea hapa Ar mjini. Mada motomoto zipo hewani,katiba mpya, ikiwepo siri ya maandamano ya CDM. Nk. Pia linarushwa live kupitia radio IMAAN.
Inaudhi sana. Kiongozi bila aibu unadai kuwa ni haki yako kutibiwa nje ya nchi? Badala ya kutoa wazo la kujenga hospitali ili wote tutibiwe hapa. Alafu kesho utasema hata wewe haujui kwani...
Title inaweza ikawa inatisha kidogo, lakini nadhani issue ya humu ndani sio kubwa sana, ila nadhani ni ya muhimu.
Kwa mtazamo wangu, vyuo vikuu ikiwemo UDSM inasaidia kuipeleka nchi hii pabaya...
Ndoto, ndoto, babu anatibu kwa sababu kaoteshwa! Yes ameoteshwa kuponya magojnwa matano sugu! Hii ni kwa mujibu ya wenzetu walioenda huko kupata tiba. Siwalaumu hata kidogo wagonjwa kukimbilia...
Mawaziri wetu wa Wakuu wa Mikoa wakitoa kauli kuhusu mambo fulani tunasema Serikali imesema au imeagiza. Sasa hivi 'Wakulu wetu' wanamiminika Loliondo kwa Babu kutibiwa, kwa nini tunashindwa...
Kauli ya Lipumba ' kama kuna mwananchi yeyote anaamini chadema inaweza kuongoza nchi hii, huyo ana matatizo aende kunywa kikombe cha babu loliondo'
Mwananchi 26.03.2011
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.